kULE biashara inatoka sana ndio mana wanauza sh.100 Mtu anaepiga biashara ile Gerezani Anauhakika wakulaza LAKI kibindoni Kila siku...Maji hayachukui Round yameisha..Sema ukiwa unafanya ile biashara kwa kule gerezani basi inakubidi uwe na Friza la maana NA SIO MOJA UWE NAYO SI CHINI YA matatuHii niliona maeneo ya stand ya Gerezani pale jamaa wanauza maji ya style hio sh.100!
Hahahaha kule maji yanatembea sanakULE biashara inatoka sana ndio mana wanauza sh.100 Mtu anaepiga biashara ile Gerezani Anauhakika wakulaza LAKI kibindoni Kila siku...Maji hayachukui Round yameisha..Sema ukiwa unafanya ile biashara kwa kule gerezani basi inakubidi uwe na Friza la maana NA SIO MOJA UWE NAYO SI CHINI YA matatu
Siku hizi hata ule ugali mbogamboga huku kwetu unauzika sana,buku tu linatosha...Biashara imekuwa ngumu sana, wengi wanabeba chakula kwenda kazini. Hata biashara ya mama ntilie imekuwa ngumu sana
Ameen Mkuuu! Pambana hela Zipo Achana na wanaosema vyuma Vimekaza! usharobaro umewajaa wengi na Aibu. ILA biashara zenye aibu ndio zinazowapa watu Jeuri hapa MJINI.Aiseee umenifungua na mimi akili mkuu, yani baada ya kusoma hii nikimaliza kukutumia hii comment yangu naamka fasta naanza utekelezaji, ukinijibu ukiona kimya unisamehe tu mkuu coz nitakuwa nakusanya makopo ya maji tayar kwa kuyaosha. Be blessed
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa pole sana kwa changamoto hizo na hizi changamoto za kibiashara ndizo zinatofautisha wajasiriamali kwani ukiweza kupambana nazo basi utafanikiwa sana.Nimekuwa na biashara ya kufuga kuku wa mayai bahati mbaya nikauguliwa na mzazi nikauza kila kitu kilicho kuwa kinaweza kuuzika nikamuhudumia, hichi kimenifanya nirudi 0 ila namshukuru mungu mzazi alipona. Nisaidieni nianze vipi maana kuku wanahitaji mtaji mkubwa , naomba msaada wenu wa mawazo . Naishi Arusha
Arusha utamuuzia nani mkuu?? angalia na location kwanzaNAKUPA BIASHARA NDUGU CHANGAMKA NA USIACHE
Hii biashara inadharaulika lakini UTANIKUMBUKA (kama hautoidharau)
MAHITAJI : FRIJI/FREEZER (najua hukosi huko nyumbani)
:Kama huna Friji/friza Nunua Madell ya kuwekea MABARAFU
BIASHARA YA KUUZA MAJI YA KANDORO
Nunua maji ya DAWASCO ndoo kubwa sh.200...Tafuta vijana wawili au kama uko peke ako ingia kwenye BAR/PUB/HOTEL omba makopo ya maji watu waliokunywa wakayatupa MFANYA USAFI wa mahali husika UTAMKUTA ANAYO KAYAKUSANYA ANAPOPAJUA YEYE mpe sh.2000 atakupa Roba mfuko wa kg.100 ule wa MCHELE umejaa makopo kibao.
Nenda nyumbani na Makopo yako yaoshe vizuri kbs (usitumie sabuni) kisha chukua makopo ya LITRE 1 jaza maji yako masafi yale ya dawasco...ukimaliza nenda kayaweke kwenye Friza yagande kbsa Asubuhi pakikucha Chukua ndoo TUPU weka maji yako yapange vizuri (itapendeza ukipata vijana hata wawili) kisha nendeni kauzeni Na jua hili mtauza sana Mtauza sh.200 PER BOTTLE so mkimaliza mnarudi mnachukua mzigo mwingine wa Maji mnaenda Front.
Nakuhakikishia kwa SIKU ukiingiza CHINI ya 50,000 rudi hapa NITUKANIE WAZAZI WANGU WOTE,nakubali lawama zozote kama Huu ushauri ninaokupa hautokupa FAIDA...Hata kama ukiwa peke ako huna Vijana Ukikosa 30,000 kwa siku NAKURUHUSU uje unitukane HADHARANI.
LAKI 5 yako kama huna FRIZA nenda kanunue Friza la MTUMBA 300,000 INABAKI lAKI MBILI sikufundishi jinsi ya kuitumia hiyo...
NOTE: Shida yako imekuja kipindi muafaka JUA LINAMULIKA IPASAVYO litumie Hili JUA KUVUKA NDUGU YANGU..hamna asiekunywa MAJI tena wakati unauza Nunua Epron nyeupeeee na kofia Vaaa. Uza maji ktk hali ya USAFI hakika utavuka .
biashara ya mtaji wako HAMNA NYINGINE ZAIDI YA VINYWAJI kama unataka kutoka haraka MAANA UNAMAJUKUMU UMESEMA ILA KAMA HAUNA MAJUKUMU NA HUITAJI HELA HARAKA...FANYA ZINGINE NAZO ZINA PESA.
ONYO: USHAROBARO/U KAKA DUU weka pembeni PAMBANA YA ELA YOTE.
Bado hajachelewa kama akiamua ifanyia kazi idea SASA hivi akipiga kazi kwa bidiii MWEZI 1 tu kwa faida ya 30,000 au tufanye kakosa kabisa apate 20,000 ina mana kwa mwezi ana 600,000..Mvua zikianza mfukoni ana Laki 600,000 FRIZA lake analo atabuni biashara nyingine maana MTAJI atakua nao..Na biashara yake ya Maji ataendelea nayo kwa kuwaachia Vijana hata kama kuna mvua ya Mafuriko kila siku HAKOSI 10,000 (uhakika hiyo bila chenga)..sasa wakati vijana wanaleta hesabu ya 10,000 per day Huku ile LAKI 6 yake nauhakika ATAKUA amepata kabiashara kengine.Umemsaidia pakubwa na nikweli atafaidika ila tatzo kachelewa kutaka ushauri mana hiyo biashara ni zaid kwa kipindi hichi cha juakali na joto lakin zimebaki siku chache kuanza kwa kipindi cha mvua na biashara hiyo italuz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi kuna fursa ya kuweka biashara yako sehem yoyoteNimekuwa na biashara ya kufuga kuku wa mayai bahati mbaya nikauguliwa na mzazi nikauza kila kitu kilicho kuwa kinaweza kuuzika nikamuhudumia, hichi kimenifanya nirudi 0 ila namshukuru mungu mzazi alipona. Nisaidieni nianze vipi maana kuku wanahitaji mtaji mkubwa , naomba msaada wenu wa mawazo . Naishi Arusha
Unauliza ARUSHA??? watu WANAPIGA HELA mbeya we unasema ARUSHA? huko jua haliwaki?? au kwakua upo kule juuu umasaini jua linakuja mara moja na kukimbia?? Ingia pale MJINI KATI mzee baba...biashara hiii sio unakaa kwenye sehemu watu wanafanya Kazi za maofisini..unaenda kwa wapiga debe Stand,unaenda kule kwa wapasua mawe Miguu kazi yake kutembea mkuuu Hii sio biashara ya FREM mkuu eti unamsubiri mteja afate bidhaaa (ndio mana nilimshauri atafute vijana) yeye akipita huko vijana wanapita kule.Arusha utamuuzia nani mkuu?? angalia na location kwanza
Hilo wazo ZURI! Ila biashara Hyo kwa Arusha Hailipi!!Hii niliona maeneo ya stand ya Gerezani pale jamaa wanauza maji ya style hio sh.100!
Biashara hiii HAIMFAI mtu wa mtaji wa LAKI 5 hana frem kumbuka..Akanunue vyombo vya plastic vipigwe JUA siku mbili tu Havitamaniki vimepauka vyote,wale unaowaona wamepanga vyombo chini biashara zao sio za laki 5 mkuu..Sasa hivi kuna fursa ya kuweka biashara yako sehem yoyote
Cha kufanya sasa: Kanunue vyombo beseni, chupa za maji ya kunywa, chupa za chai, sahani, vikombe, vijiko, hot pot za pasitik, vigari vya watoto n.k
Tafuta barabara yenye wapita njia wengi mwaga mzigo wako hapo. kwa laki 5 yako hiyo ni mzigo mkumbwa sana utapiga hela fasta
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha haitalipa , kwanza maji mm naona watu wakisikia kiu wanaenda kunywa kwa mama ntilie , maji hayanyimwi mtuArusha hamna jua kali. Usifananishe na jua la Dar kabisa man...unaeza sweat ukiwa kivulini!
Jua Hamna lkn maji yananyweka mtaji wako kutembea TU sehemu watu wanafanya kazi ngumu..kwa kina mama ntilie wanaouza chakula Hamna mtu anakula akamaliza akaona maji yaleee tena 200 Asinunue...Maji mtu anaweza asiwe na kiu ila akiyaona KIU ikampata akanywa kidogo akaacha hapo tyr 200 ushapata amalize asimalize shauri yake.Arusha hamna jua kali. Usifananishe na jua la Dar kabisa man...unaeza sweat ukiwa kivulini!
sio kila mtu anaenda kunywa kwa mama ntilie na anaokunywa kule ni Hawana hela ila mtu mwenye hela hawezi acha nunua maji kwa 200 eti akafate ya mama ntilie ambayo hata sio ya baridi.Arusha haitalipa , kwanza maji mm naona watu wakisikia kiu wanaenda kunywa kwa mama ntilie , maji hayanyimwi mtu
[emoji23][emoji23]Biashara imekuwa ngumu sana, wengi wanabeba chakula kwenda kazini. Hata biashara ya mama ntilie imekuwa ngumu sana
Kwenye laki tano hiyohiyo anunue viti, meza, cret za bia na maji yake, cret za soda na maji yake, glass, leseni, kodi ya nyumba, kodi ya serikali/TRA, friji na vikorokoro vyote?fungua grosari uza bia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Arusha haitalipa , kwanza maji mm naona watu wakisikia kiu wanaenda kunywa kwa mama ntilie , maji hayanyimwi mtu
Hahaha eti maji yaleee! Umenchekesha sana man!Jua Hamna lkn maji yananyweka mtaji wako kutembea TU sehemu watu wanafanya kazi ngumu..kwa kina mama ntilie wanaouza chakula Hamna mtu anakula akamaliza akaona maji yaleee tena 200 Asinunue...Maji mtu anaweza asiwe na kiu ila akiyaona KIU ikampata akanywa kidogo akaacha hapo tyr 200 ushapata amalize asimalize shauri yake.