Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Halafu hili swala la MTU kuperform wonders kwenye maisha, ni vema tuone tu kuwa ni self intelligence ya MTU, na si kwasababu kasoma private school
Au hamuamini watu Wana levels mbalimbali za Intelligence?
Private schools hazijengi intelligence ya mtu yeyote
 
Hata mimi nafikiri utakua unagongwa na wanaume wenzako.
Sababu huelewi nini unachosemea

Umesema Abby ajafanya kitu nimekuonyesha hivyo vyote lakini umekaza kichwa unataka nini vidole kwenye kitundu chako?

Embu tuambie wewe umefanya nini huenda najaribu kuelewesha mtu anayegongwa hivyo ni ngumu kuelewa.
Wewe utakuwa chokoraa
 
Halafu hili swala la MTU kuperform wonders kwenye maisha, ni vema tuone tu kuwa ni self intelligence ya MTU, na si kwasababu kasoma private school
Au hamuamini watu Wana levels mbalimbali za Intelligence?
Private schools hazijengi intelligence ya mtu yeyote
U have spoken my point mkuu
 
Halafu hili swala la MTU kuperform wonders kwenye maisha, ni vema tuone tu kuwa ni self intelligence ya MTU, na si kwasababu kasoma private school
Au hamuamini watu Wana levels mbalimbali za Intelligence?
Private schools hazijengi intelligence ya mtu yeyote
Jamaa anataja vitu ambavyo hata Diamond amefanya ila wakifanya hao wengine anasema kwa sababu ya shule alizosoma, mwanzo alianza na kusema watoto wa viongozi wana elimu bora ndio maana wanaingizwa kwenye nafasi za uongozi nchini.
 
The true education has three qualities 👇

1. It helps you to acquire power.

2. It helps you to maintain power.

3. It helps you to protect the acquired power.

Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.

Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia.

Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia

" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.

Sasa huyu ameelimika au amekariri?

Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?

Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?

Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.

Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.

Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.

Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.

Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.
Elimu gani unayoizungumza hapa? Hii elimu iliyotengenezwa? Hii ambayo imeratibiwa na kupangiliwa!! Hii elimu huduma?

Iwe shule za Private au International School au sijui English Medium; au shule za Serikali, huko kote ni elimu hiyohiyo: elimu huduma. Tofauti hapa ni nafasi.

Hakuna mtu anaweza kusema hapa Tanzania/Afrika kuwa ana elimu ikiwa wote tuko kwenye mfumo uleule - mfumo wa elimu uliotengenezwa. Kinachotutofautisha ni nafasi tu, na ndicho waafrika/watanzania wanachojivunia kwamba wamesoma - unahudumu wapi.

Haya tuliofundishwa na wanayofundishwa watoto wetu huko madarasani na sijui viuoni ni mambo yaliotengenezwa na watu, na ndio yako katika shule na vyuo vyote pote Afrika.

Kwa hayo unawezaje kusema ni elimu na si huduma?

Hakuna mwafrika ambaye yuko nje ya mfumo, wote tuko ndani ya mfumo. Tunazaliwa, tunakuwa na kuzeeka ndani ya mfumo. Kuanzia kwenye dini mpaka kwenye utawala, siasa mpaka uchumi, teknolojia mpaka ubunifu ni mfumo. Hakuna mtanzania anayeweza kusoma nje ya hii mifumo; kwa hiyo wote tunasoma tu kile kilichomo katika hii mifumo. Hii ni wote: uwe na elimu ya darasa la Nne au PhD, elimu yako haitoki nje ya hii mifumo.

Kujua kama wote tumetengenezwa ndani ya mfumo, angalia wao waafrika/watanzania wanaosema wamesoma shule na vyuo bora duniani, huko waliko wanafanya nini kama sio vyeo na huduma-ujira!! Je, hii ndio maana ya elimu?

Neno elimu kwa kiingereza Education linatokana na neno la kigiriki "Educo" lenye maana ya "Kukua au Kuendelea".

Wakati wa Yesu aliwambia Wayahudi wa wakati wake kuwa "wao wayahudi wanapenda 'miujiza' (mfumo), na kwamba Wagiriki wanapenda hekima"

Wakati wetu huu, sisi wapagani (watanzania/waafrika) tunapenda 'teolojia' (mfumo) na wazungu wanapenda 'sayansi' (kuchunguza ukweli wa mambo).
 
Elimu gani unayoizungumza hapa? Hii elimu iliyotengenezwa? Hii ambayo imeratibiwa na kupangiliwa!! Hii elimu huduma?

Iwe shule za Private au International School au sijui English Medium; au shule za Serikali, huko kote ni elimu hiyohiyo: elimu huduma. Tofauti hapa ni nafasi.

Hakuna mtu anaweza kusema hapa Tanzania/Afrika kuwa ana elimu kama wote tuko kwenye mfumo uleule - mfumo wa elimu uliotengenezwa. Kinachotutofautisha ni nafasi tu, na ndicho waafrika/watanzania wanachojivunia kwamba wamesoma; huduma - unahudumu wapi.

Haya tuliofundishwa na wanayofundishwa watoto wetu huko madarasani na sijui viuoni ni mambo yaliotengenezwa na watu, na ndio yako katika shule na vyuo vyote pote Afrika.

Kwa hayo unawezaje kusema ni elimu na si huduma?

Hakuna mwafrika ambaye yuko nje ya mfumo wote tuko ndani ya mfumo. Tunazaliwa, tunakuwa na kuzeeka ndani ya mfumo. Kuanzia kwenye dini mpaka kwenye utawala, siasa mpaka uchumi, teknolojia mpaka ubunifu ni mfumo. Hakuna mtanzania anayeweza kusoma nje ya hii mifumo; wote uwe na elimu ya darasa la Nne au PhD, elimu yako haitoki nje ya hii mifumo.

Wakati wa Yesu aliwambia Wayahudi wa wakati wake kuwa "wao wayahudi wanapenda 'miujiza' (mfumo), na kwamba Wagiriki wanapenda hekima"

Wakati wetu huu, sisi wapagani (watanzania/waafrika) tunapenda 'teolojia' (mfumo) na wazungu wanapenda 'sayansi' (kufikiri, kufuatilia na kuchunguza ukweli wa mambo).
I agree with you mkuu u have nailed it
 
Elimu ya tanzania ina changamoto sana .
Chngamoto kubwa ni lugha tunayo tumia kufundishia watoto kutoka shule ya hawali had msing alafu na lugha inayo tumiwa kutoka o'level had vyuo na vyuo vikuu.

Siyo kuwa tanzania akuna wasomi wasomi wapo weng sana sema tuna wachanganya ss wenyew kwa kuanza na lugha ya ufundishwaji ya kizungu inayo tumiwa kuanzia elimu ya secondar.

Unakuta mtoto uku chini alitoka akiwa na hakil timamu tena super kabsa na nmwepesi kuelewa na mwepesi kufanya na mwepes kuelewa na kutafuta ufumbuzi kimbembe kinaanza pale aingiapo secondary ubora wa mtoto una shuka siku had siku... Tatzo kubwa pale sio kuwa mtoto awez kuelewa no ila lugha mpya ndo inamfanya asielewe

Na ndo maana tukija kwa mleta mada anasema tunaishia kukalili kufanya mtiana kwa majibu tulio kalili na sio ufahamu alafu tunafauru tunapata kazi tunafanya kazi kwa majibu tuliyo kukalili nasio utashi.

Namnukuu mzungu mmoja alikuwa anahojiwa na tv moja sikumbuki. Akasema TANZANIA KUNA WASOMI WENGI SANA TENA WENYE UWEZO WAKUFANYA NA KUVUMBUA MAMBO MENG SANA SHIDA WANAFELI KWENYE MITAHALA NA LUGHA ZA KUFUNDISHIA WAANZE KUFUNDISHA KWA KISWAHILI WAONE KUTOKA HAWALI MPAKA CHUO APATA KUWA NA MTU WAKUFELI TENA WATAPATA WATU MA NGULI NA MALIDADI KWELI KWELI WAVUMBUZI WA MATATZO NA SIO WAFANYAO KAZ KWA KUKALILI WALICHO SOMA.

MF.china imeamua kubadili mtaala wao waelimu uwe ni kichina tu english na kiswahil n masono ya ziada. Na ndomaana unaona kila leo wanakuwa kiuchumi.

Shule za english medium n nzuri lakin kuna mabomu yanatengenezwa huko ambay n hatar kwa uzalendo na maendeleo ya taifa moja wapo n
1.ubaguzi na ubinafsi wa wale watoto.
2. Bad life style na tamaduni mbovu na mengne tusiyataje maana amkawii kuwaza(-).
 
Dokta samaleko.

Nyie mnakariri mtaala, ndio maana hamuwezi kuponya kansa hadi leo mnawabanika watu kwenye tanuru la mionzi kwa kuwa tu mmeelekezwa kufanya hivyo na Ummy Mwalimu.

Huu ni udokta uchwara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ww jamaa umekaza kwel kwel ila unapoint sema watu watakupinga kutokana na kusifia kada au kaz zao
 
Wazungu watu wabaya sana wametulisha maupupu na sisi tunatembea nayo kifua mbele na elimu yetu tunajiita wasomi, hakuna kipya toka kwa wasomi wa hili bara la giza, siku hizi ukienda mahosipitali Kuna kitu wanaita CLINIC mzee hizi zamani hazikuwa maarufu kama sasa hivi yaani kila part ya binadamu ina clinic na watu ni kama wote na magonjwa ya clinic huwa hayaponi utameza dawa mpaka unakufa
 
Sasa Nenda ulaya au Nenda Nchi za magharibi zote halfu kaangalie Idadi ya wanaokufa kwa Cancer..!

Wangekuwa Wanazo dawa za kutibu kansa au ingekuwa Rahisi kutibu kansa bhasi wangepata sawa Kitambo sana ila cancer sio ugonjwa mdgo ni Cellular Disease So its Untreatable hakuna Anayeweza kuutibu!

Labda kama kuna hoja nyingine
Unawezekana kutibika mkuu mbona dr.seb in documental inasemekana alikuwa anatibu sana hzo ma vitu sema shida tunajifunga atutaki kujifungua yan tunamaslai atutaki kutatua tatzo likaisha unajua n kwann evry thing n bussnes kwa sasa tena upande wa afya.....n ubimbav kabsa uku

Mf. UTI za sasa na antibiotic zilizotengenezwa kwa ajili ya kuutibu uo ugojwa hizo dawa zmekaa ki biashara sio kuona unabwia vdonge badala ya kupona ndo uila ukienda kupima mdudu yupo matokeo yake anakomaa asikii dawa..

Sasa kwa badae unataka nambia UTI zita poneka au zitakuwa ni ugonjwa sugu usio na tiba wakat miaka tu ya 90 hv magnjwa kama ayo watu waliponea home nowdayz et usinywe mitishamba unaharibu ini (mrisho mpoto voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aya maisha bana bora wasabato wamerud eden kutafuta mti wa uzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ihiiiiii ahaaaa (jpm voice)
 
Si kweli nakukatalia.
Kuna muda wa kusoma kawaida darasani na kuna muda wa practical.

Mtoto wa baba mkubwa ni wakike yeye ni daktari anakuambia mara ya kwanza anapewa mwili wa binadamu alikuwa amekufa, unapewa na detail zake. Yeye huyo alikufa kwa ajali ya bodaboda.
Siku ya kwanza alitapika sana.

Udaktari ni sehemu nyeti sana labda kama unasikiliza maneno ya vijiweni.

Hio elimu ya kusoma Archimedes principle pia ukifika level za juu unafanya na practical tofauti na tukiwa huku form two tunavyoisoma.

Wasomi bongo wapo, kuna tofauti Kati ya kujua sheria na kutenda haki.
Wapo wanasheria wazuri sana lakini haki hawatendi, usiulize Kwanini nadhani unafahamu.
Huo mwili wa mwanadamu mnaenda kufufua moyo au kujifuza kushona
 
Elimu ya tanzania ina changamoto sana .
Chngamoto kubwa ni lugha tunayo tumia kufundishia watoto kutoka shule ya hawali had msing alafu na lugha inayo tumiwa kutoka o'level had vyuo na vyuo vikuu.

Siyo kuwa tanzania akuna wasomi wasomi wapo weng sana sema tuna wachanganya ss wenyew kwa kuanza na lugha ya ufundishwaji ya kizungu inayo tumiwa kuanzia elimu ya secondar.

Unakuta mtoto uku chini alitoka akiwa na hakil timamu tena super kabsa na nmwepesi kuelewa na mwepesi kufanya na mwepes kuelewa na kutafuta ufumbuzi kimbembe kinaanza pale aingiapo secondary ubora wa mtoto una shuka siku had siku... Tatzo kubwa pale sio kuwa mtoto awez kuelewa no ila lugha mpya ndo inamfanya asielewe

Na ndo maana tukija kwa mleta mada anasema tunaishia kukalili kufanya mtiana kwa majibu tulio kalili na sio ufahamu alafu tunafauru tunapata kazi tunafanya kazi kwa majibu tuliyo kukalili nasio utashi.

Namnukuu mzungu mmoja alikuwa anahojiwa na tv moja sikumbuki. Akasema TANZANIA KUNA WASOMI WENGI SANA TENA WENYE UWEZO WAKUFANYA NA KUVUMBUA MAMBO MENG SANA SHIDA WANAFELI KWENYE MITAHALA NA LUGHA ZA KUFUNDISHIA WAANZE KUFUNDISHA KWA KISWAHILI WAONE KUTOKA HAWALI MPAKA CHUO APATA KUWA NA MTU WAKUFELI TENA WATAPATA WATU MA NGULI NA MALIDADI KWELI KWELI WAVUMBUZI WA MATATZO NA SIO WAFANYAO KAZ KWA KUKALILI WALICHO SOMA.

MF.china imeamua kubadili mtaala wao waelimu uwe ni kichina tu english na kiswahil n masono ya ziada. Na ndomaana unaona kila leo wanakuwa kiuchumi.

Shule za english medium n nzuri lakin kuna mabomu yanatengenezwa huko ambay n hatar kwa uzalendo na maendeleo ya taifa moja wapo n
1.ubaguzi na ubinafsi wa wale watoto.
2. Bad life style na tamaduni mbovu na mengne tusiyataje maana amkawii kuwaza(-
Kama unasemea hii elimu iliyotengenezwa, hoja yako ya lugha ni muhimu.

Lakini kama unazungumza kuhusu elimu yaani elimu kwa maana yake ya kukua na kuendelea, lugha si hoja kabisa.

Kwa nini? Kwa sababu lugha ni sawa na utamaduni: inabadilika kulingana na uchumi na utawala.

Mtu anaefahamu historia ya dunia hawezi kushikilia lugha kwa sababu popote palipo na watu lazima lugha iwepo.
 
Back
Top Bottom