Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Dokta tuache masihara, tuseme tu ukweli, ukitaka kupasua mtu unahitaji zana kuu mbili basi: KISU na MKASI.

Hata teja ukimfundisha HUMAN ANATOMY anaweza kupasua manyama na kuyashona.

Unadunga limrija la kuongezea damu, unamtia ganzi unaanza kucharanga manyama ndani manyama nje.

Kiukweli hii ni rahisi sana. Ni vile tu mmejivika utukufu ili kuwahadaa wananchi waendelee kubugia madonge yenu yenye sumu.

Samaleko!
SAFI SANA BICHWA KOMWE endelea kutufumbua.
 
Hebu nipe Dawa ya Kansa mkuu na mimi niwe Mgunduzi wa kwanza wa Dawa ya kansa kutoka Tanzania 🤣🤣..
Kwahiyo unashabikia ugonjwa?

Unaona fahari kwamba kansa haina dawa?? 🤓

Yesu tuokoe! Hizi elimu za kukariri zitatumaliza.

Tunahitaji wasomi katika taifa, lazima tufanye jambo tupate wasomi wa kweli na sio watu wenye makoti meupe wanaoshabikia magonjwa.
 
Nilichosema Sio kufurahia ugonjwa wa kansa..

Nachosikitika ni wewe Kutokujua Pathophysiology ya Ugonjwa wa kansa na kuamini kwamba ni vyepesi kupatikana kwa dawa..!

Mkuu Uwepo Wa Magonjwa ni Faida kwa Madaktari wote Duniani!, Utakuwa Mpofu Kama huoni hilo!

Magonjwa Yakiondoka Daktari atatibu Nini?
Kadhalika kila Mtu akizaliwa na Akili Na Uelewa wa kila Kitu walimu watafundisha Nini?

Hiyo ECOLOGICAL system ya kutegemeana imekuwa Existed Kabla hujazaliwa na Itaendelea hivyo..

Nirudi kwa Yesu!

Magonjwa yangekuwa hayapo Yesu amgemponya nani ili kudhihirisha Ukuu wake?

Na kama kuponya peke yake Ni muhimu sana Mbona yesu Hakumponya Lazaro alisubiria mpaka Afe ndo aende kumfufua?

Mkuu kuna Vitu Vingi unashindwa Kuelewa kabisa Daktari hausiki na upatikanaji wa madawa mbalimbali ya magonjwa!

Daktari anahusika na kutoa Dawa za magonjwa mbalimbali na kujua jinsi ya kuyatibu magonjwa hayo Hii ni system Dunia Nzima!

Shukrani
 
Nimesoma kayumba chuo ni ni hivi vya kukariri, nimeingia kwenye biashara 2014. Maajabu ni kwamba connection za biashara za maana napata kwa watu ambao hawana shule kabisa kuna kipindi nilikua naona aibu kusema kama mi ni msomi, mwanangu ataamua mwenyewe pia nitamuongoza na kumuandalia future yake.
 
100% correctly
 
Hebu nipe Dawa ya Kansa mkuu na mimi niwe Mgunduzi wa kwanza wa Dawa ya kansa kutoka Tanzania 🤣🤣..

Ungejua How Cancer inavyotokea na kushambulia I think hata ungefuta hii comment
Kwa nini unasema uwe mgunduzi wa kwanza? Hapo ndio penye tatizo kwa maana hata ukigundua hiyo dawa bado itabaki kuwa hakuna dawa ya kansa kwa maana hakuna atakayetangaza uwepo wa dawa ya kansa kama ilivyo sasa hivi na ndio maana hata wewe hapo umesema uwe mgunduzi wa kwanza kwa maana unachojua hakuna tiba ya kansa.
 
Nilichosema Sio kufurahia ugonjwa wa kansa..

Nachosikitika ni wewe Kutokujua Pathophysiology ya Ugonjwa wa kansa na kuamini kwamba ni vyepesi kupatikana kwa dawa..!

Mkuu Uwepo Wa Magonjwa ni Faida kwa Madaktari wote Duniani!, Utakuwa Mpofu Kama huoni hilo!

Magonjwa Yakiondoka Daktari atatibu Nini?
Kadhalika kila Mtu akizaliwa na Akili Na Uelewa wa kila Kitu walimu watafundisha Nini?

Hiyo ECOLOGICAL system ya kutegemeana imekuwa Existed Kabla hujazaliwa na Itaendelea hivyo..

Nirudi kwa Yesu!

Magonjwa yangekuwa hayapo Yesu amgemponya nani ili kudhihirisha Ukuu wake?

Na kama kuponya peke yake Ni muhimu sana Mbona yesu Hakumponya Lazaro alisubiria mpaka Afe ndo aende kumfufua?

Mkuu kuna Vitu Vingi unashindwa Kuelewa kabisa Daktari hausiki na upatikanaji wa madawa mbalimbali ya magonjwa!

Daktari anahusika na kutoa Dawa za magonjwa mbalimbali na kujua jinsi ya kuyatibu magonjwa hayo Hii ni system Dunia Nzima!

Shukrani
Ni kweli kabisa ni suala la system na ndio maana toka mwanzo nilisema madktari dunia nzima wako hivyo hivyo tu japo wachache waliyofikiri nje ya box wengi hutokea kwa wenzetu huko.

Huu ubishani wa ugonjwa kuwa na dawa au hauna dawa unaanzia kwenye utofauti wa uelewa wa haya magonjwa yenyewe.
 
Kwa nini unasema uwe mgunduzi wa kwanza? Hapo ndio penye tatizo kwa maana hata ukigundua hiyo dawa bado itabaki kuwa hakuna dawa ya kansa kwa maana hakuna atakayetangaza uwepo wa dawa ya kansa kama ilivyo sasa hivi na ndio maana hata wewe hapo umesema uwe mgunduzi wa kwanza kwa maana unachojua hakuna tiba ya kansa.
Yeah kwa sbabu mpaka sasa hakuna Tiba ya Cancer na bado studies na Trial nyingi za kutibu zinaendelea kufanyika So kama nitawahi kufanya trial na Dawa.ikapatikana huoni kama nitakuwa mgunduzi mpya?
 
Ndio nasema hata wewe ukigundua hiyo tiba na ukatibu watu ila isipotangazwa na kutambulika bado itabaki kuwa hakuna tiba ya kansa kama ilivyo sasa japokuwa watu wanatibiwa na kupona hiyo kansa.

Kama nilivyosema tatizo kubwa ni kutofautiana uelewa wa hayo magonjwa yenyewe.
 
Mtoto wa baba mkubwa ni wakike yeye ni daktari anakuambia mara ya kwanza anapewa mwili wa binadamu alikuwa amekufa, unapewa na detail zake. Yeye huyo alikufa kwa ajali ya bodaboda.
Siku ya kwanza alitapika sana.
Sasa kupewa mwili uliokufa ndio ishu ya maana sana ?

Mwili uliokufa kama ni kadava ama vinginevyo ule ni kwa ajili ya kujifunzia ili ujue kwamba artery fulani ama vein fulani iko hapo.

Ama ujue kwamba brachial plexus ipo sehemu gani katika mwili,ili ujue
Nachosikitika ni wewe Kutokujua Pathophysiology ya Ugonjwa wa kansa na kuamini kwamba ni vyepesi kupatikana kwa dawa..!
Mkuu kutokujua pathophysiology ya dawa sio kizuizi cha mtu kujua dawa ya tatizo hata kidogo,naomba katika jambo hili ubadili mtazamo.

Japokuwa kujua pathophysiology ni moja wapo ya njia za kurahisisha mtu kujua wapi atibu,ila sio NJIA ya pekee.

Kwa sababu hata hiyo kansa pathophysilogy yake ipo,ila je kujua pathology yake imefanya dawa ifahamike ama igundulike ? Hapana.

Kwa hiyo hata wewe kujua kwako pathophysiology bado hakujasaidia kupata dawa ya kansa.

Hata hao waliogundua pathophysiology ya kansa bado haijawasaidia kupata dawa.

MImi nilishawahi kujitibu tatizo fulani la vidoleni kwa kutumia mkaa na halikurudi tena lile tatizo,lakini sijui pathophysiology yake,lakini mkaa ulinitibu vizuri.

Ninajitibu mafua mepesi yale ya kuchuruzika kwa kutumia vitunguu maji navinusa kwa mara kadhaa na napona mafua na wala sijui pathophysiology yake.

Huwa Ninajitibu kifua kikavu kwa kutafuna tangawizi mara kadhaa na napana ndani ya siku moja na nusu bila kujua pathophysiology yeyote wakati huo nikienda hospitali nitaandikiwa amoxcillin 8hourly for 5days wakati tangawizi inanitibu kwa siku mbili tu.

Hivyo mkuu kama ambavyo umekubali hapo nyuma kwamba wagonjwa ni mtaji wa madaktari,HIVYO MGONJWA AKIMUONA DOKTA ASIMUONE KAMA MTU ANAYETAKA UZIMA KUTOKA KWAKE BALI NI MTU ANAYETAKA PESA KUTOKA KWAKE.

MImi nashangaa sana mtu usipotumia dawa kifua huwa unapona hasa nikikumbuka nyakati fulani za ujana wangu wa miaka 18-25,nini kinatibu kifua mpaka napona bila kutumia dawa ?

MImi nadhani mkuu unatakiwa ubadilishe mtazamo katika jambo hili na tukubaliane kwamba haya yanayosomeshwa shuleni ama vyuoni ni kwa ajili ya biashara tu.
 
Ndio nasema hata wewe ukigundua hiyo tiba na ukatibu watu ila isipotangazwa na kutambulika bado itabaki kuwa hakuna tiba ya kansa kama ilivyo sasa japokuwa watu wanatibiwa na kupona hiyo kansa.
KIsheria hakuna Dawa inayoanza kutumika kwa matibabu Bila kutengazwa Hiyo Ni Kiapo cha Kila Daktari Duniani Kote kulingana na Hippocroatic oath...

So Daktari yoyote endapo atatibu mgonjwa kutumia Mlonge na Ukafanya kazi ya kutibu Cancer Ni wajibu kwake kutoa taarifa kwa Madaktari wengine kuhusu matibabu aliyogundua..
Kipamde cha Oath..
IMG-20231120-WA0000(3).jpg
 
The true education has three qualities [emoji116]

1. It helps you to acquire power.

2. It helps you to maintain power.

3. It helps you to protect the acquired power.

Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.

Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia.

Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia

" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.

Sasa huyu ameelimika au amekariri?

Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?

Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?

Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.

Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.

Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.

Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.

Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.
We bro huna uwezo wa kusomesha hizo, shule,we somesha st kayumba,
MTU anayefikiria vzr,huwezi kusema hakuna LA maana shule za English, medium, kwamba hakuna tofauti ya shule hizo na zile st kayumba.
Unataka, kutuambia, st Mary's, st Gasper, feza,baobab, DCT,ni sawa na mwenge shule ya msingi, mapambano shule ya msingi? ;we kichwani haupo sawa,
Gazeti LA jana LA mwananchi, katika shule za temeke,kidato cha pili,wanafunzi, wanne kati ya watano, wamepata div 4,kwenda chini! Wemgine wote ni makarai!
Sababu zilizochangia, waalimu hawana motisha, vitendea kazi, miundombinu duni,
Shule za kulipia, tunatafuta sehemu ye ye miundombinu, vitabu, maktaba,maslahi mazuri kwa waalimu ili wafindishe vzr, sio kuuza visheti, kabab, kwa wanafunzi!
Mtoto anasoma makongo(dar) anakaa bunju!kila siku kwenye madaladala, mpaka afike nyumbani, amechoka, hawezi, hata kujisomea, Bora nilipe ma milioni, afatwe na basi! Aende comfortably, apate muda wa kucheza games, na, kujifunza vitu vingi,
 
Sasa kupewa mwili uliokufa ndio ishu ya maana sana ?

Mwili uliokufa kama ni kadava ama vinginevyo ule ni kwa ajili ya kujifunzia ili ujue kwamba artery fulani ama vein fulani iko hapo.

Ama ujue kwamba brachial plexus ipo sehemu gani katika mwili,ili ujue

Mkuu kutokujua pathophysiology ya dawa sio kizuizi cha mtu kujua dawa ya tatizo hata kidogo,naomba katika jambo hili ubadili mtazamo.

Japokuwa kujua pathophysiology ni moja wapo ya njia za kurahisisha mtu kujua wapi atibu,ila sio NJIA ya pekee.

Kwa sababu hata hiyo kansa pathophysilogy yake ipo,ila je kujua pathology yake imefanya dawa ifahamike ama igundulike ? Hapana.

Kwa hiyo hata wewe kujua kwako pathophysiology bado hakujasaidia kupata dawa ya kansa.

Hata hao waliogundua pathophysiology ya kansa bado haijawasaidia kupata dawa.

MImi nilishawahi kujitibu tatizo fulani la vidoleni kwa kutumia mkaa na halikurudi tena lile tatizo,lakini sijui pathophysiology yake,lakini mkaa ulinitibu vizuri.

Ninajitibu mafua mepesi yale ya kuchuruzika kwa kutumia vitunguu maji navinusa kwa mara kadhaa na napona mafua na wala sijui pathophysiology yake.

Huwa Ninajitibu kifua kikavu kwa kutafuna tangawizi mara kadhaa na napana ndani ya siku moja na nusu bila kujua pathophysiology yeyote wakati huo nikienda hospitali nitaandikiwa amoxcillin 8hourly for 5days wakati tangawizi inanitibu kwa siku mbili tu.

Hivyo mkuu kama ambavyo umekubali hapo nyuma kwamba wagonjwa ni mtaji wa madaktari,HIVYO MGONJWA AKIMUONA DOKTA ASIMUONE KAMA MTU ANAYETAKA UZIMA KUTOKA KWAKE BALI NI MTU ANAYETAKA PESA KUTOKA KWAKE.

MImi nashangaa sana mtu usipotumia dawa kifua huwa unapona hasa nikikumbuka nyakati fulani za ujana wangu wa miaka 18-25,nini kinatibu kifua mpaka napona bila kutumia dawa ?

MImi nadhani mkuu unatakiwa ubadilishe mtazamo katika jambo hili na tukubaliane kwamba haya yanayosomeshwa shuleni ama vyuoni ni kwa ajili ya biashara tu.
Daktari kubadili mtazamo sio kitu rahisi kabisa, kufikiri nje ya alivyofundishwa anaona sawa na kudharau taaluma yake.
 
Taratibu watu wataelewa tu. Tatizo mtanzania akili yake huwaga inaelewa taratibu ila akielewa ameeleawa
We usome saint kayumba, unaenda shule na fagio na kidumu,mwanao pia, asome hivyo hivyo! Pls bro kama una uwezo, mpeleke hata IST(intentional school of Tanganyika), kwa mwaka, milioni 60!
Lakini kama wewe middle class, hata za 1M to 6M sio vibaya, shule za, msingi za, serikali ni uozo mtupu,
 
Sasa kupewa mwili uliokufa ndio ishu ya maana sana ?

Mwili uliokufa kama ni kadava ama vinginevyo ule ni kwa ajili ya kujifunzia ili ujue kwamba artery fulani ama vein fulani iko hapo.

Ama ujue kwamba brachial plexus ipo sehemu gani katika mwili,ili ujue
Cadava Hufundishwa mwaka wa kwanza kwa wanafunzi Wanaosoma Anatomy..

Ili kuweza kujua mwili wa Binadamu Vizuri na ilimkutomjua Binadamu Theoretically lazma uone ulivyofundishwa vipo wapi na vinafanya kazi gani..
So Cadava ni muhimu sana..

Japo mwaka wa 3 kwenye junior Rotation wanaanza kugusa Binadamu na Kuanzia mwaka wa 4 wanaanza kuingia Senior rotation na Kufanya kile alichofundishwa kwa Binadamu na Mwala wa 6 huachiwa kabisa wodi na hata Hufanya Baadhi ya Huduma kama upasuaji kwa kuwepo/Bila usimamizi wa Daktari mzoefu..
Mkuu kutokujua pathophysiology ya dawa sio kizuizi cha mtu kujua dawa ya tatizo hata kidogo,naomba katika jambo hili ubadili mtazamo.

Japokuwa kujua pathophysiology ni moja wapo ya njia za kurahisisha mtu kujua wapi atibu,ila sio NJIA ya pekee.

Kwa sababu hata hiyo kansa pathophysilogy yake ipo,ila je kujua pathology yake imefanya dawa ifahamike ama igundulike ? Hapana.

Kwa hiyo hata wewe kujua kwako pathophysiology bado hakujasaidia kupata dawa ya kansa.

Hata hao waliogundua pathophysiology ya kansa bado haijawasaidia kupata dawa.

MImi nilishawahi kujitibu tatizo fulani la vidoleni kwa kutumia mkaa na halikurudi tena lile tatizo,lakini sijui pathophysiology yake,lakini mkaa ulinitibu vizuri.

Ninajitibu mafua mepesi yale ya kuchuruzika kwa kutumia vitunguu maji navinusa kwa mara kadhaa na napona mafua na wala sijui pathophysiology yake.

Huwa Ninajitibu kifua kikavu kwa kutafuna tangawizi mara kadhaa na napana ndani ya siku moja na nusu bila kujua pathophysiology yeyote wakati huo nikienda hospitali nitaandikiwa amoxcillin 8hourly for 5days wakati tangawizi inanitibu kwa siku mbili tu.

Hivyo mkuu kama ambavyo umekubali hapo nyuma kwamba wagonjwa ni mtaji wa madaktari,HIVYO MGONJWA AKIMUONA DOKTA ASIMUONE KAMA MTU ANAYETAKA UZIMA KUTOKA KWAKE BALI NI MTU ANAYETAKA PESA KUTOKA KWAKE.

MImi nashangaa sana mtu usipotumia dawa kifua huwa unapona hasa nikikumbuka nyakati fulani za ujana wangu wa miaka 18-25,nini kinatibu kifua mpaka napona bila kutumia dawa ?

MImi nadhani mkuu unatakiwa ubadilishe mtazamo katika jambo hili na tukubaliane kwamba haya yanayosomeshwa shuleni ama vyuoni ni kwa ajili ya biashara tu.
Kwanza Kabisa Vizuri kabisa kwa kujua Pathophysiology bila kujua kama ni pathophysiology..

Unafikiri ni kwanini ulipougua Kidole hukunywa Mkaa ili kipone na mbadala ukapaka kwemye kidole?
Na unafikiri Ni kwanini Tangawizi hukuipaka kwemye kifua ili kupona kifua ukainywa?

Hayo ndo matibabu yenyewe!..

Kingine hakuna Mahali nimesema au kutamka kuhusu neno Mtaji ("Kiswahili naona kinakusumbua)
Neno nililosema ni Faida "Yaani wagonjwa ni Faida kwa madaktari"

Hiyo inamaamisha kwamba sijui unajua maana ya Faida "Profit" ("Of Importance") na Sio Mtaji kama unavyosema usiweke maneno ambayo hayapo katika kichwa changu..

Kama hakuna Ugonjwa bhasi ya nini kuwepo Daktari?
Na hiyo ndiyo faida ya kutibu magonjwa!..

Kingine kujua Pathophysiology Husaidia vingi na kingine kujua pathophysiology Ya Cancer kumesaidia kujua Stages za cancer na Kujua wapi kuna haja ya kutumia Chemotherapy wapi pa Radiotherapy na Wapi ni cancer ya mwanzoni na kuiondoa kabisa isiweze kuleta athari..

Hapo zamani Bila kujua Pathophysiology stage za mwanzo za Magonjwa ya cancer kama kansa ya matiti na kansa ya mlango wa kizazi yaliongoza kwa kuua watu wakati kama ingeweza kujulikana (Kutumia pathophysiolo..) katiaka stage 1 cancer in situ tungeweza kuondoa "Carcinogernic tissue na mtu akawa salama..

Kuna Mda tunahitaji Elimu kueleweshwa tusipojua Kizazi cha siku.hizi mmekuwa wajuaji halafu ujuaji wa kijinga sana..
Hamjui kitu ila mna ubishi usio na tija
 
We bro huna uwezo wa kusomesha hizo, shule,we somesha st kayumba,
MTU anayefikiria vzr,huwezi kusema hakuna LA maana shule za English, medium, kwamba hakuna tofauti ya shule hizo na zile st kayumba.
Unataka, kutuambia, st Mary's, st Gasper, feza,baobab, DCT,ni sawa na mwenge shule ya msingi, mapambano shule ya msingi? ;we kichwani haupo sawa,
Gazeti LA jana LA mwananchi, katika shule za temeke,kidato cha pili,wanafunzi, wanne kati ya watano, wamepata div 4,kwenda chini! Wemgine wote ni makarai!
Sababu zilizochangia, waalimu hawana motisha, vitendea kazi, miundombinu duni,
Shule za kulipia, tunatafuta sehemu ye ye miundombinu, vitabu, maktaba,maslahi mazuri kwa waalimu ili wafindishe vzr, sio kuuza visheti, kabab, kwa wanafunzi!
Mtoto anasoma makongo(dar) anakaa bunju!kila siku kwenye madaladala, mpaka afike nyumbani, amechoka, hawezi, hata kujisomea, Bora nilipe ma milioni, afatwe na basi! Aende comfortably, apate muda wa kucheza games, na, kujifunza vitu vingi,
Point zako ni zile zile👇
1. Poor leadership

2. Poor infrastructure

3. Poor social services etc.

Huna hata jipya
 
Point zako ni zile zile👇
1. Poor leadership

2. Poor infrastructure

3. Poor social services etc.

Huna hata jipya
🤣🤣🤣
COPOLACAMARATETOE.. "Formulae"

  • Cooperation
  • Policy
  • Labour
  • Capital
  • Market
  • Raw materials
  • Technology
  • Tools
  • Education
HAPO uNAWEKA POOR tu Au Strong
ila point zote ziko sawa kwa kila swali!

🤣🤣🤣🤣🤣
Mambo ya Land aliantion
 
Back
Top Bottom