Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Umegundua hayo baada ya kukosa ada ya watoto wako uliowapeleka English medium.
Kama unataka hizo Qualities za elimu tajwa hapo juu kama ulivyoainisha peleka mtoto TANGANYIKA INTERNATIONAL SCHOOL .
Tunawapeleka ili wawe na hata ka confidence ka lugha ili ukubwani huko wakikutana na fursa za kukutana na mchumba wa kizungu wapite nayo
 
Daktari kubadili mtazamo sio kitu rahisi kabisa, kufikiri nje ya alivyofundishwa anaona sawa na kudharau taaluma yake.

Kwanza Kabisa Vizuri kabisa kwa kujua Pathophysiology bila kujua kama ni pathophysiology..

Unafikiri ni kwanini ulipougua Kidole hukunywa Mkaa ili kipone na mbadala ukapaka kwemye kidole?
Na unafikiri Ni kwanini Tangawizi hukuipaka kwemye kifua ili kupona kifua ukainywa?
Kama umeandika haya basi unatakiwa ukubali pia kwamba hata wanaosema wanatibu kansa basi nao wanajua pathophysiology bila ya wao kujua kama ni pathophysiology.

Kwa sababu kama ambavyo zipo oral chemotherapy za kupunguza kansa ndivyo ambavyo hata watu wa tiba asili wanatumia njia hiyo hiyo ya oral kujaribu kutibu kansa,hivyo nadhani route wanayotumia ni moja kwa maana wanaifahamu pathophysiology eidha kwa kujua ama kutokujua.

Hivyo hautakiwi kuweka issue ya pathophysiology kama ni hoja ya kutoikubali dawa ya kansa kwa sababu pathophysilogy inafahamika hata na hao wanaodai kutibu kansa kwa mitishamba.
Kingine hakuna Mahali nimesema au kutamka kuhusu neno Mtaji ("Kiswahili naona kinakusumbua)
Mkuu hata mimi hakuna sehemu niliposema kwamba eti WEWE UMELISEMA NENO MTAJI,hivyo naomba namimi usinilishe maneno ambayo sijayaegemeza kwamba umeyasema.
Neno nililosema ni Faida "Yaani wagonjwa ni Faida kwa madaktari
Hakuna pahala niliposema kwamba wewe umesema neno hilo bali nilichosema kwamba UMEKUBALI nadhani na wewe unao uginjwa ambao hata mimi unanisumbua(wa kiswahili kunipa tabu).

Nikisema kwamba unakubali kwamba dawa za kansa za mitishamba haziwezi kutibu kansa hiyo haimaanishi kwamba nimesema wewe umesema maneno hayo.

Unachotakiwa ni kusema haukubali ama unakubali na sio kuanza Kulalamika kwa kushutumu kwamba umesingiziwa umesema hiyo sio sahihi.
Kingine kujua Pathophysiology Husaidia vingi na kingine kujua pathophysiology Ya Cancer kumesaidia kujua Stages za cancer na Kujua wapi kuna haja ya kutumia Chemotherapy wapi pa Radiotherapy na Wapi ni cancer ya mwanzoni na kuiondoa kabisa isiweze kuleta athari..

Hapo zamani Bila kujua Pathophysiology stage za mwanzo za Magonjwa ya cancer kama kansa ya matiti na kansa ya mlango wa kizazi yaliongoza kwa kuua watu wakati kama ingeweza kujulikana (Kutumia pathophysiolo..) katiaka stage 1 cancer in situ tungeweza kuondoa "Carcinogernic tissue na mtu akawa salama..

Kuna Mda tunahitaji Elimu kueleweshwa tusipojua Kizazi cha siku.hizi mmekuwa wajuaji halafu ujuaji wa kijinga sana..
Hamjui kitu ila mna ubishi usio na tija
MKuu haya maandishi yako yote yanaelezea pathophysiology na umuhimu wake.

Na pia ukaashiria kwamba mtu anaweza akaijua pathophysiology kimatibabu bila kujua kwamba hiyo ndio pathophysiology.

Hivyo kwa kutumia maneno yako mwenyewe umekubali kwamba hata watu wa tiba asili wanajua hizo pathopysiology.
 
🤣🤣🤣
COPOLACAMARATETOE.. "Formulae"

  • Cooperation
  • Policy
  • Labour
  • Capital
  • Market
  • Raw materials
  • Technology
  • Tools
  • Education
HAPO uNAWEKA POOR tu Au Strong
ila point zote ziko sawa kwa kila swali!

🤣🤣🤣🤣🤣
Mambo ya Land aliantion
🤣🤣🤣 ananiletea imi hoja za kukariri
 
The true education has three qualities 👇

1. It helps you to acquire power.

2. It helps you to maintain power.

3. It helps you to protect the acquired power.

Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.

Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia.

Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia

" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.

Sasa huyu ameelimika au amekariri?

Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?

Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?

Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.

Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.

Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.

Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.

Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.
Mkuu umepatwa na nini? Mbona hasira hivyo?
 
Kama umeandika haya basi unatakiwa ukubali pia kwamba hata wanaosema wanatibu kansa basi nao wanajua pathophysiology bila ya wao kujua kama ni pathophysiology.

Kwa sababu kama ambavyo zipo oral chemotherapy za kupunguza kansa ndivyo ambavyo hata watu wa tiba asili wanatumia njia hiyo hiyo ya oral kujaribu kutibu kansa,hivyo nadhani route wanayotumia ni moja kwa maana wanaifahamu pathophysiology eidha kwa kujua ama kutokujua.

Hivyo hautakiwi kuweka issue ya pathophysiology kama ni hoja ya kutoikubali dawa ya kansa kwa sababu pathophysilogy inafahamika hata na hao wanaodai kutibu kansa kwa mitishamba.

Mkuu hata mimi hakuna sehemu niliposema kwamba eti WEWE UMELISEMA NENO MTAJI,hivyo naomba namimi usinilishe maneno ambayo sijayaegemeza kwamba umeyasema.

Hakuna pahala niliposema kwamba wewe umesema neno hilo bali nilichosema kwamba UMEKUBALI nadhani na wewe unao uginjwa ambao hata mimi unanisumbua(wa kiswahili kunipa tabu).

Nikisema kwamba unakubali kwamba dawa za kansa za mitishamba haziwezi kutibu kansa hiyo haimaanishi kwamba nimesema wewe umesema maneno hayo.

Unachotakiwa ni kusema haukubali ama unakubali na sio kuanza Kulalamika kwa kushutumu kwamba umesingiziwa umesema hiyo sio sahihi.

MKuu haya maandishi yako yote yanaelezea pathophysiology na umuhimu wake.

Na pia ukaashiria kwamba mtu anaweza akaijua pathophysiology kimatibabu bila kujua kwamba hiyo ndio pathophysiology.

Hivyo kwa kutumia maneno yako mwenyewe umekubali kwamba hata watu wa tiba asili wanajua hizo pathopysiology.
Kama kuna mtu aliwahi kufanikiwa Kutibu niambie au nielekeze kwa maneno au hata hizo statistics zao za kupona kabla na baada ya kutibiwa kansa..
 
Mkuu rekebisha namna ya kuhoji mambo,mambo kama haya huwa hayahojiwi hivyo.

Kwa mfumo huu unaohoji hatuwezi kupata gunduzi mpya.

Laiti kama aliyegundua penicillin miaka ya 1928 huko(alexander Fleming) angehojiwa na wewe nadhani tusingekuwa na penicillin mpaka leo.

kwa sababu unataka statistics kwa kitu ambacho bado mamlaka haijazikubali na jamii kubwa ya watu hawajui jambo hilo na wala serikali na wizara husika haijajikita huko,sasa hizo ztatistics zitatoka wapi mbali na hizo mamlaka ?

na huko zitakakotoka utaziamini bila kuwepo kwa mamlaka husika zilizoshikilia mambo hayo ?

Hivyo kudai statistics katika mambo haya ya tafiti wakati bado ni machanga sio matumizi mazuri ya fikra.
 
KIsheria hakuna Dawa inayoanza kutumika kwa matibabu Bila kutengazwa Hiyo Ni Kiapo cha Kila Daktari Duniani Kote kulingana na Hippocroatic oath...

So Daktari yoyote endapo atatibu mgonjwa kutumia Mlonge na Ukafanya kazi ya kutibu Cancer Ni wajibu kwake kutoa taarifa kwa Madaktari wengine kuhusu matibabu aliyogundua..
Kipamde cha Oath..
View attachment 2873802
Ndio maana nasema tatizo lipo kwenye kutambulika na kutangazwa ila sio kwamba tiba hakuna kabisa. Ndio maana nilisema Daktari bora akuache ufe huku anakuona hata kama anajua kuna tiba mbadala inatibu huo ugonjwa.
 
Mkuu rekebisha namna ya kuhoji mambo,mambo kama haya huwa hayahojiwi hivyo.

Kwa mfumo huu unaohoji hatuwezi kupata gunduzi mpya.

Laiti kama aliyegundua penicillin miaka ya 1928 huko(alexander Fleming) angehojiwa na wewe nadhani tusingekuwa na penicillin mpaka leo.

kwa sababu unataka statistics kwa kitu ambacho bado mamlaka haijazikubali na jamii kubwa ya watu hawajui jambo hilo na wala serikali na wizara husika haijajikita huko,sasa hizo ztatistics zitatoka wapi mbali na hizo mamlaka ?

na huko zitakakotoka utaziamini bila kuwepo kwa mamlaka husika zilizoshikilia mambo hayo ?

Hivyo kudai statistics katika mambo haya ya tafiti wakati bado ni machanga sio matumizi mazuri ya fikra.
Anauliza hivyo ili tu kukukwamisha na sio kutaka kujua, na hilo ndio tatizo la madaktari wanajifunga kufikiri nje ya box.
 
Kwenye sheria hapo ndo kabisaaaa! Eti umri miaka 17 ni mtoto, akilawiti mtoto wa miezi 9 ataishia kifungo cha nje na faini laki 2 badala ya miaka 30 gerezani,kazi kumeza vifungu tu bila kujua mbivu na mbichi.
 
Kwa namna anavyohoji basi tusingepata vumbuzi nyingi kwani vumbuzi mpya hueaga hazins statistics.

Vumbuzi mpya hazitegemei statistics bali hutegemea uchunguzi wa kitaalamu na matokeo chanya.

Anachofanya ni sawa na kwenda kwenye taasisi waliotangaza kuajiri watu wapya lakini wanasema wanataka mtu ambaye ana experience ya kazi miaka mi3🙂
 
Dah inasikitisha sana mkuu tupo na wanasheria mabogus kabisa nchi hii wao wanacho jua ni kukariri vifungu na principles
 
Mkuu rekebisha namna ya kuhoji mambo,mambo kama haya huwa hayahojiwi hivyo.

Kwa mfumo huu unaohoji hatuwezi kupata gunduzi mpya.

Laiti kama aliyegundua penicillin miaka ya 1928 huko(alexander Fleming) angehojiwa na wewe nadhani tusingekuwa na penicillin mpaka leo.

kwa sababu unataka statistics kwa kitu ambacho bado mamlaka haijazikubali na jamii kubwa ya watu hawajui jambo hilo na wala serikali na wizara husika haijajikita huko,sasa hizo ztatistics zitatoka wapi mbali na hizo mamlaka ?

na huko zitakakotoka utaziamini bila kuwepo kwa mamlaka husika zilizoshikilia mambo hayo ?

Hivyo kudai statistics katika mambo haya ya tafiti wakati bado ni machanga sio matumizi mazuri ya fikra.
Kuhusu Fleming na uvumbuzi wa Penicilin mkuu!
Tungeongea Mengine kabisa..

Nafikiri unafahamu vizuri kuwa hata ugunduzi wake tu uko very reasonable kabisa..
Aligundua baada ya kuona Mold penicilin inaua Bacteria, Amefanya practical kadhaa mpaka kwenye petri dishes na mpaka miaka ya 1940s ilipoanza rasmi kufanyiwa Human trial..

Sasa kwanini ni.ekuambia hivyo na kwanini Ilianza kufanyiwa Human trial..
Kwa sababu tayri Statistically ilikuwa Tayari imeonyesha nguvu ya kuua bacteria kwa Majaribio kadhaa Tangu mwaka 1928 mpaka iliporuhusiwa 1940s..
Jaribu kuelewa hakuna anayezuia Ugunduzi ila hoja ni kuwa umefanga majaribio yapi na Ulipofanya human Trials Majibu ni yapi statistically..
Hakuna Dawa yoyote Dunia nzima inayoruhusiwa bila kuwa statistically proved na kuonekana ina nguvu ya kufanya kazi..

DAWA SIO MAFUTA YA KUPAKA huwezi kuruhusu eti kwa sababu unataka kufikiri Nje ya box "Ufikiri nje ya Box au uweke watu ndani ya Box "Caskette")
 
Kwa namna anavyohoji basi tusingepata vumbuzi nyingi kwani vumbuzi mpya hueaga hazins statistics.

Vumbuzi mpya hazitegemei statistics bali hutegemea uchunguzi wa kitaalamu na matokeo chanya.

Anachofanya ni sawa na kwenda kwenye taasisi waliotangaza kuajiri watu wapya lakini wanasema wanataka mtu ambaye ana experience ya kazi miaka mi3🙂
Hakuna Vumbuzi mpya isiyo na statistics Labda kama sio ya kisayansi mkuu!
Kama hutojali unaweza ukaniambia ni ipi?

Kwanza vumbuzi hufanyiwa Practical ili kuvumbua baadhi error ,Practical huweza kurudiwa zaidi ya mara 100 na succefull Sample ndo hifanyiwa Animal Trial (Hapa lazima kuwepo na Idadi ya anima) na baadae ikiwa succesfull hufanyiwa Human trial ..

Hakuna Uvumbuzi ambao utaenda moja kwa moja bila kupita hizo njia
 
Kumbe English medium nilidhani International Schools!
Usipowapeleka wa kwako inatosha utawawakilisha wengi.
 
Maswali ya Logic kwa mtu mwenye Akili ataelewa logic Yake
Napokuwa nasema kufikiri nje ya box ni kwa sababu wapo madaktari waliyofikiri nje ya box ambao walikuwa na viapo na misimamo kama ulivyo tu mkuu, na moja ya jambo nililojifunza ni kwamba kuna elimu isio sahihi kuhusu baadhi ya magonjwa hasa haya tunayoambiwa hayana tiba.
 
Mkuu Nakuelewa sana unachosema Na mimi pia nimeshatoa Dawa zilizo nje ya Mfumo na nimetibu na wagonjwa wakapona na nikafundisha wemzangu pia wakatibu na wagonjwa wakapona haikatazwi.
Ila shida inapokuja Mgonjwa akipata Madhara Baada ya matibabu yasiyo Rasmi hilo ni kosa kubwa sana Tunaita Grave mistakes
 
Back
Top Bottom