Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

UDSM hawatoi Diploma ya Education
 
Jamani twin njoo ukae kwangu tupambane mdogo mdogo.ngoja niweke miundombinu sawa
Twin, humu kusema ukweli nimezodolewa mpaka naona aibu hata kujibu.
Ila nashukuru wenye uelewa wananisaidia.
Haya twin nitakustua.
 
Kwanini uache kazi ambayo imekufanya mpaka ujenge?
We sema tu unaafuta madanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…