Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Umeandika vitu vingi off topic.
Utofauti wa elimu ya kata na international.
Wametuzidi gape kwenye masoko ya ajira duniani .
Au ulikuwa huelewi kinachoongelewa?
 
Nesi mwenyewe usikute ana DIPLOMA tu, tena ya kugegedwa na lecturer.

Halafu ati ndio akuponye kansa!! Thubutuuuuuu!!!

Yeye anafuata maelekezo ya wizara tu hana alijualo.
Na mgonjwa wala hakuwa na kansa, walikuwa wanatuzungusha tu hicho kipimo hawakutaka kufanya ni issue ya kimasilahi zaidi gharama za kipimo zilipunguzwa maana tulitokea hospitali ya Amana. Sasa yule nesi katuvuta pembeni et ndio anatushwishi twende clinic et inaweza kuwa kansa, tukaondoka sijarudi tena.
 
Kinachowafanya wasiwe kama wewe sio Shule ya 40M bali familia zao ziko vyema


Yaani hao hata wasiposoma wewe kajamba nani humfikii.

So tayari wana connections hata kabla ya hizo shule za Kishua.

Msichanganye vitu viwili hapo.
Aliuliza watakuwa wapi namjibu kama kasoma 40M+ unafikiri atakuwa anahangaika kama sisi
 
Kinachowafanya wasiwe kama wewe sio Shule ya 40M bali familia zao ziko vyema


Yaani hao hata wasiposoma wewe kajamba nani humfikii.

So tayari wana connections hata kabla ya hizo shule za Kishua.

Msichanganye vitu viwili hapo.
Jamaa anataja mafanikio ya watu waliyotoka familia zenye uwezo wa kifedha.
 
Mzungu haamini kama mweusi anasoma, ndio maana ukifika majuu na shahada zako wanakurudisha darasani kupigwa msasa usilishe matango watoto wao.

Na ukifuzu hata uwe profesa, utakuwa chini ua watu. Profesa aliyesoma bongo, kule ni tutor tu
Kwa kweli sijakuelewa.
Labda ungenipa mfano wa hcho unachoongea?
 
Nimesoma hoja zenu wote. Lakini kwa ufupi mtafute hela.
Hakika !
Ila hatuwezi kumlazimisha , sababu kubwa ni UMASKINI. hayupo mtu mwenye pesa anapeleka mtoto wake shule za serikali. Binafsi nilishasema mwanangu ataendelea kusoma kwa gharama yoyote as long as bado Nipo na nguvu.
 
Mimi la kwanza mpaka la Saba ni English medium form one na kuendelea ndo shule za serekali iyo imekaaje
 
😂😂😂😂
 
Mkuu thats Conspiracy theory kuhusu Dr sebby!
Kama unaweza kuprove sebby Alitibu Unavyosema lets deals with real peaple statistics Study..
Nipe Idadi ya Watu waliotibiwa Na Dr sebby kwa maradhi ya Kansa na kama ukiweza Report zao kabla ya kutibiwa na baada ya kutibiwa..
Hizo ni Theory zinazotengenezwa Mkuu!


Kuhusu UTI:
Kuhusu UTI (Uninary Tract infection) its challenging situation sana..
Nafurhi kusikia kuwa Unajua zamani ilikuwa vyepesi kutibu UTI kuliko siku hizi!

Unajua kwanini?

Zamani Mfumo wa Mkojo (Urinary Tract) ulikuwa unashambuliwa Sana na Mdudu aitwaje E.Coli (Escherichia Coli) "Huyu ni mdudu/Bacteria anayepatikana sana kwenye Choo na Mfumo mzima wa Almentary Canal"

Kwahyo waliokuwa wanapata UTI asilimia kubwa ni wanawke kutokana na mazingira ya kujisafisha n.k.

Hivyo hata dawa za UTI ilikuwa simple sana Kuzitoa na mtu akapona pamoja na Ushauri Wa usafi..

Siku hizi imekuwa Tofauti kwa Sababu studies na culture Nyingi zinaonyesha Wadudu wanaoshambulia Mfumo wa Mkojo kwa Asilimia kubwa Sio E.coli Tena (Japo E.coli ni Kwa watoto wadogo wanaoanza kubalehe na mwisho miaka 15)
Sasa hivi Asilimia Kubwa ya Wadudu wanao sababisha UTI ni wale wanao sababisha magonjwa ya Zinaa so siku hizi Kutibu ni UTI sugu iliyosababishwa na Zinaa sugu..

na kwa bahati mbaya inasambaa kwa kasi sana na Vimelea Sugu pia vinasambaa na Resistance ya Dawa inakuwa kubwa na ndo maana Siku hizi kuna High rate ya Drugs Failure kwa matibabu ya UTI kwa sababu ya Usugu wa Magonjwa ya Zinaa ambayo tunayafuga na tunayapa jina Jingine La UTI ..
Kama una swali nakukaribisha
Asante!
 
Unakuta anaona noma kwa madaktari wenzie akisema (mfano) kansa ina dawa ataonekana kama kawa mshamba, ndio walivyo hao jamaa wamefundishwa kuwaza kwa mtazamo mmoja tu.
Hebu nipe Dawa ya Kansa mkuu na mimi niwe Mgunduzi wa kwanza wa Dawa ya kansa kutoka Tanzania 🤣🤣..

Ungejua How Cancer inavyotokea na kushambulia I think hata ungefuta hii comment
 
Mkuu uko sawa Kabisa anaweza akaajiriwa kama Darasa la saba mkata Majani kama unavyosema..
je una uhakika kama hakujiendeleza?
Unajua Elimu yake kwa Sasa?

Wapo Watu Tunawaona Wana ajiriwa kazini kama MA (Medical Attendant) [Wahudumu wa Afya]..

Baadaye Wanarekebisha Vyeti vyao kwa kusoma Au kurudia mtihani na kupata matokeo yanayo wawezesha wao kusoma Nursing au Utabibu..
Na wanapomaliza pia Wanajiongeza na Kusoma zaidi na zaidi..

Sasa hivi wengine wapo ni Madaktari Bingwa wabobezi na walianza kama wahudumu wa Afya au wafyeka Nyasi kama Unavyosema..

Kumjua mtu zamani Haimaanishi yuko Hivyo miaka yote..
Shukrani Mkuu
 
Wanapewa cadaver (Google that). Hawawezi kupewa mwili wa ajali(tena ajali ya bodaboda), wanapewa mwili uliokamilika ili waweze kuusoma vizuri
Na hiyo kumbuka ni Mwaka wa Kwanza kabisa 😆😆..Bado hata hajaanza Junior Rotation
 
Mzungu haamini kama mweusi anasoma, ndio maana ukifika majuu na shahada zako wanakurudisha darasani kupigwa msasa usilishe matango watoto wao.

Na ukifuzu hata uwe profesa, utakuwa chini ua watu. Profesa aliyesoma bongo, kule ni tutor tu
Uongo mtupu Watu tumeenda huko kwa Wazungu na tunaheshimika Vile vile Nimesoma Resident Ya Paediatric, Kwa wazungu Mkuu so Acha kusikiliza story za Vijiweni!
 
Kansa haipimwi kwa dalili inathibitishwa kwa Vipimo..

Usichukue kosa la mtu mmoja ukaona ni kosa la wote
 

Unaumia na hela za watu[emoji28][emoji28] wewe somesha watoto wa Kayumba. Acha sisi tuendelee kuwasomesha ENGLISH MEDIUM za bei ghali.

Ikiwa unaona elimu ni ghali, jaribu ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…