Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

Tangu May hadi September hujapata smartphone mbona unaonekana Njaa kali sana utamshauri nini Msanii bilionea wa tatu Africa, [emoji851]

#No Offense#
Wewe naona unashida ya wanaume wakuairtel huko, acha upuuzi mtu anapokuwa serious
 
Yani mkuu wew umshauri diamond...? Diamond anashauliwa na watu wa level yake,,,huo ushaur unaotaka kumpa kishaur wewe kwanza utoke kweny ugumu wa maisha uliokua nao,, maana hata smart phone umeshindw kununua
 
Back
Top Bottom