mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
atasema sisi ni mahatersUnataka tukupangie maisha? Utaiweza mipango yetu?
nilisema hivi kimoyomoyoSawa tumeshajua unatoka milioni na nusu Kila mwezi kwa wazazi.
Hongera mkuu.
Huyu Hamadi atakuwa inshomile huyu.nilisema hivi kimoyomoyo
Kwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
Si lengo langu mkuu.Sawa tumeshajua unatoka milioni na nusu Kila mwezi kwa wazazi.
Hongera mkuu.
Haujakosea, pia usisahau zawadi mbalimbali maana pesa zinaweza isha zawadi zinadumu hivyo unaweza kununua kitu muhimu ambacho kinawakumbusha kuhusu weweKwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikambua weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
Nafikiri nitaiweza.Unataka tukupangie maisha? Utaiweza mipango yetu?
Tujikite kwenye mada bhana😀hata haukosei mwaya maana ile ya mama ni yake na ile ya baba itatumika nyumbani so ile unayomuongezea inakua yake tu
ila hela zote hizo unatoa wapi mwenzetu ni freemason au 😂
upo sahihi kabisa kijana. You are the true son of your father. Hata kama umeongeza sifuri kwenye Uzi wako lakini una akili nyingi sana weweKwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Sababu hasa ni kwamba naamini ile 500k nyingine ataitumia kutoa mahitaji na yeye hatobakiwa na kitu.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
wengine tuko hapa tukiombwa 10,000 tunaanza kujielezaHuyu Hamadi atakuwa inshomile huyu.
Sisi kazi yetu ni kumpa hongera kwa kutoa mapesa mingi mingi kwa wazazi.
ndo mada yenyewe hiyo😂Tujikite kwenye mada bhana😀
UmetishaUnataka tukupangie maisha? Utaiweza mipango yetu?