Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

Jikubali mkuu.
Bora wewe hard hearing, wenzio ni viziwi kabisa but tumejikubali tulivyo maana Allah ana makusudio yake kutufanya hivi.
Karibu katika jamii ya viziwi ujifunze lugha ya alama hutojisikia mpweke maana haupo peke yako.
Nishajikubali ndugu yangu, na ndio hasa kinachonipa amani na nguvu ya kupambana na mambo mengine kwa furaha, ila sasa kuyakatia tamaa ndio nashindwa aisee.

NimekuPM inbox unisaidie zaidi kuhusu lugha za alama mkuu.
 
Tupo wote mi ni tinittus kabisa sipati concept kabisa ya neno husika hata iweje sauti nasikia ila sielewi mm nililost nikiwa naenda advance mpaka nimemaliza chuo nimehudhuria interview moja nimefanya poa na nafanya kazi mwaka wa pili sasa sina tabu na mtu

Mbaya niliondoka home sana kutokana na mara advancd mara dar chuo so marafiki zangu wananiona nina dharau kwa kitaa ni msomi pekeangu hawaminj kabisa kwamba sisikii
Job ndo matatizo matupu kutokana na contacting za watu wengi wanakuja kuulizia huduma siku moja alikuja jamaa akanikuta na kitambulisho changu basi akawa ananipa salama nilipata kutokana na ishara ya mkono sasa akawa anahitaji msaada ananielezea kaka anarudia mara nne wapi sisikii kabisa aliondoka kwa hasira nilifadhaika sana siku nzima kwa kweli😥😥😥jamaa alisema eti wafanyakzi wa pale wana dharau mi nilichafua. Image ya kampuni kabisa

Kingine kufanywa kama katuni ilihali wanajua siko poa all in all ilivunja mpaka mahusiano yangu huko nyuma still niko katika good postion of earning ndo ninachotabasamu ningkuwa empty sina kitu
Pole sana mkuu.

Nami nina hiyo shida pia ya masikio kutengeneza kelele kama za ndege, honi na miruzi ivi (tinitis and ringing). Ila hiyo hali ilikuja baadae sana, kuna mashine fulani za analogy za masikio nilipewa clinic fulani mwaka 2018 hazikunisaidia kabisa tena zikiwa masikioni ndio ninakuwa na hali mbaya zaidi ikabidi nizitoe, Ajabu mara baada ya kuziondoa tu kuanzia hapo masikio yalianza kutengeneza izo kelele nyingi sana na mara kwa mara mpaka leo.
 
Jikubali mkuu! Jipende mwenyewe..nadhani unakosea kujitenga ..pia sali sana muda wowote...! Andika sehemu Mungu mambo gani unataka akufanyie .it works...all the best!..
 
Nishajikubali ndugu yangu, na ndio hasa kinachonipa amani na nguvu ya kupambana na mambo mengine kwa furaha, ila sasa kuyakatia tamaa ndio nashindwa aisee.

NimekuPM inbox unisaidie zaidi kuhusu lugha za alama mkuu.
Pole sana mkuu hadi kutamani kujifunza lugha za alama si mchezo ..mm nazifahamu chache ..ila Sina morali nazo
 
Mkuu unaweza ukasema huna morali nazo kumbe ikawa fursa kwako..huko vijijini ni watoto wangapi wana usikivu hafifu?... huwez jua ikawa side hustle yako jifunze uzielewe ufundishe wenye usikivu hafifu..all the best
 
Tatizo linawakumba wengi sana na mbaya zaidi halina Tiba ya kueleweka Hearing aids zipo za model mbalimbali jaribu ICC model pia Cochlea implant ndio suluhisho lakini garama zake ni MIL 39 TZS [emoji34]
 
Pole sana mkuu.

Nami nina hiyo shida pia ya masikio kutengeneza kelele kama za ndege, honi na miruzi ivi (tinitis and ringing). Ila hiyo hali ilikuja baadae sana, kuna mashine fulani za analogy za masikio nilipewa clinic fulani mwaka 2018 hazikunisaidia kabisa tena zikiwa masikioni ndio ninakuwa na hali mbaya zaidi ikabidi nizitoe, Ajabu mara baada ya kuziondoa tu kuanzia hapo masikio yalianza kutengeneza izo kelele nyingi sana na mara kwa mara mpaka leo.
Ngoja nikuibie siri mkuu hayo masikio achana nayo kabisa utamaliza pesa hyo haki ni yetu sote tuishi humo kwani kuna ubaya mi mashine siku natest pale hearwell audologist nikiwa na pesa kama laki 9 nikaambiwa bei laki 7 sasa specialist akaja akanipima ni muhindi kule tangi kumetulia akiongea unasikia akaniambia hapa nje ulipokuwa unanisubiria si umeona picha niko nimepiga nchi mbalimbali pale zipo ukifika kweny notesboard yao akasema nimzunguka duniani kote hamna tba zaidi utapigwa pesa wewe nikikuuzia hiki kidude hakitokusaidia kabjsa naweza kukudanganya ili nipate tu pesa ila roho inanisuta akaniandikia dawa akasema sahau vidude ivyo hata cha million mia hakitokusaidia kabisa dawa alizoniandikia ni NAT B kidoke kwa oale muhimbili ni mia 6(600) huku uchochoni hizi phramacy za kitaaa ni mia 5(500) nimetumia pia wapi

Kikubwa tuishi humu hatuna kasoro bado mademu wanaleta shobo maana unakuwa mkimya sana tuishi humi
 
Jikubali mkuu! Jipende mwenyewe..nadhani unakosea kujitenga ..pia sali sana muda wowote...! Andika sehemu Mungu mambo gani unataka akufanyie .it works...all the best!..
Ahsante sana dada kwa ushauri nashukuru.

Napambana sana na kutokujitenga ila dah kuna wakati na mazingira mengine unaona kabisa unakuwa shida na kujikuta automatically upo mwenyewe yaani. (Hapa simu ndio huwa mkombozi wangu)

Ninajikuta tu kwenye baadhi ya matukio au mialiko nalazimika kwenda ili kukamilisha ratiba basi, nionekane nipo nimeudhuria basi lakini kiuhalisia natoka na kitu kidogo sana au empty at all.

Ubaya wa hii hali haionekani moja kwa moja kwa nje kama vile vipofu au ulemavu wa viuongo vya nje (ni mpaka umsumbue sana mtu kimawasiliano na kumfanya arudierudie mno ndio anaweza kugundua) sasa mpaka agundua unakuta mtu aisha jaa hasira sana na kukuchukulia vibaya.

Matokeo yake unakuta ukilazimisha sana kujichanganya na watu hasa wasiokufahamu unaambulia kujichukia na kujaa mastress tu, hata kuwachukia watu kabisa, unakuta sehemu kama class au meetings au kwenye masherehe, church nk unashangaa wenzako wanacheka tu, we utaishia kutabasamu baada ya wao kumaliza kicheko au kuonekana upo siriasi kumbe hakuna kitu, au kuchelewa baadhi ya vitendo vilivyo amrishwa kwa kutumia sauti ( nilikula sana mabanzi na matusi jkt😀😎)

So dada sometime kujitenga na baadhi ya matukio au kuwa mbali nayo hasa napogundua sina watu naoweza kuwa nao karibu huko tunaofahamihana inakuwa na unafuu mkubwa na kunipunguzia stress na kujilaumu juu ya hali ya masikio.

Unakuta upo kwenye harusi labda au umealikwa kwenye sendoff za watu huko au party na masherehe bahati mbaya najikuta mwenyewe tu nimetulia tuliii kama maji ya mtungi, mtu mwingine katika hali hiyo atakuona ni kama unamatatizo dunia nzima labda so atajongea mpige stori mbili tatu utamuangaisha hadi atakuacha mwenyewe😀😀.

so kuepuka yote hayo unaona ni mara mia kuignore baadhi mambo na kujitenga nayo kwani badala ya kukusaidia unajikuta yanakuongezea maumivu tu.

Nakuelewa...kubali hali hyo mkuu! Dah...sina la kusema
 
Ushauri mzuri sana huu ila kuna muda hutokea bila kujua yaan kujitenga tu na huwa sipendi collabo tu
Yeah ni kweli kabisa, kuna wakati na baadhi ya matukio kujitenga nayo na kukaa mbali nayo kunatupa unafuu na kuona ndio best solution. Japo katika mazingira hayo fursa nyingi sana tunapoteza au kuwa mbali nazo.
 
Tatizo linawakumba wengi sana na mbaya zaidi halina Tiba ya kueleweka Hearing aids zipo za model mbalimbali jaribu ICC model pia Cochlea implant ndio suluhisho lakini garama zake ni MIL 39 TZS [emoji34]
Ahsante sana ndugu

Hiyo conchlear implants walinikatalia mara mbili, wakisiaitiza solution kwangu ni hearing aids hasa digital lakini hali bado mkuu
 
1. Tafuta Pesa sana. Ukizipata nyingi tatizo litapungua kwa kiwango kikubwa.

2. Tatizo lako ni chagizo kubwa sana la hisia kuliko tatizo lenyewe. Ungekuwa mkoa mmoja namimi tungekaa karibunkama.marafiki for 2months ungeshangaa. Unahitaji kujengewa uwezo wa kujiamini zaidi thus why nimesema ukipata pesa sana shida inapungua.

3. Unauhuru wa kuchagua aina ya mawasiliano na watu pamoja na maeneo yake. Nimechoka kuandika weka namba tukupigie/kukumeseji tukushauri. Mie nimewin hili tatizo kwa kiwango kikubwa.
 
Hizi hearing aids zitakuongezea stress ..cha msingi Ni kurelax tu ili kujipunguzia msongo wa mawazo.

Ukweli Ni kuwa hizi Changamoto zetu hazihusiani na ubovu wa masikio Bali Ni failure of nervous system au nervous system damage na hasa unapokuwa na stress sana hali huwa Tete.

Jitahidi kuwa active yaan usipende kukaakaa tu..

Acha kujihisi una mkosi au maisha magumu..

Kuwa na rafiki unayeamini Ni fresh..yaan anakusapoti hususani kisaikolojia.

Utanishukuru mkuu.

Nilinunua hizo aids kwa laki na nusu nimeachana nayo na Sasa naweza kuongea na simu japo kuna muda nakwama...

In God we Trust.
 
In God we Trust
 
1. Tafuta Pesa sana. Ukizipata nyingi tatizo litapungua kwa kiwango kikubwa.

2. Tatizo lako ni chagizo kubwa sana la hisia kuliko tatizo lenyewe. Ungekuwa mkoa mmoja namimi tungekaa karibunkama.marafiki for 2months ungeshangaa. Unahitaji kujengewa uwezo wa kujiamini zaidi thus why nimesema ukipata pesa sana shida inapungua.

3. Unauhuru wa kuchagua aina ya mawasiliano na watu pamoja na maeneo yake. Nimechoka kuandika weka namba tukupigie/kukumeseji tukushauri. Mie nimewin hili tatizo kwa kiwango kikubwa.
Ushauri mzuri sana huu..Mkuu umesomea Counselling au nawe umepitia haya madhila
 
1. Tafuta Pesa sana. Ukizipata nyingi tatizo litapungua kwa kiwango kikubwa.

2. Tatizo lako ni chagizo kubwa sana la hisia kuliko tatizo lenyewe. Ungekuwa mkoa mmoja namimi tungekaa karibunkama.marafiki for 2months ungeshangaa. Unahitaji kujengewa uwezo wa kujiamini zaidi thus why nimesema ukipata pesa sana shida inapungua.

3. Unauhuru wa kuchagua aina ya mawasiliano na watu pamoja na maeneo yake. Nimechoka kuandika weka namba tukupigie/kukumeseji tukushauri. Mie nimewin hili tatizo kwa kiwango kikubwa.
Ahsante sana.

Nimekucheki PM
 
Back
Top Bottom