Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Haya shule za serikali mambo ni motoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • IMG_20240111_084037.jpg
    489.5 KB · Views: 5
  • IMG_20240111_083742.jpg
    672.1 KB · Views: 5
  • IMG_20240111_083907.jpg
    456.8 KB · Views: 5
Kwahiyo ubora wa elimu ya watoto wa viongozi tunaupima kwenye nini ndio kwenye hizo nafasi za uongozi wanazopewa ama vp?
Suala zima elimu bora mkuu.
Fact ni kwamba huwezi linganisha elimu ya feza na diplomasia.

Huwezi sema kwenye nafasi maana hata hizi nafasi wapo waliotokea huku serikali.

Tunaangalia majority kubwa
 
Kwahiyo tunaupimaje sasa huo ubora wa elimu zao hapa nchini tukitoa huko kwenye uongozi?
Competition kimataifa.

Unaweza kupambana na feza international wewe umetoka mbondole?
An extra advantage mtoto tangu mdogo anasomeshwa anakua na exposure kubwa
Mfano hata mo dewji IST kasimamia kampuni za mzee kutoka $30M mpaka $ 1.5B
 
Kwa hiyo huyo aliyesoma shule za Kata akisema hayo uliyoyataja itakuwa hakuna tatizo lolote. Ila wale wa shule za English Medium panakuwa na tatizo la Mzazi kupoteza fedha kumpeleka mwanawe kusomea ujinga?
 
Competition kimataifa.

Unaweza kupambana na feza international wewe umetoka mbondole?
An extra advantage mtoto tangu mdogo anasomeshwa anakua na exposure kubwa
Mfano hata mo dewji IST kasimamia kampuni za mzee kutoka $30M mpaka $ 1.5B
Kama ni hivyo kipi kinafanya watu wasione huo utofauti mkubwa kiasi cha kuibuka mada kama hizi?
 
I agree with you
 
Kama ni hivyo kipi kinafanya watu wasione huo utofauti mkubwa kiasi cha kuibuka mada kama hizi?
Upo sana.
Wengi wanapata exposure za kufanya kazi katika mashirika makubwa duniani
An extra advantage ambayo ni ngumu kwa shule za serikali hapo utofauti ndipo ulipo.

Kama serikali itaboresha kuendana na kasi ya dunia tunaweza tukawa tunatoa wanafunzi kutoka kata kupambana katika soko la ajira duniani na kupunguza jobless Mitaani.

Watoto wanaosoma huku wanafundishwa practical zaidi anaanza simamia biashara akiwa mdogo na kufahamu vitu vingi.

Kufundishwa kutengeneza ajira na mambo mengine.
 
Nahisi sijakuelewa kabisa. Hasa hiki kipengele ''
Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.''
Utaelewa tu
 
Ndio nimeuliza kwanini watu waone hakuna tofauti kubwa ikiwa hayo unayoeleza yapo kwenye uhalisia?
 
1.Nchi naina maabara kwajili ya uchunguzi
2.Nchi masikini haiwezi kuwekeza fedha kwenye utafiti utakao chukua zaidi ya miaka mitano na usiwe na jibu,pia gharama ya vifaaa vya kisasa hatuwezi.
NB reseach ni ghali zaidi ya unavo fikiria ila Wasomi wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…