Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Cc. Evelyn salt, money penny na wengine
Waione kwenye jarada na wenzie
 
Miss Natafutwa kuna watu wanahisi wewe ni tapeli na kuna wanaosema siyo tapeli. Je, akitokea member akakuambia umpe jina la shule anayosoma mdogo wako na jina lake kwa kutumia private message ili akamlipie ada utampa? Kama utampa uko tayari akienda amhoji ili kujua ukweli wa haya unayosema? (hata mention mambo ya kujiuza)
 
NDIO, NIPO TAYARI.
NIPO TAYARI
 
Mkuu huyo ni tapeli huoni huo mlolongo na content ya matukio...
 
Wee utanifaaa nicheki pm tuyajenge.
 
Mkuu huyo ni tapeli huoni huo mlolongo na content ya matukio...
Sipingi moja kwa moja mkuu. Na uchangamfu wake wa kuwa kwenye thread muda wote huku akijibu kila comment unatia mashaka zaidi. Anyways, kuna watu wengine huwa wanaanzisha thread za aina hii ili tu kufurahisha baraza kwani zinakuwaga na wachangiaji wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…