Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nchi yetu mambo mengi hatuko tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kulinda nyumba takatifu pale MagogoniPale kivukoni Kigamboni kuna mpaka gani? Au nchi ya Zanzibaa
Kusimamia wavuvi wakiokoa wahangaNaomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Naunga mkono hoja, bora tungetawaliwa milele na viboko juuHabari
Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.
1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura kwaajili ya kufanya uokoaji na dharura.
2. Kuajiri kwa uchache Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na kuwapa vitendea kazi vichache . Jeshi la zimamoto na uokoaji lina watumishi wachache sana na vitendea kazi pia vichache. Hakuna KITUO CHA jeshi la zimamoto na uokoaji kando ya ziwa ili kudeal na dharura za ziwani.
3. Viongozi haraka wamekimbilia kutoa majibu ya sababu ya ajali ile ndani ya masaa machache ili kulinda ugali wao. Ni wazi Mwafrika kakosa utu na ni mbinafsi asiyekubali kuachia nafasi.
Maelfu wanavushwa na vivuko hapa Tanzania kila siku huku pembeni kuna kiboti kidogo cha uokoaji kinachoweza kuokoa watu 10-20 huku kivuko kina maelfu ya abiria. Hili nalo muende mkalitizame. Na ajabu zaidi kiboti hicho kidogo cha uokoaji kimepark pembeni hakina hata habari.
Na ile mv bk haikuwa fundisho tu? Unaweza kuta Budget inawekwa kwaajili ya majanga ya dharura kama haya ila inaishia kupigwa na wajanja kujaza matumbo yao tu...Na Ajali Ile ya Meli pale Mwanza Miaka Michache nyuma inaelekea haikutundisha lolote licha ya Matamshi Kadhaa ya Kisiasa yalitolewa wakati ule!!
Kupasua matofatili kwa kichwa 😁Tar 9 Disemba tutaona kazi zao Uwanja wa Taifa
Magufuli angekuwa hai angefanya nini?Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
TUMIA AKILI.Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Liko jeshi linalohusika na hayo nadhani unaliifahamu, wenyewe wamesomea kazi za uokoaji.Kwahiyo kuokoa majanga yanayotokea baharini pamoja na ziwani ni jukumu la nani?
ILE NI MOJA YA OFISI YA KURATIBU KAZI ZA KILA SIKU.Pale kivukoni Kigamboni kuna mpaka gani? Au nchi ya Zanzibar
kukamata madawa ya kulevya na wahamiaji haramu nafikiriNaomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Kama ni suala la utu basi wavuvi na wananchi wa kawaida wamewapita mbali viongozi, Kuna watu walikuwa wamevalia nguo za jeshi walikuwa wanapiga picha wakati raia wakiendelea kuvuta ndege kwa kamba, Inaonekana akili ndogo inatawala akili kubwaHabari
Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.
1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura kwaajili ya kufanya uokoaji na dharura.
2. Kuajiri kwa uchache Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na kuwapa vitendea kazi vichache . Jeshi la zimamoto na uokoaji lina watumishi wachache sana na vitendea kazi pia vichache. Hakuna KITUO CHA jeshi la zimamoto na uokoaji kando ya ziwa ili kudeal na dharura za ziwani.
3. Viongozi haraka wamekimbilia kutoa majibu ya sababu ya ajali ile ndani ya masaa machache ili kulinda ugali wao. Ni wazi Mwafrika kakosa utu na ni mbinafsi asiyekubali kuachia nafasi.
Maelfu wanavushwa na vivuko hapa Tanzania kila siku huku pembeni kuna kiboti kidogo cha uokoaji kinachoweza kuokoa watu 10-20 huku kivuko kina maelfu ya abiria. Hili nalo muende mkalitizame. Na ajabu zaidi kiboti hicho kidogo cha uokoaji kimepark pembeni hakina hata habari.
Navy wanashinda kigamboni.Naomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Kuna mtu hapo juu kasema kuwa Navy kazi yao ni kupigana vita vya majini. Jukumu la uokoaji ni kazi ya Jeshi la zimamoto na uokoajiNavy wanashinda kigamboni.
Huko kuna mapolisi wa zuia uvuvi haramu
Kati ya jeshi linalotakiwa kuvunjwa ni Zimamoto.Kuna mtu hapo juu kasema kuwa Navy kazi yao ni kupigana vita vya majini. Jukumu la uokoaji ni kazi ya Jeshi la zimamoto na uokoaji
Kinachotia hasira zaidi ni hatujifunzi. Hili janga litapita na maisha yataendelea tutasahau.Kati ya jeshi linalotakiwa kuvunjwa ni Zimamoto.
Ndio jeshi lisilo na msaada zaidi ya kuuza fire extinguishers na vyeti vyake