Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

Tangu May hadi September hujapata smartphone mbona unaonekana Njaa kali sana utamshauri nini Msanii bilionea wa tatu Africa, [emoji851]

#No Offense#
Wenye njaa Kali hawawezi kuwa na ushauri mzuri? Mkuu, kumbuka alichokosa yeye ni Hela tu, na Wala sio ubongo/akili.
 
Wenye njaa Kali hawawezi kuwa na ushauri mzuri? Mkuu, kumbuka alichokosa yeye ni Hela tu, na Wala sio ubongo/akili.
Mkuu, achana naye huyo. Please ninaomba kura yako kule kwenye jukwaa la stories of change ili nipate pesa ya vocha. Nimeku-tag bila shaka
 
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums.

Ninaomba mwenye mawasiliano ya msanii Diamond Platnumz au anayeweza kunikutanisha naye ili niweze kumshauri juu ya namna njema ya kuitangaza Wasafi Bet.

Smartphone yangu iliibwa mwezi May ila sasa ninatumia Whatsapp ya mjomba wangu number +255654527779 au apige simu aseme anaomba kuongea na Emanuel Vitalis Otieno.

Ninaomba kura yako katika jukwaa la stories of change:>>>>> SoC 2022 - Wanafunzi wa mchepuo wa sanaa (Arts) kidato cha tatu na nne wapunguziwe idadi ya mada (topics) katika masomo kama "Biology" na Hisabati (Mathematics)

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Nani wa kutumia kampuni ambazo ODD zake ni HOME DROO WIN hata akifanya marketing vipi hakuna mtu anakwenda kuwekeza sehemu ambapò probability ya kupoteza ni kubwa. Kizuri wabongo sasa wanajua ni site gani zenye option gani angalau kuna probability ya ku win. Watu walishatoka kubet kwenye soka wapo kwenye michezo yenye optuon nyingi
 
Nenda kamshauri Bakhresa.
Huna unalojua wewe,

Kuna dogo namfahamu ni WA kawaida kabisa alikutanishwa na Mtoto WA Bakhrresa Mwaka Jana maeneo ya Kijitonyama.

Yule dogo alikuwa na Formula ya kutengeneza juice yake ya kipekee. Akakutanishwa na mtoto WA Bakhrresa (yusuph). Dogo akamtengenezea Ile juice bila kumpa formula, Yusuph bakhrresa akipenda Sana Ile juice.

Ila walikuja kushindwana dogo aliweka masharti mengi Sana watakapoanza KAZI pamoja.


Sasa wewe endelea Kudhani wanaotoa mawazo ni majitu makubwa yenye miguvu na misuli.
 
Back
Top Bottom