Huna unalojua wewe,
Kuna dogo namfahamu ni WA kawaida kabisa alikutanishwa na Mtoto WA Bakhrresa Mwaka Jana maeneo ya Kijitonyama.
Yule dogo alikuwa na Formula ya kutengeneza juice yake ya kipekee. Akakutanishwa na mtoto WA Bakhrresa (yusuph). Dogo akamtengenezea Ile juice bila kumpa formula, Yusuph bakhrresa akipenda Sana Ile juice.
Ila walikuja kushindwana dogo aliweka masharti mengi Sana watakapoanza KAZI pamoja.
Sasa wewe endelea Kudhani wanaotoa mawazo ni majitu makubwa yenye miguvu na misuli.