Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya.Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya.
Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi wake na mpaka kuamua kumpeleka mahabusu na kumfikisha mahakamani kama tunavyomfanya TAL. Hii inatokea sana kwa wenzetu, kuwaweka watangulizi wao ndani kwa makosa hasa yanayohusikana na ubadhirifu wa mali za umma, ambayo ni rahisi viongozi kuyatenda - makosa yasiyo na dhamana au hata yenye dhamana. Lisitokee hapa Tanzania jamani!
Akiwa jela ndipo Mbowe kawauza G55 kwa ccm na wao kuwasokomeza chauma ubwabwa, ambapo wanakula 10% kila pesa inayotoka ccm kwenda Chaumaccm ni wizi wa pesa za walipa kodi ni mradi haramu wa kishetaniKesi inapigwa danadana utadhani anayehukumiwa ni shetani hvy wanatafuta adhabu stahili inayomfaa
Mimi naomba ale kitanzi iwe fundisho kwa wengine!Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya.
Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi wake na mpaka kuamua kumpeleka mahabusu na kumfikisha mahakamani kama tunavyomfanya TAL.
Hii inatokea sana kwa wenzetu, kuwaweka watangulizi wao ndani kwa makosa hasa yanayohusikana na ubadhirifu wa mali za umma, ambayo ni rahisi viongozi kuyatenda - makosa yasiyo na dhamana au hata yenye dhamana.
Lisitokee hapa Tanzania jamani!
Kisa cha Modekai na Hamani kwenye Bible unakijua?Mimi naomba ale kitanzi iwe fundisho kwa wengine!
Hizo ni hadithi zilizotungwa na watu dogo. But this is realty!Kisa cha Modekai na Hamani kwenye Bible unakijua?
Asee!Mimi naomba ale kitanzi iwe fundisho kwa wengine!
Yaendayo yanarudi!Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya.
Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi wake na mpaka kuamua kumpeleka mahabusu na kumfikisha mahakamani kama tunavyomfanya TAL.
Hii inatokea sana kwa wenzetu, kuwaweka watangulizi wao ndani kwa makosa hasa yanayohusikana na ubadhirifu wa mali za umma, ambayo ni rahisi viongozi kuyatenda - makosa yasiyo na dhamana au hata yenye dhamana.
Lisitokee hapa Tanzania jamani!
Umeonesha akili ya kitoto, na uwezo mdogo sana wa kufikiri kwenye hii comment yako!Mimi naomba ale kitanzi iwe fundisho kwa wengine!
Adhabu ya kitanzi ipo na inaweza kumramba yoyote sio? Sasa kwanini asiwe yeye?Umeonesha akili ya kitoto, na uwezo mdogo sana wa kufikiri kwenye hii comment yako!
Naona uko sahihi, ili unenepe na maisha yako yawe bora na usije kufa kabisa,, basi anyongwe. Na akinyongwa, rushwa itakoma, uwajibikaji serikalini utaongezeka, rasimali zilizouzwa zitarudishwa. Hongera kwa mawazo mazuri.Mimi naomba ale kitanzi iwe fundisho kwa wengine!
Utakula wewe in shaa Allah. Na utafikwa ni matatizo makubwa kwenye maisha yako.Mimi naomba ale kitanzi iwe fundisho kwa wengine!
Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya.
Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi wake na mpaka kuamua kumpeleka mahabusu na kumfikisha mahakamani kama tunavyomfanya TAL.
Hii inatokea sana kwa wenzetu, kuwaweka watangulizi wao ndani kwa makosa hasa yanayohusikana na ubadhirifu wa mali za umma, ambayo ni rahisi viongozi kuyatenda - makosa yasiyo na dhamana au hata yenye dhamana.
Lisitokee hapa Tanzania jamani!
Correct!Naona uko sahihi, ili unenepe na maisha yako yawe bora na usije kufa kabisa,, basi anyongwe. Na akinyongwa, rushwa itakoma, uwajibikaji serikalini utaongezeka, rasimali zilizouzwa zitarudishwa. Hongera kwa mawazo mazuri.
Swadakta!Utakula wewe in shaa Allah. Na utafikwa ni matatizo makubwa kwenye maisha yako.