Ajali ya Moto ya Morogoro Mzee Magu alifanya nini?
Kwa bahati nzuri eneo la tukio nilikuwepo mwanzo mpaka mwisho.
Kilichotokea Morogoro kwenye Ile Moto ndio uzembe ambao hautakuja kuvunjiwa rekodi Kwa siku za hivi karibuni.
Shida sio viongozi wa nchi hii, tatizo ni la wananchi wote.
Tukubali kuwa Sisi Watanzania 90% ni watu wa hovyo.
Ndio maana tunakuwa wepesi kulaumu viongozi ambao kimsingi hao viongozi ni watoto wetu, wajomba zetu, Wake zetu, Baba zetu, mashemeji zetu, n.k.
Hakuna cha magu wala nini. Nchi yetu bado Sana. Tena Sana.
Watu badala wahangaike kuzalisha kizazi Bora wanazaa tuu bila mipango. Hayo ndio matokeo