mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Kwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Sababu hasa ni kwamba naamini ile 500k nyingine ataitumia kutoa mahitaji na yeye hatobakiwa na kitu.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.