Pumbavu wewe, yaani unamuwaza yule muuaji????Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu wewe, yaani unamuwaza yule muuaji????Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
SadImetuvua nguo mno, kumbe hata ndani ya ziwa Victoria hatuna askari wanaolinda mpaka wetu na nchi jirani.
Kikosi Cha UokoajiHiyo njemba iliyoshikiwa mwamvuli ni nani?
Tafadhali msichanganye kitengo cha Jeshi cha Navy na kitengo cha Jeshi la Zimamoto na Uokozi...Ni vitengo viwili tofauti na vipo wizara mbili tofauti...
Mara nyingi Jeshi la JWTZ hushirikishwa kwenye uokozi wa mambo ya kiraia, kwa sababu wao hupitia mafunzo ya uokozi katika aina tofauti tofauti za majanga na wana divers pia lakini hilo sio jukumu lao la msingi...
Vipi na ile ajali ya kivuko ukerewe iliyoua kizembe maelfu. Magu magu, magu my foot?Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
😀😀 Magu wanini tena ili akupe madili ya kukata umeme watu.Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Kuna boat za patrol ziwani kwa ajili ya usalama maana wavuvi wakiuawa na maharamia wa nchi jirani,lakini kwa hili boat zilikua umbali gani wakati linatokeaNimesema moja kutoa mfano.
Unakuwaje na rescue facilities kando ya ziwa bila boat kuwepo?
Utaendaje kuokoa katikati ya maji? Au ndo tutatumia boats za wavuvi?
Tusijifanye shingo ngumu..tunahitaji rescue facilities zinazoeleweka na zinazofanya kazi inayoonekana, kusingia gharama ni siasa tu.
Ndo tujiulize hizo boat za patrol zilikuwa wapi kwa muda huo.Kuna boat za patrol ziwani kwa ajili ya usalama maana wavuvi wakiuawa na maharamia wa nchi jirani,lakini kwa hili boat zilikua umbali gani wakati linatokea
Ziwa kubwa lile,usiliangalie kwenye ramaniNdo tujiulize hizo boat za patrol zilikuwa wapi kwa muda huo.
Tuache visingizio visivyo na mashiko.Ziwa kubwa lile,usiliangalie kwenye ramani
Habari
Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.
1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura kwaajili ya kufanya uokoaji na dharura.
2. Kuajiri kwa uchache Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na kuwapa vitendea kazi vichache . Jeshi la zimamoto na uokoaji lina watumishi wachache sana na vitendea kazi pia vichache. Hakuna KITUO CHA jeshi la zimamoto na uokoaji kando ya ziwa ili kudeal na dharura za ziwani.
3. Viongozi haraka wamekimbilia kutoa majibu ya sababu ya ajali ile ndani ya masaa machache ili kulinda ugali wao. Ni wazi Mwafrika kakosa utu na ni mbinafsi asiyekubali kuachia nafasi.
Maelfu wanavushwa na vivuko hapa Tanzania kila siku huku pembeni kuna kiboti kidogo cha uokoaji kinachoweza kuokoa watu 10-20 huku kivuko kina maelfu ya abiria. Hili nalo muende mkalitizame. Na ajabu zaidi kiboti hicho kidogo cha uokoaji kimepark pembeni hakina hata habari.
Airport siyo sehemu nyetiTuache visingizio visivyo na mashiko.
Airport ni sehemu nyeti.
Basi sawaAirport siyo sehemu nyeti
Sasa kama hatujielewi kama taifa........Lini tutakuwa tayari na watu wanazidi kufyatua tu?!
Habari
Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.
1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura kwaajili ya kufanya uokoaji na dharura.
2. Kuajiri kwa uchache Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na kuwapa vitendea kazi vichache . Jeshi la zimamoto na uokoaji lina watumishi wachache sana na vitendea kazi pia vichache. Hakuna KITUO CHA jeshi la zimamoto na uokoaji kando ya ziwa ili kudeal na dharura za ziwani.
3. Viongozi haraka wamekimbilia kutoa majibu ya sababu ya ajali ile ndani ya masaa machache ili kulinda ugali wao. Ni wazi Mwafrika kakosa utu na ni mbinafsi asiyekubali kuachia nafasi.
Maelfu wanavushwa na vivuko hapa Tanzania kila siku huku pembeni kuna kiboti kidogo cha uokoaji kinachoweza kuokoa watu 10-20 huku kivuko kina maelfu ya abiria. Hili nalo muende mkalitizame. Na ajabu zaidi kiboti hicho kidogo cha uokoaji kimepark pembeni hakina hata habari.
Hadi kizazi kipya kizaliweKinachotia hasira zaidi ni hatujifunzi. Hili janga litapita na maisha yataendelea tutasahau.
Litakuja kutokea janga lingine mambo yatakuwa ni haya haya. Lini tutajifunza?
Usiseme CCM, hata nyie CDM mkipewa nchi mtafanya nini?? nyie ndio pimbii kweli kweli hamjitambui tu. Mungu mkubwa harufu ya kuchukua nchi mtaisikia tu hadi mwisho wa dunia.... nyinyi CHADEMA kipaumbele chenu ni nini??? Ofisi yenu bado mpo UFIPA ***** zenu....Hii ajali inaonesha jinsi gani nchi ilivyo hovyo kabisa, wanajeshi muda wote huo walikua wapi hadi waokoaji wawe ni wavuvi wenye mitumbwi???? Ina maana ziwa kubwa kama Victoria halina kikosi kazi cha uokoaji?? Nchi ilijifunza nini baada ya ajali ya meli ya MV BUKOBA???? nchi kama nchi tumefeli wapi??. Anyway miafrika ndivyo tulivyo na hili litapita na kusahaulika pia.Mimi lawama zote nawarushia CCM maana ndiyo Serikali inayoongoza nchi.
Serikali ya CCM inaona ma Toyota VX V8 ni muhimu kuliko uhai wa mwananchi.
Kiongozi wa CCM anakurupuka na matamko ya kisiasa, aache watu wa plane crash investigation wafanye kazi yao.
Hii nchi msishangae kusikia Black box imeibiwa ili tu kufanya uchunguzi wa kitaalamu usifanyike kumlinda PM na kauli yake asije akaumbuka.
Hatuna helicopter ya kubeba ile ndege maana ikiwa MTOW ni 19TTunawategemea pia wawe msaada kwenye majanga. Maana tunaamini wanao uwezo wa ziada kutokana na mafunzo yao.View attachment 2409149View attachment 2409150View attachment 2409151View attachment 2409152
Helicopter tunayo.Hatuna helicopter ya kubeba ile ndege maana ikiwa MTOW ni 19T
Pale ilipokuwa ilikuwa ishameza maji hata lifting isingewezekana, sana sana ingesababisha maafa maana fuselage ingekatika