Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

Ni kweli mkuu Magu angekuwa hai angeruka kama spider-man toka Chato akaidaka ndege juu kwa juu akaiweka pale airport BK safi kama alivyookoa watu pale Ukerewe mpaka hakufa mtu hata mmoja au hapo vipi sukuma gang mwenzangu
Ni Kwamba hii awamu uwahibikaji sio KIPAUMBELE Tena. Ubadhirifu na matumizi MABAYA ndio vipaumbele.
 
Habari

Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.

1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura kwaajili ya kufanya uokoaji na dharura.

2. Kuajiri kwa uchache Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na kuwapa vitendea kazi vichache . Jeshi la zimamoto na uokoaji lina watumishi wachache sana na vitendea kazi pia vichache. Hakuna KITUO CHA jeshi la zimamoto na uokoaji kando ya ziwa ili kudeal na dharura za ziwani.

3. Viongozi haraka wamekimbilia kutoa majibu ya sababu ya ajali ile ndani ya masaa machache ili kulinda ugali wao. Ni wazi Mwafrika kakosa utu na ni mbinafsi asiyekubali kuachia nafasi.

Maelfu wanavushwa na vivuko hapa Tanzania kila siku huku pembeni kuna kiboti kidogo cha uokoaji kinachoweza kuokoa watu 10-20 huku kivuko kina maelfu ya abiria. Hili nalo muende mkalitizame. Na ajabu zaidi kiboti hicho kidogo cha uokoaji kimepark pembeni hakina hata habari.
Kosa kubwa alilifanya Mungu Ni kumuumba Mwafrika, ngozi nyeusi
 
Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End

Ajali ya Moto ya Morogoro Mzee Magu alifanya nini?
Kwa bahati nzuri eneo la tukio nilikuwepo mwanzo mpaka mwisho.
Kilichotokea Morogoro kwenye Ile Moto ndio uzembe ambao hautakuja kuvunjiwa rekodi Kwa siku za hivi karibuni.

Shida sio viongozi wa nchi hii, tatizo ni la wananchi wote.
Tukubali kuwa Sisi Watanzania 90% ni watu wa hovyo.
Ndio maana tunakuwa wepesi kulaumu viongozi ambao kimsingi hao viongozi ni watoto wetu, wajomba zetu, Wake zetu, Baba zetu, mashemeji zetu, n.k.

Hakuna cha magu wala nini. Nchi yetu bado Sana. Tena Sana.

Watu badala wahangaike kuzalisha kizazi Bora wanazaa tuu bila mipango. Hayo ndio matokeo
 
Naomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.

Uliichongea nami nmekiwaza sana sasa walikuwa wanafanya mazoezi ya nn hakuna uokoaji waliokuwa wanafanya ndio yale yale msuli tembo mafanikio sisimizi yaani mnajitapa kuwa mnavifaa na kujiweka tayari sasa mbona tumepoteza ndugu kwa uzembe wenu yaani ikifikia hatua Watanganyika tukiacha unafki na kusemana moja kwa moja serikali itawajibika na Viongozi husika wawajibike kwa makosa na uzembe wao yaani waziri mkuu akubali kujiwajibisha niongee bila kupepesa macho iyo nguvu na kuwahi kufika eneo la tukio bila msaada ni bora jeshi wazamiaji wangewai eneo husika afu bado mnatoa taarifa kinzani ili iweje ili tukuoneje ili nani akusifu ebu tuwe na utu na kuacha napichapicha showingoff watanganyika ni waoga wa kuthubutu lkn wanaumia ivi mnafkiri halii itadumu mpk lini labda tuendelee kuangalia huku uzembe unafanyika nani atupiwe lawama hizi kwa jinsi navyojua idala husika inapofanyia kazi jambo husika anapofika kiongozi mkubwa anatake charge so kwa hali hii yaliyotokea na kitengo cha majanga na maafa kipo kwako upo tayari kuchukua hatua stahiki kwa hili Zungumza na Mungu akuongoze ila binafsi nilipenda ustepdown sir kumbuka majibu uliyotupa wakati mzee wetu alikuwa anaumwa,napenda inchi yangu yenye mabadiriko na kujali utu kwa dhamila ya dhati kabisa naipenda nchi yangu Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika
 
Sidhani kama hilo ni sulihisho, tengeneza kwako kuwe kuzuri ili ujivunie kwako na sio wenzako wametengeneza kwao na sasa kuzuri halafu wewe ukimbilie. Tengeneza kwako!

Raia wa kawaida unazungumzia kutengeneza kwako?

You will die like a poor chicken kwa haya mambo ya kisenge yanayoendelea.

Unatengeneza kama upo kwenye position ya kutengeneza siyo vinginevyo.
 
Uliichongea nami nmekiwaza sana sasa walikuwa wanafanya mazoezi ya nn hakuna uokoaji waliokuwa wanafanya ndio yale yale msuli tembo mafanikio sisimizi yaani mnajitapa kuwa mnavifaa na kujiweka tayari sasa mbona tumepoteza ndugu kwa uzembe wenu yaani ikifikia hatua Watanganyika tukiacha unafki na kusemana moja kwa moja serikali itawajibika na Viongozi husika wawajibike kwa makosa na uzembe wao yaani waziri mkuu akubali kujiwajibisha niongee bila kupepesa macho iyo nguvu na kuwahi kufika eneo la tukio bila msaada ni bora jeshi wazamiaji wangewai eneo husika afu bado mnatoa taarifa kinzani ili iweje ili tukuoneje ili nani akusifu ebu tuwe na utu na kuacha napichapicha showingoff watanganyika ni waoga wa kuthubutu lkn wanaumia ivi mnafkiri halii itadumu mpk lini labda tuendelee kuangalia huku uzembe unafanyika nani atupiwe lawama hizi kwa jinsi navyojua idala husika inapofanyia kazi jambo husika anapofika kiongozi mkubwa anatake charge so kwa hali hii yaliyotokea na kitengo cha majanga na maafa kipo kwako upo tayari kuchukua hatua stahiki kwa hili Zungumza na Mungu akuongoze ila binafsi nilipenda ustepdown sir kumbuka majibu uliyotupa wakati mzee wetu alikuwa anaumwa,napenda inchi yangu yenye mabadiriko na kujali utu kwa dhamila ya dhati kabisa naipenda nchi yangu Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika
Ambao walitakiwa kufanya yote hayo ni Jeshi la zimamoto na uokoaji.
Nimeambiwa ya kwamba Navy kazi yao ni kupigana vita vya majini na si kuokoa watu.
 
Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End

Inaumiza ndugu yangu utashangaa mtu hataki kujiwajibisha kwanini mbona magu alimteua kwa dhamila ya dhati kabisa alimtoa from zero to hero lkn km anahofu ya siasa na kulinda maslahi aweze kuachia ngazi heshima kwako itaendelea kuwa kubwa na kwa Mungu pia sisemi kwa ubaya lkn hili jambo linajirudia sana kwaiyo shida ni Viongozi mnaumimi sana tuwe na upendo hata kidogo
 
Kuna mtu hapo juu kasema kuwa Navy kazi yao ni kupigana vita vya majini. Jukumu la uokoaji ni kazi ya Jeshi la zimamoto na uokoaji
Kama mtu anaweza kupigana vita vya majini, kweli ashindwe kufanya uokoaji kwa tukio la jana? Kweli jamani!!! Au hawaishi huko?! Daaah
 
Mimi mwenyewe nilimshangaa Waziri Mkuu kuanza kutoa majibu ya ajali ya ndege wakati watu hawajaokolewa. Anasema kwanini ndege imeanguka kama vile ilikuwa inapata, hakujua kama mbele ya kichwa cha ndege kimekatika. Police, Zimamoto na jeshi wamekaa pembeni wanashangaa, baada ya kufanya kazi zao za Kutoa Usalama na uokozi baada ya kuwajibika, wamewaachia wavuvi wanaojua kuvua samaki wafanye kazi za kiuokozi.

Sasa hivi walinda Usalama karibia wote wanachojua ni kufika eneo la ajali na kukaa pembeni huku wakipiga picha na kutumiana, halafu wanawaachia wananchi ndio wafanye kila kitu. Na hili tatizo ni la awamu zote za uongozi wa nchi hii.

Very sad unajua siasa za afrika tunazojengewa na tunaowasambazia bakuri wanatuathiri sana just imagine siasa inaingia kila mahala hao zimamoto vifaa hawana toka miaka mingi hivi waziri haoni polisi nae anaogopa kufa maskini kwani anauzoefu wa ukubwani kuogolea na sio kuzaliwa nao km hao wavuvi tatizo ni mfumo V8 I naunguruma muda wote lkn tahadhali kwa unaokula kodi zao wanakufa eeh Mungu tunusuru na kutuepushia hii dhambi na laana inayotutafuna Tanzania nchi yangu mm mbona aibu
 
Back
Top Bottom