SAFI SANA BICHWA KOMWE endelea kutufumbua.Dokta tuache masihara, tuseme tu ukweli, ukitaka kupasua mtu unahitaji zana kuu mbili basi: KISU na MKASI.
Hata teja ukimfundisha HUMAN ANATOMY anaweza kupasua manyama na kuyashona.
Unadunga limrija la kuongezea damu, unamtia ganzi unaanza kucharanga manyama ndani manyama nje.
Kiukweli hii ni rahisi sana. Ni vile tu mmejivika utukufu ili kuwahadaa wananchi waendelee kubugia madonge yenu yenye sumu.
Samaleko!
Kwahiyo unashabikia ugonjwa?Hebu nipe Dawa ya Kansa mkuu na mimi niwe Mgunduzi wa kwanza wa Dawa ya kansa kutoka Tanzania 🤣🤣..
Kwahiyo unashabikia ugonjwa?
Unaona fahari kwamba kansa haina dawa?? 🤓
Yesu tuokoe! Hizi elimu za kukariri zitatumaliza.
Tunahitaji wasomi katika taifa, lazima tufanye jambo tupate wasomi wa kweli na sio watu wenye makoti meupe wanaoshabikia magonjwa.
Humu mahospitalini 99.5 ni waganga. 0.5% ndio madaktari.Japo wote wanavaa makoti meupe mithili ya wauza nyama buchaniIla mkuu huo ni mfumo duniani kote madaktari wanakaririshwa sio kwa wabongo tu.
100% correctlyNimesoma kayumba chuo ni ni hivi vya kukariri, nimeingia kwenye biashara 2014. Maajabu ni kwamba connection za biashara za maana napata kwa watu ambao hawana shule kabisa kuna kipindi nilikua naona aibu kusema kama mi ni msomi, mwanangu ataamua mwenyewe pia nitamuongoza na kumuandalia future yake.
Kwa nini unasema uwe mgunduzi wa kwanza? Hapo ndio penye tatizo kwa maana hata ukigundua hiyo dawa bado itabaki kuwa hakuna dawa ya kansa kwa maana hakuna atakayetangaza uwepo wa dawa ya kansa kama ilivyo sasa hivi na ndio maana hata wewe hapo umesema uwe mgunduzi wa kwanza kwa maana unachojua hakuna tiba ya kansa.Hebu nipe Dawa ya Kansa mkuu na mimi niwe Mgunduzi wa kwanza wa Dawa ya kansa kutoka Tanzania 🤣🤣..
Ungejua How Cancer inavyotokea na kushambulia I think hata ungefuta hii comment
Mie nimeeleza kilichonitokea tu wala sijasema wote wako hivyo.Kansa haipimwi kwa dalili inathibitishwa kwa Vipimo..
Usichukue kosa la mtu mmoja ukaona ni kosa la wote
Ni kweli kabisa ni suala la system na ndio maana toka mwanzo nilisema madktari dunia nzima wako hivyo hivyo tu japo wachache waliyofikiri nje ya box wengi hutokea kwa wenzetu huko.Nilichosema Sio kufurahia ugonjwa wa kansa..
Nachosikitika ni wewe Kutokujua Pathophysiology ya Ugonjwa wa kansa na kuamini kwamba ni vyepesi kupatikana kwa dawa..!
Mkuu Uwepo Wa Magonjwa ni Faida kwa Madaktari wote Duniani!, Utakuwa Mpofu Kama huoni hilo!
Magonjwa Yakiondoka Daktari atatibu Nini?
Kadhalika kila Mtu akizaliwa na Akili Na Uelewa wa kila Kitu walimu watafundisha Nini?
Hiyo ECOLOGICAL system ya kutegemeana imekuwa Existed Kabla hujazaliwa na Itaendelea hivyo..
Nirudi kwa Yesu!
Magonjwa yangekuwa hayapo Yesu amgemponya nani ili kudhihirisha Ukuu wake?
Na kama kuponya peke yake Ni muhimu sana Mbona yesu Hakumponya Lazaro alisubiria mpaka Afe ndo aende kumfufua?
Mkuu kuna Vitu Vingi unashindwa Kuelewa kabisa Daktari hausiki na upatikanaji wa madawa mbalimbali ya magonjwa!
Daktari anahusika na kutoa Dawa za magonjwa mbalimbali na kujua jinsi ya kuyatibu magonjwa hayo Hii ni system Dunia Nzima!
Shukrani
Yeah kwa sbabu mpaka sasa hakuna Tiba ya Cancer na bado studies na Trial nyingi za kutibu zinaendelea kufanyika So kama nitawahi kufanya trial na Dawa.ikapatikana huoni kama nitakuwa mgunduzi mpya?Kwa nini unasema uwe mgunduzi wa kwanza? Hapo ndio penye tatizo kwa maana hata ukigundua hiyo dawa bado itabaki kuwa hakuna dawa ya kansa kwa maana hakuna atakayetangaza uwepo wa dawa ya kansa kama ilivyo sasa hivi na ndio maana hata wewe hapo umesema uwe mgunduzi wa kwanza kwa maana unachojua hakuna tiba ya kansa.
Ndio nasema hata wewe ukigundua hiyo tiba na ukatibu watu ila isipotangazwa na kutambulika bado itabaki kuwa hakuna tiba ya kansa kama ilivyo sasa japokuwa watu wanatibiwa na kupona hiyo kansa.Yeah kwa sbabu mpaka sasa hakuna Tiba ya Cancer na bado studies na Trial nyingi za kutibu zinaendelea kufanyika So kama nitawahi kufanya trial na Dawa.ikapatikana huoni kama nitakuwa mgunduzi mpya?
Sasa kupewa mwili uliokufa ndio ishu ya maana sana ?Mtoto wa baba mkubwa ni wakike yeye ni daktari anakuambia mara ya kwanza anapewa mwili wa binadamu alikuwa amekufa, unapewa na detail zake. Yeye huyo alikufa kwa ajali ya bodaboda.
Siku ya kwanza alitapika sana.
Mkuu kutokujua pathophysiology ya dawa sio kizuizi cha mtu kujua dawa ya tatizo hata kidogo,naomba katika jambo hili ubadili mtazamo.Nachosikitika ni wewe Kutokujua Pathophysiology ya Ugonjwa wa kansa na kuamini kwamba ni vyepesi kupatikana kwa dawa..!
KIsheria hakuna Dawa inayoanza kutumika kwa matibabu Bila kutengazwa Hiyo Ni Kiapo cha Kila Daktari Duniani Kote kulingana na Hippocroatic oath...Ndio nasema hata wewe ukigundua hiyo tiba na ukatibu watu ila isipotangazwa na kutambulika bado itabaki kuwa hakuna tiba ya kansa kama ilivyo sasa japokuwa watu wanatibiwa na kupona hiyo kansa.
We bro huna uwezo wa kusomesha hizo, shule,we somesha st kayumba,The true education has three qualities [emoji116]
1. It helps you to acquire power.
2. It helps you to maintain power.
3. It helps you to protect the acquired power.
Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.
Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia.
Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia
" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.
Sasa huyu ameelimika au amekariri?
Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?
Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?
Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.
Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.
Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.
Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.
Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.
Daktari kubadili mtazamo sio kitu rahisi kabisa, kufikiri nje ya alivyofundishwa anaona sawa na kudharau taaluma yake.Sasa kupewa mwili uliokufa ndio ishu ya maana sana ?
Mwili uliokufa kama ni kadava ama vinginevyo ule ni kwa ajili ya kujifunzia ili ujue kwamba artery fulani ama vein fulani iko hapo.
Ama ujue kwamba brachial plexus ipo sehemu gani katika mwili,ili ujue
Mkuu kutokujua pathophysiology ya dawa sio kizuizi cha mtu kujua dawa ya tatizo hata kidogo,naomba katika jambo hili ubadili mtazamo.
Japokuwa kujua pathophysiology ni moja wapo ya njia za kurahisisha mtu kujua wapi atibu,ila sio NJIA ya pekee.
Kwa sababu hata hiyo kansa pathophysilogy yake ipo,ila je kujua pathology yake imefanya dawa ifahamike ama igundulike ? Hapana.
Kwa hiyo hata wewe kujua kwako pathophysiology bado hakujasaidia kupata dawa ya kansa.
Hata hao waliogundua pathophysiology ya kansa bado haijawasaidia kupata dawa.
MImi nilishawahi kujitibu tatizo fulani la vidoleni kwa kutumia mkaa na halikurudi tena lile tatizo,lakini sijui pathophysiology yake,lakini mkaa ulinitibu vizuri.
Ninajitibu mafua mepesi yale ya kuchuruzika kwa kutumia vitunguu maji navinusa kwa mara kadhaa na napona mafua na wala sijui pathophysiology yake.
Huwa Ninajitibu kifua kikavu kwa kutafuna tangawizi mara kadhaa na napana ndani ya siku moja na nusu bila kujua pathophysiology yeyote wakati huo nikienda hospitali nitaandikiwa amoxcillin 8hourly for 5days wakati tangawizi inanitibu kwa siku mbili tu.
Hivyo mkuu kama ambavyo umekubali hapo nyuma kwamba wagonjwa ni mtaji wa madaktari,HIVYO MGONJWA AKIMUONA DOKTA ASIMUONE KAMA MTU ANAYETAKA UZIMA KUTOKA KWAKE BALI NI MTU ANAYETAKA PESA KUTOKA KWAKE.
MImi nashangaa sana mtu usipotumia dawa kifua huwa unapona hasa nikikumbuka nyakati fulani za ujana wangu wa miaka 18-25,nini kinatibu kifua mpaka napona bila kutumia dawa ?
MImi nadhani mkuu unatakiwa ubadilishe mtazamo katika jambo hili na tukubaliane kwamba haya yanayosomeshwa shuleni ama vyuoni ni kwa ajili ya biashara tu.
We usome saint kayumba, unaenda shule na fagio na kidumu,mwanao pia, asome hivyo hivyo! Pls bro kama una uwezo, mpeleke hata IST(intentional school of Tanganyika), kwa mwaka, milioni 60!Taratibu watu wataelewa tu. Tatizo mtanzania akili yake huwaga inaelewa taratibu ila akielewa ameeleawa
Cadava Hufundishwa mwaka wa kwanza kwa wanafunzi Wanaosoma Anatomy..Sasa kupewa mwili uliokufa ndio ishu ya maana sana ?
Mwili uliokufa kama ni kadava ama vinginevyo ule ni kwa ajili ya kujifunzia ili ujue kwamba artery fulani ama vein fulani iko hapo.
Ama ujue kwamba brachial plexus ipo sehemu gani katika mwili,ili ujue
Kwanza Kabisa Vizuri kabisa kwa kujua Pathophysiology bila kujua kama ni pathophysiology..Mkuu kutokujua pathophysiology ya dawa sio kizuizi cha mtu kujua dawa ya tatizo hata kidogo,naomba katika jambo hili ubadili mtazamo.
Japokuwa kujua pathophysiology ni moja wapo ya njia za kurahisisha mtu kujua wapi atibu,ila sio NJIA ya pekee.
Kwa sababu hata hiyo kansa pathophysilogy yake ipo,ila je kujua pathology yake imefanya dawa ifahamike ama igundulike ? Hapana.
Kwa hiyo hata wewe kujua kwako pathophysiology bado hakujasaidia kupata dawa ya kansa.
Hata hao waliogundua pathophysiology ya kansa bado haijawasaidia kupata dawa.
MImi nilishawahi kujitibu tatizo fulani la vidoleni kwa kutumia mkaa na halikurudi tena lile tatizo,lakini sijui pathophysiology yake,lakini mkaa ulinitibu vizuri.
Ninajitibu mafua mepesi yale ya kuchuruzika kwa kutumia vitunguu maji navinusa kwa mara kadhaa na napona mafua na wala sijui pathophysiology yake.
Huwa Ninajitibu kifua kikavu kwa kutafuna tangawizi mara kadhaa na napana ndani ya siku moja na nusu bila kujua pathophysiology yeyote wakati huo nikienda hospitali nitaandikiwa amoxcillin 8hourly for 5days wakati tangawizi inanitibu kwa siku mbili tu.
Hivyo mkuu kama ambavyo umekubali hapo nyuma kwamba wagonjwa ni mtaji wa madaktari,HIVYO MGONJWA AKIMUONA DOKTA ASIMUONE KAMA MTU ANAYETAKA UZIMA KUTOKA KWAKE BALI NI MTU ANAYETAKA PESA KUTOKA KWAKE.
MImi nashangaa sana mtu usipotumia dawa kifua huwa unapona hasa nikikumbuka nyakati fulani za ujana wangu wa miaka 18-25,nini kinatibu kifua mpaka napona bila kutumia dawa ?
MImi nadhani mkuu unatakiwa ubadilishe mtazamo katika jambo hili na tukubaliane kwamba haya yanayosomeshwa shuleni ama vyuoni ni kwa ajili ya biashara tu.
Point zako ni zile zile👇We bro huna uwezo wa kusomesha hizo, shule,we somesha st kayumba,
MTU anayefikiria vzr,huwezi kusema hakuna LA maana shule za English, medium, kwamba hakuna tofauti ya shule hizo na zile st kayumba.
Unataka, kutuambia, st Mary's, st Gasper, feza,baobab, DCT,ni sawa na mwenge shule ya msingi, mapambano shule ya msingi? ;we kichwani haupo sawa,
Gazeti LA jana LA mwananchi, katika shule za temeke,kidato cha pili,wanafunzi, wanne kati ya watano, wamepata div 4,kwenda chini! Wemgine wote ni makarai!
Sababu zilizochangia, waalimu hawana motisha, vitendea kazi, miundombinu duni,
Shule za kulipia, tunatafuta sehemu ye ye miundombinu, vitabu, maktaba,maslahi mazuri kwa waalimu ili wafindishe vzr, sio kuuza visheti, kabab, kwa wanafunzi!
Mtoto anasoma makongo(dar) anakaa bunju!kila siku kwenye madaladala, mpaka afike nyumbani, amechoka, hawezi, hata kujisomea, Bora nilipe ma milioni, afatwe na basi! Aende comfortably, apate muda wa kucheza games, na, kujifunza vitu vingi,
🤣🤣🤣Point zako ni zile zile👇
1. Poor leadership
2. Poor infrastructure
3. Poor social services etc.
Huna hata jipya