Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,203
- 7,628
kULE biashara inatoka sana ndio mana wanauza sh.100 Mtu anaepiga biashara ile Gerezani Anauhakika wakulaza LAKI kibindoni Kila siku...Maji hayachukui Round yameisha..Sema ukiwa unafanya ile biashara kwa kule gerezani basi inakubidi uwe na Friza la maana NA SIO MOJA UWE NAYO SI CHINI YA matatuHii niliona maeneo ya stand ya Gerezani pale jamaa wanauza maji ya style hio sh.100!