Daktari kubadili mtazamo sio kitu rahisi kabisa, kufikiri nje ya alivyofundishwa anaona sawa na kudharau taaluma yake.
Kwanza Kabisa Vizuri kabisa kwa kujua Pathophysiology bila kujua kama ni pathophysiology..
Unafikiri ni kwanini ulipougua Kidole hukunywa Mkaa ili kipone na mbadala ukapaka kwemye kidole?
Na unafikiri Ni kwanini Tangawizi hukuipaka kwemye kifua ili kupona kifua ukainywa?
Kama umeandika haya basi unatakiwa ukubali pia kwamba hata wanaosema wanatibu kansa basi nao wanajua pathophysiology bila ya wao kujua kama ni pathophysiology.
Kwa sababu kama ambavyo zipo oral chemotherapy za kupunguza kansa ndivyo ambavyo hata watu wa tiba asili wanatumia njia hiyo hiyo ya oral kujaribu kutibu kansa,hivyo nadhani route wanayotumia ni moja kwa maana wanaifahamu pathophysiology eidha kwa kujua ama kutokujua.
Hivyo hautakiwi kuweka issue ya pathophysiology kama ni hoja ya kutoikubali dawa ya kansa kwa sababu pathophysilogy inafahamika hata na hao wanaodai kutibu kansa kwa mitishamba.
Kingine hakuna Mahali nimesema au kutamka kuhusu neno Mtaji ("Kiswahili naona kinakusumbua)
Mkuu hata mimi hakuna sehemu niliposema kwamba eti WEWE UMELISEMA NENO MTAJI,hivyo naomba namimi usinilishe maneno ambayo sijayaegemeza kwamba umeyasema.
Neno nililosema ni Faida "Yaani wagonjwa ni Faida kwa madaktari
Hakuna pahala niliposema kwamba wewe umesema neno hilo bali nilichosema kwamba UMEKUBALI nadhani na wewe unao uginjwa ambao hata mimi unanisumbua(wa kiswahili kunipa tabu).
Nikisema kwamba unakubali kwamba dawa za kansa za mitishamba haziwezi kutibu kansa hiyo haimaanishi kwamba nimesema wewe umesema maneno hayo.
Unachotakiwa ni kusema haukubali ama unakubali na sio kuanza Kulalamika kwa kushutumu kwamba umesingiziwa umesema hiyo sio sahihi.
Kingine kujua Pathophysiology Husaidia vingi na kingine kujua pathophysiology Ya Cancer kumesaidia kujua Stages za cancer na Kujua wapi kuna haja ya kutumia Chemotherapy wapi pa Radiotherapy na Wapi ni cancer ya mwanzoni na kuiondoa kabisa isiweze kuleta athari..
Hapo zamani Bila kujua Pathophysiology stage za mwanzo za Magonjwa ya cancer kama kansa ya matiti na kansa ya mlango wa kizazi yaliongoza kwa kuua watu wakati kama ingeweza kujulikana (Kutumia pathophysiolo..) katiaka stage 1 cancer in situ tungeweza kuondoa "Carcinogernic tissue na mtu akawa salama..
Kuna Mda tunahitaji Elimu kueleweshwa tusipojua Kizazi cha siku.hizi mmekuwa wajuaji halafu ujuaji wa kijinga sana..
Hamjui kitu ila mna ubishi usio na tija
MKuu haya maandishi yako yote yanaelezea pathophysiology na umuhimu wake.
Na pia ukaashiria kwamba mtu anaweza akaijua pathophysiology kimatibabu bila kujua kwamba hiyo ndio pathophysiology.
Hivyo kwa kutumia maneno yako mwenyewe umekubali kwamba hata watu wa tiba asili wanajua hizo pathopysiology.