Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Pumbavu wewe, yaani unamuwaza yule muuaji????
 
Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Vipi na ile ajali ya kivuko ukerewe iliyoua kizembe maelfu. Magu magu, magu my foot?

BakiliMuluzi
 
Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
😀😀 Magu wanini tena ili akupe madili ya kukata umeme watu.
 
Kuna boat za patrol ziwani kwa ajili ya usalama maana wavuvi wakiuawa na maharamia wa nchi jirani,lakini kwa hili boat zilikua umbali gani wakati linatokea
 
Kuna boat za patrol ziwani kwa ajili ya usalama maana wavuvi wakiuawa na maharamia wa nchi jirani,lakini kwa hili boat zilikua umbali gani wakati linatokea
Ndo tujiulize hizo boat za patrol zilikuwa wapi kwa muda huo.
 
Uzuri Ni kwamba hata utembelee v8, usindikizwe na magari ya zima Moto, magari ya kuzuia mabomu, ambulance, madaktari bingwa, siku ukifika, umefika unaondoka tu.
 
Sometimes things are not always as they appear
 
Kinachotia hasira zaidi ni hatujifunzi. Hili janga litapita na maisha yataendelea tutasahau.
Litakuja kutokea janga lingine mambo yatakuwa ni haya haya. Lini tutajifunza?
Hadi kizazi kipya kizaliwe
 
Usiseme CCM, hata nyie CDM mkipewa nchi mtafanya nini?? nyie ndio pimbii kweli kweli hamjitambui tu. Mungu mkubwa harufu ya kuchukua nchi mtaisikia tu hadi mwisho wa dunia.... nyinyi CHADEMA kipaumbele chenu ni nini??? Ofisi yenu bado mpo UFIPA ***** zenu....Hii ajali inaonesha jinsi gani nchi ilivyo hovyo kabisa, wanajeshi muda wote huo walikua wapi hadi waokoaji wawe ni wavuvi wenye mitumbwi???? Ina maana ziwa kubwa kama Victoria halina kikosi kazi cha uokoaji?? Nchi ilijifunza nini baada ya ajali ya meli ya MV BUKOBA???? nchi kama nchi tumefeli wapi??. Anyway miafrika ndivyo tulivyo na hili litapita na kusahaulika pia.
 
Hatuna helicopter ya kubeba ile ndege maana ikiwa MTOW ni 19T
Pale ilipokuwa ilikuwa ishameza maji hata lifting isingewezekana, sana sana ingesababisha maafa maana fuselage ingekatika
Helicopter tunayo.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…