Ninamwomba Mungu sana sana TAL au MwanaCCM yeyote baada ya Mama asijefanya haya!

Chance za TAL kubahatika kuingia madarakani zipo asilimia ngapi ndugu mwanachama damu damu
 
Yani TAL akipata uongozi in anyway,wajinga wajinga waliokula nchi asweke ndani wote
 
Nchi ikitawaliwa na malaya, matatizo hayaishi
 
Huyu kashafanya mara mbili
 
Kama wamebadhiri mali za uma sheria ichukue mkondo wake mkuu.
 
Lissu ni kichaa. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…