marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Umethibitisha maelezo ya mtoa madaLabda wewe na familia yako ndio mmenyimwa akili kabisa na Mwenye Enzi Mungu walahi
Ukome ku generalize mambo [emoji2959] tena ukome kabisa!
Mtu mzima ovyooooooo!
Hiyo njemba iliyoshikiwa mwamvuli ni nani?Hawa hapa ShemView attachment 2408964
Ni Kwamba hii awamu uwahibikaji sio KIPAUMBELE Tena. Ubadhirifu na matumizi MABAYA ndio vipaumbele.Ni kweli mkuu Magu angekuwa hai angeruka kama spider-man toka Chato akaidaka ndege juu kwa juu akaiweka pale airport BK safi kama alivyookoa watu pale Ukerewe mpaka hakufa mtu hata mmoja au hapo vipi sukuma gang mwenzangu
Kwamaqna baada ya ajali..Kwa maana ya ajali yenyewe au yaliyojiri baada ya ajali?
Kosa kubwa alilifanya Mungu Ni kumuumba Mwafrika, ngozi nyeusiHabari
Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.
1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura kwaajili ya kufanya uokoaji na dharura.
2. Kuajiri kwa uchache Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na kuwapa vitendea kazi vichache . Jeshi la zimamoto na uokoaji lina watumishi wachache sana na vitendea kazi pia vichache. Hakuna KITUO CHA jeshi la zimamoto na uokoaji kando ya ziwa ili kudeal na dharura za ziwani.
3. Viongozi haraka wamekimbilia kutoa majibu ya sababu ya ajali ile ndani ya masaa machache ili kulinda ugali wao. Ni wazi Mwafrika kakosa utu na ni mbinafsi asiyekubali kuachia nafasi.
Maelfu wanavushwa na vivuko hapa Tanzania kila siku huku pembeni kuna kiboti kidogo cha uokoaji kinachoweza kuokoa watu 10-20 huku kivuko kina maelfu ya abiria. Hili nalo muende mkalitizame. Na ajabu zaidi kiboti hicho kidogo cha uokoaji kimepark pembeni hakina hata habari.
Kupiga raiaNaomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Naomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Sidhani kama hilo ni sulihisho, tengeneza kwako kuwe kuzuri ili ujivunie kwako na sio wenzako wametengeneza kwao na sasa kuzuri halafu wewe ukimbilie. Tengeneza kwako!
Ambao walitakiwa kufanya yote hayo ni Jeshi la zimamoto na uokoaji.Uliichongea nami nmekiwaza sana sasa walikuwa wanafanya mazoezi ya nn hakuna uokoaji waliokuwa wanafanya ndio yale yale msuli tembo mafanikio sisimizi yaani mnajitapa kuwa mnavifaa na kujiweka tayari sasa mbona tumepoteza ndugu kwa uzembe wenu yaani ikifikia hatua Watanganyika tukiacha unafki na kusemana moja kwa moja serikali itawajibika na Viongozi husika wawajibike kwa makosa na uzembe wao yaani waziri mkuu akubali kujiwajibisha niongee bila kupepesa macho iyo nguvu na kuwahi kufika eneo la tukio bila msaada ni bora jeshi wazamiaji wangewai eneo husika afu bado mnatoa taarifa kinzani ili iweje ili tukuoneje ili nani akusifu ebu tuwe na utu na kuacha napichapicha showingoff watanganyika ni waoga wa kuthubutu lkn wanaumia ivi mnafkiri halii itadumu mpk lini labda tuendelee kuangalia huku uzembe unafanyika nani atupiwe lawama hizi kwa jinsi navyojua idala husika inapofanyia kazi jambo husika anapofika kiongozi mkubwa anatake charge so kwa hali hii yaliyotokea na kitengo cha majanga na maafa kipo kwako upo tayari kuchukua hatua stahiki kwa hili Zungumza na Mungu akuongoze ila binafsi nilipenda ustepdown sir kumbuka majibu uliyotupa wakati mzee wetu alikuwa anaumwa,napenda inchi yangu yenye mabadiriko na kujali utu kwa dhamila ya dhati kabisa naipenda nchi yangu Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika
Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Kuna mambo yanasikitisha sana na kufanya ukose morali ya kuwa mzalendo kwa nchi yako.
Kama mtu anaweza kupigana vita vya majini, kweli ashindwe kufanya uokoaji kwa tukio la jana? Kweli jamani!!! Au hawaishi huko?! DaaahKuna mtu hapo juu kasema kuwa Navy kazi yao ni kupigana vita vya majini. Jukumu la uokoaji ni kazi ya Jeshi la zimamoto na uokoaji
Mimi mwenyewe nilimshangaa Waziri Mkuu kuanza kutoa majibu ya ajali ya ndege wakati watu hawajaokolewa. Anasema kwanini ndege imeanguka kama vile ilikuwa inapata, hakujua kama mbele ya kichwa cha ndege kimekatika. Police, Zimamoto na jeshi wamekaa pembeni wanashangaa, baada ya kufanya kazi zao za Kutoa Usalama na uokozi baada ya kuwajibika, wamewaachia wavuvi wanaojua kuvua samaki wafanye kazi za kiuokozi.
Sasa hivi walinda Usalama karibia wote wanachojua ni kufika eneo la ajali na kukaa pembeni huku wakipiga picha na kutumiana, halafu wanawaachia wananchi ndio wafanye kila kitu. Na hili tatizo ni la awamu zote za uongozi wa nchi hii.
Hamna kitu pale navy, siku ikatokea janga uikumbuke hii commentNaomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Maswali ya kujiuliza ni mengi.Kama mtu anaweza kupigana vita vya majini, kweli ashindwe kufanya uokoaji kwa tukio la jana? Kweli jamani!!! Au hawaishi huko?! Daaah
Tatizo lipoHamna kitu pale navy, siku ikatokea janga uikumbuke hii comment
Wakikujibu unijulishe
Tatizo kubwa sana, kw ufupi usalama wa raia ( uhai ) kuwa salama sio muhimu kwa hili taifa, navy pale 🥲🥲🤐🤐🤐Tatizo lipo