Bado hajachelewa kama akiamua ifanyia kazi idea SASA hivi akipiga kazi kwa bidiii MWEZI 1 tu kwa faida ya 30,000 au tufanye kakosa kabisa apate 20,000 ina mana kwa mwezi ana 600,000..Mvua zikianza mfukoni ana Laki 600,000 FRIZA lake analo atabuni biashara nyingine maana MTAJI atakua nao..Na biashara yake ya Maji ataendelea nayo kwa kuwaachia Vijana hata kama kuna mvua ya Mafuriko kila siku HAKOSI 10,000 (uhakika hiyo bila chenga)..sasa wakati vijana wanaleta hesabu ya 10,000 per day Huku ile LAKI 6 yake nauhakika ATAKUA amepata kabiashara kengine.
Ambapo akichanganya faida ya biashara mpya na ya zamani anaenda kule kule kwenye 30,000 (per day) = 900,000 kwa mwezi.
Ni yeye tu kuamua na kuwa na maamuzi ya chap chap haina Kuzubaa hii vijana wanasema.
Akiona haoni cha kufanya wakati wa Mvua arudi hapa Aombe ushauri Apewe idea...MVUA ina FURSA kuliko JUA kwa wenye mitaji yetu ya 500,000 (kushuka chini)...yani haya maisha hayana kisingizio ukiwa huna hela ni UZEMBE.
kISINGIZIO KINACHOKUBALIKA POPOTE NI MAGONJWA YANI UKIWA DHAIFU KIAFYA HAPO HAMNA UJANJA ILA AFYA IKO POA UKIKIMBIZWA NA MBWA UNAJUA KUKIMBIA MPK NA KUPANDA MTI BRO/SISTERS HAMNA WA KUMLAUMU.