Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Mungu akupe hitaji la moyo wako.Pokea kadiri ya Imani yako. All in all usikate tamaa
 
Pole sana. I hope utafanikiwa katika hili. Mungu yupo karibu sana na wampendao.
 
anadai alishawahi kuwa changudoa kwa miaka 6 hapohapo anakwambia anaweza kulea watoto kama yaya
Nashangaa watu wengi wanampa pole wakati huyo mpuuzi ameandika upumbavu wake, sasa nawaza n kwamba hao watu wote hawajasoma mada au vp.

Hapo familia nzima mnaungwa kwenye gridi ya taifa, saa 24 mwanga wa tanesco unawaangazia na mnapewa bonus ya nyumba kuwa danguro
 
Ushauri mzuri,huuu nimeupenda
 
Duh,nashindwa niandike nn kwa changamoto hiyo.
SAWA una miaka 42 mmezaliwa wawili tu.
Vp wewe huna familia,au hujawahi kuolewa ama kuzaa.
Maana mdogo wako kama yupo kidato Cha tatu maana ake umri wake ni chini ya miaka 16.

Na je,hakuna ndugu yeyote aliye karibu na wewe!.

Inasikitisha,inauma,ila imenibidi nijiulize baadhi ya maswali na ikanibidi nikuulize pia maswali hayo.

Pole kwa maswahibu.
 
Upo makini mkuu, Safi sana
 
ana nia ovu
ni hatari sana kukaribisha yaya wa historia hii awe kakwambia mwenyewe au kwa kusikia tuh
 
Pole mkuu.
Nakupongeza kwa hili.
Umepona na amua kupona.
Wadau,kama kuna namna msaidieni huyu binti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…