Ninamwomba Mungu sana sana TAL au MwanaCCM yeyote baada ya Mama asijefanya haya!

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,380
Reaction score
2,236
Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya.

Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi wake na mpaka kuamua kumpeleka mahabusu na kumfikisha mahakamani kama tunavyomfanya TAL.

Hii inatokea sana kwa wenzetu, kuwaweka watangulizi wao ndani kwa makosa hasa yanayohusikana na ubadhirifu wa mali za umma, ambayo ni rahisi viongozi kuyatenda - makosa yasiyo na dhamana au hata yenye dhamana.

Lisitokee hapa Tanzania jamani!
 
Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi wake na mpaka kuamua kumpeleka mahabusu na kumfikisha mahakamani kama tunavyomfanya TAL. Hii inatokea sana kwa wenzetu, kuwaweka watangulizi wao ndani kwa makosa hasa yanayohusikana na ubadhirifu wa mali za umma, ambayo ni rahisi viongozi kuyatenda - makosa yasiyo na dhamana au hata yenye dhamana. Lisitokee hapa Tanzania jamani!
Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya.
 
ibirisi wa ccm chawaccm hususani IGP, Bashungwa, Mbowe na Amos makala uwepo wa Lisu jela ni fursa za kupiga mabilioni kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa, hicho kikundi cha kishetani ndicho hupelekea ucheleweshaji wa kesi kwani ni wanufaika wa manyanyaso mateso uonevu kwa chadema
 
Mbowe sasa ni kama Lipumba anataka kurejea chadema kwa njia haramu za kishetani mda wote saa 24 kila siku anatamani lisu Afie gerezani
 
Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya.

Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi wake na mpaka kuamua kumpeleka mahabusu na kumfikisha mahakamani kama tunavyomfanya TAL.

Hii inatokea sana kwa wenzetu, kuwaweka watangulizi wao ndani kwa makosa hasa yanayohusikana na ubadhirifu wa mali za umma, ambayo ni rahisi viongozi kuyatenda - makosa yasiyo na dhamana au hata yenye dhamana.

Lisitokee hapa Tanzania jamani!
Mimi naomba ale kitanzi iwe fundisho kwa wengine!
 
FAM amedhihirika ni mchumia tumbo tena wa hatari!
Hata ikatokea wamerudi Chadema, ndio itakuwa mwisho wa hicho chama kama CUF!
Wamedharau wananchi sanaa!
 
Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya.

Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi wake na mpaka kuamua kumpeleka mahabusu na kumfikisha mahakamani kama tunavyomfanya TAL.

Hii inatokea sana kwa wenzetu, kuwaweka watangulizi wao ndani kwa makosa hasa yanayohusikana na ubadhirifu wa mali za umma, ambayo ni rahisi viongozi kuyatenda - makosa yasiyo na dhamana au hata yenye dhamana.

Lisitokee hapa Tanzania jamani!
Yaendayo yanarudi!
What goes around comes around!
Nature will decide what to do with corrupt leaders!
 
Mimi naomba ale kitanzi iwe fundisho kwa wengine!
Naona uko sahihi, ili unenepe na maisha yako yawe bora na usije kufa kabisa,, basi anyongwe. Na akinyongwa, rushwa itakoma, uwajibikaji serikalini utaongezeka, rasimali zilizouzwa zitarudishwa. Hongera kwa mawazo mazuri.
 
Asiwe na kisasi

Lakini kwa wale wote waliofisadi nchi hii na uziri wanajulikana na wale walioua wenzao hawa wasiachwe.
 
Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya.

Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi wake na mpaka kuamua kumpeleka mahabusu na kumfikisha mahakamani kama tunavyomfanya TAL.

Hii inatokea sana kwa wenzetu, kuwaweka watangulizi wao ndani kwa makosa hasa yanayohusikana na ubadhirifu wa mali za umma, ambayo ni rahisi viongozi kuyatenda - makosa yasiyo na dhamana au hata yenye dhamana.

Lisitokee hapa Tanzania jamani!

Tunahitaji sana rais anayeyajua mapungufu yenye kupelekea haki za watu kukiukwa na hasa mahakamani.

Hayupo mwingine kwenye hili zaidi ya TAL.
 
Naona uko sahihi, ili unenepe na maisha yako yawe bora na usije kufa kabisa,, basi anyongwe. Na akinyongwa, rushwa itakoma, uwajibikaji serikalini utaongezeka, rasimali zilizouzwa zitarudishwa. Hongera kwa mawazo mazuri.
Correct!
 
Back
Top Bottom