mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Aisee miaka 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamba unasikitisha,kasilisha ama vipi?Labda kwasababu uzi wake haufurahishi
Sijakuelewa 😃Kamba unasikitisha,kasilisha ama vipi?
Ulivyomjibu jamaa pale juu ndipo na mimi nikaongezea hapo mkuu.Sijakuelewa 😃
Ooooh 😆Ulivyomjibu jamaa pale juu ndipo na mimi nikaongezea hapo mkuu.
UDSM hawatoi Diploma ya EducationHabari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Twin, humu kusema ukweli nimezodolewa mpaka naona aibu hata kujibu.Jamani twin njoo ukae kwangu tupambane mdogo mdogo.ngoja niweke miundombinu sawa
Asante sana mkuu.Mungu akupe hitaji la moyo wako.Pokea kadiri ya Imani yako. All in all usikate tamaa
Amiiin.Pole sana. I hope utafanikiwa katika hili. Mungu yupo karibu sana na wampendao.
Vidampa 🤣🤣🤣Na nyie vidampa mnafanya kwa sababu ya nini? 😹
Kwenda Paris au?
Vidampa vingi humu kina chogo halafu wengi wanapatikana kigamboni sijui kwann 😹😹😹Vidampa 🤣🤣🤣
Ila ukiamua jambo lako hubskishi hata chenchii 🤣🤣🤣 eti chogoVidampa vingi humu kina chogo halafu wengi wanapatikana kigamboni sijui kwann 😹😹😹
Daddy....Yn mtoa mada na hao wanaompa wote wapumbavu tuu
Wizo umeniita Kidampa?? 😲😲Vidampa vingi humu kina chogo halafu wengi wanapatikana kigamboni sijui kwann 😹😹😹
😹😹😹 Sio wewe bana, wewe wizo wangu mwenye wowowo lake mjini.!!Wizo umeniita Kidampa?? 😲😲
ukaongezea nini nduguUlivyomjibu jamaa pale juu ndipo na mimi nikaongezea hapo mkuu.