Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani mnirudishie fedha zangu. Tuliaminishwa kuwa kila baada ya miezi mitatu tunapata gawio lakini siyo kama walivyoahidi.
 
Pole sana,

Hivi hamjawahi kulipwa hata mara moja?
 
Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani mnirudishie fedha zangu. Tuliaminishwa kuwa kila baada ya miezi mitatu tunapata gawio lakini siyo kama walivyoahidi.
Kama.barabara zenyewe mwenyewe anapita na Kuna mashimo,Hilo lako ni shimo hataliona
 
Aisee.
Nimemuokoa mtu wangu wa karibu alikuwa awekeze nikamshauri akawekeze kwenye biashara zingine.
 
Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani mnirudishie fedha zangu. Tuliaminishwa kuwa kila baada ya miezi mitatu tunapata gawio lakini siyo kama walivyoahidi.
walikau wanakusanya pesa ya uchaguzi hewa
 
Mwigulu akienda kuchukua mkopo mtalipwa, kwa sasa nadhani pesa imeshatafunwa
 
Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani mnirudishie fedha zangu. Tuliaminishwa kuwa kila baada ya miezi mitatu tunapata gawio lakini siyo kama walivyoahidi.
Wewe Muongo na liongo
 
Back
Top Bottom