Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

Naunga mkono hoja, bora tungetawaliwa milele na viboko juu
 
...Na Ajali Ile ya Meli pale Mwanza Miaka Michache nyuma inaelekea haikutundisha lolote licha ya Matamshi Kadhaa ya Kisiasa yalitolewa wakati ule!!
Na ile mv bk haikuwa fundisho tu? Unaweza kuta Budget inawekwa kwaajili ya majanga ya dharura kama haya ila inaishia kupigwa na wajanja kujaza matumbo yao tu
 
Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
TUMIA AKILI.

Kumbuka ajali ya kivuko UMV NYERERE UKARA.zaidi ya watu 300 wamekufa POMBE AKIWA MAGOGONI.

Rejea tetemeko la KAGERA.

Lucky Vincent nk.

POMBE NDIO ALIKUWA POMBE KWELI.
UHARO.
 
Kama ni suala la utu basi wavuvi na wananchi wa kawaida wamewapita mbali viongozi, Kuna watu walikuwa wamevalia nguo za jeshi walikuwa wanapiga picha wakati raia wakiendelea kuvuta ndege kwa kamba, Inaonekana akili ndogo inatawala akili kubwa
 
Labda wewe na familia yako ndio mmenyimwa akili kabisa na Mwenye Enzi Mungu walahi
Ukome ku generalize mambo [emoji2959] tena ukome kabisa!
Mtu mzima ovyooooooo!
 
Navy wanashinda kigamboni.

Huko kuna mapolisi wa zuia uvuvi haramu
Kuna mtu hapo juu kasema kuwa Navy kazi yao ni kupigana vita vya majini. Jukumu la uokoaji ni kazi ya Jeshi la zimamoto na uokoaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…