Ninaomba mchanganuo wa biashara rahisi... Wanangu hawajalipiwa karo na maisha hayaendi. Nina 500,000 tu ndugu zangu, nifanye nini?

Ninaomba mchanganuo wa biashara rahisi... Wanangu hawajalipiwa karo na maisha hayaendi. Nina 500,000 tu ndugu zangu, nifanye nini?

Hii niliona maeneo ya stand ya Gerezani pale jamaa wanauza maji ya style hio sh.100!
kULE biashara inatoka sana ndio mana wanauza sh.100 Mtu anaepiga biashara ile Gerezani Anauhakika wakulaza LAKI kibindoni Kila siku...Maji hayachukui Round yameisha..Sema ukiwa unafanya ile biashara kwa kule gerezani basi inakubidi uwe na Friza la maana NA SIO MOJA UWE NAYO SI CHINI YA matatu
 
Hahahaha kule maji yanatembea sana
 
Aiseee umenifungua na mimi akili mkuu, yani baada ya kusoma hii nikimaliza kukutumia hii comment yangu naamka fasta naanza utekelezaji, ukinijibu ukiona kimya unisamehe tu mkuu coz nitakuwa nakusanya makopo ya maji tayar kwa kuyaosha. Be blessed

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameen Mkuuu! Pambana hela Zipo Achana na wanaosema vyuma Vimekaza! usharobaro umewajaa wengi na Aibu. ILA biashara zenye aibu ndio zinazowapa watu Jeuri hapa MJINI.

Maboss wengi ukimkuta hana kazi basi ujue kawafungulia vijana vijiwe vya kahawa, kanunua Mikokoteni ANAIKODISHA, ana vijana wauza ICECREAM,KAWAPA Vijana wauze MIWA road,nk nk.....ila yeye yupo tuu humuoni akifanya kazi ila mwenzako analetewa Hesabu kila siku sio chini ya LAKI MBILI. (Tena watu kama hawa huwakuti wakisema kazi zao hata siku 1)
 
Nimekuwa na biashara ya kufuga kuku wa mayai bahati mbaya nikauguliwa na mzazi nikauza kila kitu kilicho kuwa kinaweza kuuzika nikamuhudumia, hichi kimenifanya nirudi 0 ila namshukuru mungu mzazi alipona. Nisaidieni nianze vipi maana kuku wanahitaji mtaji mkubwa , naomba msaada wenu wa mawazo . Naishi Arusha
Kwanza kabisa pole sana kwa changamoto hizo na hizi changamoto za kibiashara ndizo zinatofautisha wajasiriamali kwani ukiweza kupambana nazo basi utafanikiwa sana.
Kwa maelezo yako una uzoefu wa ufugaji wa kuku na kwa sasa mtaji ulionao hauwezi kuiendesha.Maana yake sasa unahitaji kuanza biashara ambayo kwako itakuwa mpya.Kuanza biashara mpya unahitaji kuanza kidogo kidogo kwa kusoma soko husika.
Biashara ambayo kwa kuitazama unaweza sema haina tija lakini ukipata uhakika wa soko ni nzuri sana.
Mfano ni baishara ya ubuyu ambayo unaweza kuwekeza efu kumi tu ambayo ni 1Kg ya ubuyu na kupata faida ya sh.4000.
Tutafute upate darasa la kuanzisha biashara hiyo.
0713659828

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAKUPA BIASHARA NDUGU CHANGAMKA NA USIACHE

Hii biashara inadharaulika lakini UTANIKUMBUKA (kama hautoidharau)

MAHITAJI : FRIJI/FREEZER (najua hukosi huko nyumbani)

:Kama huna Friji/friza Nunua Madell ya kuwekea MABARAFU

BIASHARA YA KUUZA MAJI YA KANDORO

Nunua maji ya DAWASCO ndoo kubwa sh.200...Tafuta vijana wawili au kama uko peke ako ingia kwenye BAR/PUB/HOTEL omba makopo ya maji watu waliokunywa wakayatupa MFANYA USAFI wa mahali husika UTAMKUTA ANAYO KAYAKUSANYA ANAPOPAJUA YEYE mpe sh.2000 atakupa Roba mfuko wa kg.100 ule wa MCHELE umejaa makopo kibao.

Nenda nyumbani na Makopo yako yaoshe vizuri kbs (usitumie sabuni) kisha chukua makopo ya LITRE 1 jaza maji yako masafi yale ya dawasco...ukimaliza nenda kayaweke kwenye Friza yagande kbsa Asubuhi pakikucha Chukua ndoo TUPU weka maji yako yapange vizuri (itapendeza ukipata vijana hata wawili) kisha nendeni kauzeni Na jua hili mtauza sana Mtauza sh.200 PER BOTTLE so mkimaliza mnarudi mnachukua mzigo mwingine wa Maji mnaenda Front.

Nakuhakikishia kwa SIKU ukiingiza CHINI ya 50,000 rudi hapa NITUKANIE WAZAZI WANGU WOTE,nakubali lawama zozote kama Huu ushauri ninaokupa hautokupa FAIDA...Hata kama ukiwa peke ako huna Vijana Ukikosa 30,000 kwa siku NAKURUHUSU uje unitukane HADHARANI.

LAKI 5 yako kama huna FRIZA nenda kanunue Friza la MTUMBA 300,000 INABAKI lAKI MBILI sikufundishi jinsi ya kuitumia hiyo...

NOTE: Shida yako imekuja kipindi muafaka JUA LINAMULIKA IPASAVYO litumie Hili JUA KUVUKA NDUGU YANGU..hamna asiekunywa MAJI tena wakati unauza Nunua Epron nyeupeeee na kofia Vaaa. Uza maji ktk hali ya USAFI hakika utavuka .

biashara ya mtaji wako HAMNA NYINGINE ZAIDI YA VINYWAJI kama unataka kutoka haraka MAANA UNAMAJUKUMU UMESEMA ILA KAMA HAUNA MAJUKUMU NA HUITAJI HELA HARAKA...FANYA ZINGINE NAZO ZINA PESA.

ONYO: USHAROBARO/U KAKA DUU weka pembeni PAMBANA YA ELA YOTE.
Arusha utamuuzia nani mkuu?? angalia na location kwanza
 
Umemsaidia pakubwa na nikweli atafaidika ila tatzo kachelewa kutaka ushauri mana hiyo biashara ni zaid kwa kipindi hichi cha juakali na joto lakin zimebaki siku chache kuanza kwa kipindi cha mvua na biashara hiyo italuz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hajachelewa kama akiamua ifanyia kazi idea SASA hivi akipiga kazi kwa bidiii MWEZI 1 tu kwa faida ya 30,000 au tufanye kakosa kabisa apate 20,000 ina mana kwa mwezi ana 600,000..Mvua zikianza mfukoni ana Laki 600,000 FRIZA lake analo atabuni biashara nyingine maana MTAJI atakua nao..Na biashara yake ya Maji ataendelea nayo kwa kuwaachia Vijana hata kama kuna mvua ya Mafuriko kila siku HAKOSI 10,000 (uhakika hiyo bila chenga)..sasa wakati vijana wanaleta hesabu ya 10,000 per day Huku ile LAKI 6 yake nauhakika ATAKUA amepata kabiashara kengine.

Ambapo akichanganya faida ya biashara mpya na ya zamani anaenda kule kule kwenye 30,000 (per day) = 900,000 kwa mwezi.
Ni yeye tu kuamua na kuwa na maamuzi ya chap chap haina Kuzubaa hii vijana wanasema.

Akiona haoni cha kufanya wakati wa Mvua arudi hapa Aombe ushauri Apewe idea...MVUA ina FURSA kuliko JUA kwa wenye mitaji yetu ya 500,000 (kushuka chini)...yani haya maisha hayana kisingizio ukiwa huna hela ni UZEMBE.

kISINGIZIO KINACHOKUBALIKA POPOTE NI MAGONJWA YANI UKIWA DHAIFU KIAFYA HAPO HAMNA UJANJA ILA AFYA IKO POA UKIKIMBIZWA NA MBWA UNAJUA KUKIMBIA MPK NA KUPANDA MTI BRO/SISTERS HAMNA WA KUMLAUMU.
 
Nimekuwa na biashara ya kufuga kuku wa mayai bahati mbaya nikauguliwa na mzazi nikauza kila kitu kilicho kuwa kinaweza kuuzika nikamuhudumia, hichi kimenifanya nirudi 0 ila namshukuru mungu mzazi alipona. Nisaidieni nianze vipi maana kuku wanahitaji mtaji mkubwa , naomba msaada wenu wa mawazo . Naishi Arusha
Sasa hivi kuna fursa ya kuweka biashara yako sehem yoyote

Cha kufanya sasa: Kanunue vyombo beseni, chupa za maji ya kunywa, chupa za chai, sahani, vikombe, vijiko, hot pot za pasitik, vigari vya watoto n.k

Tafuta barabara yenye wapita njia wengi mwaga mzigo wako hapo. kwa laki 5 yako hiyo ni mzigo mkumbwa sana utapiga hela fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha utamuuzia nani mkuu?? angalia na location kwanza
Unauliza ARUSHA??? watu WANAPIGA HELA mbeya we unasema ARUSHA? huko jua haliwaki?? au kwakua upo kule juuu umasaini jua linakuja mara moja na kukimbia?? Ingia pale MJINI KATI mzee baba...biashara hiii sio unakaa kwenye sehemu watu wanafanya Kazi za maofisini..unaenda kwa wapiga debe Stand,unaenda kule kwa wapasua mawe Miguu kazi yake kutembea mkuuu Hii sio biashara ya FREM mkuu eti unamsubiri mteja afate bidhaaa (ndio mana nilimshauri atafute vijana) yeye akipita huko vijana wanapita kule.

Hata uwe wapi Maji yananyweka..Ndoo ununue 200 Utoe chupa za maji 20 kila chupa uuze 200 Utasema atakosa hela? Labda awe mvivu na sio mtafuta hela kweli.
 
Sasa hivi kuna fursa ya kuweka biashara yako sehem yoyote

Cha kufanya sasa: Kanunue vyombo beseni, chupa za maji ya kunywa, chupa za chai, sahani, vikombe, vijiko, hot pot za pasitik, vigari vya watoto n.k

Tafuta barabara yenye wapita njia wengi mwaga mzigo wako hapo. kwa laki 5 yako hiyo ni mzigo mkumbwa sana utapiga hela fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara hiii HAIMFAI mtu wa mtaji wa LAKI 5 hana frem kumbuka..Akanunue vyombo vya plastic vipigwe JUA siku mbili tu Havitamaniki vimepauka vyote,wale unaowaona wamepanga vyombo chini biashara zao sio za laki 5 mkuu..

Wale wengi wanapewa vyombo na wenye ma frem kuna boss ana wadhamini anapunguza mzigo anawapa wanaenda kupanga huko kesho akirudi analipa hela kulingana na alivyouza..Anapewa vyombo vingine vizuri vipyaaaa..Laki 5 mtaji mdogo sana mdogo mnoooo Hiyo biashara unayomshauri ni nzuri ila sio kwa MTAJI WAKE.
 
Arusha hamna jua kali. Usifananishe na jua la Dar kabisa man...unaeza sweat ukiwa kivulini!
Jua Hamna lkn maji yananyweka mtaji wako kutembea TU sehemu watu wanafanya kazi ngumu..kwa kina mama ntilie wanaouza chakula Hamna mtu anakula akamaliza akaona maji yaleee tena 200 Asinunue...Maji mtu anaweza asiwe na kiu ila akiyaona KIU ikampata akanywa kidogo akaacha hapo tyr 200 ushapata amalize asimalize shauri yake.
 
Arusha haitalipa , kwanza maji mm naona watu wakisikia kiu wanaenda kunywa kwa mama ntilie , maji hayanyimwi mtu
sio kila mtu anaenda kunywa kwa mama ntilie na anaokunywa kule ni Hawana hela ila mtu mwenye hela hawezi acha nunua maji kwa 200 eti akafate ya mama ntilie ambayo hata sio ya baridi.
 
Jua Hamna lkn maji yananyweka mtaji wako kutembea TU sehemu watu wanafanya kazi ngumu..kwa kina mama ntilie wanaouza chakula Hamna mtu anakula akamaliza akaona maji yaleee tena 200 Asinunue...Maji mtu anaweza asiwe na kiu ila akiyaona KIU ikampata akanywa kidogo akaacha hapo tyr 200 ushapata amalize asimalize shauri yake.
Hahaha eti maji yaleee! Umenchekesha sana man!
 
Back
Top Bottom