Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

Tangu May hadi September hujapata smartphone mbona unaonekana Njaa kali sana utamshauri nini Msanii bilionea wa tatu Africa, [emoji851]

#No Offense#
Wenye njaa Kali hawawezi kuwa na ushauri mzuri? Mkuu, kumbuka alichokosa yeye ni Hela tu, na Wala sio ubongo/akili.
 
Wenye njaa Kali hawawezi kuwa na ushauri mzuri? Mkuu, kumbuka alichokosa yeye ni Hela tu, na Wala sio ubongo/akili.
Mkuu, achana naye huyo. Please ninaomba kura yako kule kwenye jukwaa la stories of change ili nipate pesa ya vocha. Nimeku-tag bila shaka
 
Nani wa kutumia kampuni ambazo ODD zake ni HOME DROO WIN hata akifanya marketing vipi hakuna mtu anakwenda kuwekeza sehemu ambapò probability ya kupoteza ni kubwa. Kizuri wabongo sasa wanajua ni site gani zenye option gani angalau kuna probability ya ku win. Watu walishatoka kubet kwenye soka wapo kwenye michezo yenye optuon nyingi
 
Nenda kamshauri Bakhresa.
Huna unalojua wewe,

Kuna dogo namfahamu ni WA kawaida kabisa alikutanishwa na Mtoto WA Bakhrresa Mwaka Jana maeneo ya Kijitonyama.

Yule dogo alikuwa na Formula ya kutengeneza juice yake ya kipekee. Akakutanishwa na mtoto WA Bakhrresa (yusuph). Dogo akamtengenezea Ile juice bila kumpa formula, Yusuph bakhrresa akipenda Sana Ile juice.

Ila walikuja kushindwana dogo aliweka masharti mengi Sana watakapoanza KAZI pamoja.


Sasa wewe endelea Kudhani wanaotoa mawazo ni majitu makubwa yenye miguvu na misuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…