Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

Ajali iliyoua watu wengi zaidi kwenye historia ya usafiri wa anga ilitokea Hispania tena ndege zilivaana palepale airport.

Yaani wazungu waliojaliwa akili na ufahamu wa kila aina wakashuhudia wenzao 583 wakiteketea kuwa majivu pasi msaada wa kueleweka.

Ingekuwa Africa mngeilaani sana hii ngozi nyeusi.
 
Hiyo ingetokea bongo idadi ingekuwa kubwa zaidi
 
Unaambiwa kila Halmashauri ina Kamati ya Maafa

Serikali inatenga Fungu kwa ajili ya Maafa na kila Halmashauri inapewa Fungu lake

Nini kazi ya hili Fungu?

Na kusipotokea Maafa hilo Fungu linakwenda wapi?

Hili swali kuna mdau aliwahi kuhoji

Sasa hili Fungu sijaelewa linatengwa kwa ajili ya kuokoa watu wanapopatwa na Maafa na kabla ya watu kupatwana Maafa au linatengwa kwa ajili ya kuzikia marehemu baada ya Maafa?

Yaan utaambiwa, 'Serikali itagharamia Mazishi', Pesa ya kugharamia Mazishi inatoka kwenye lile Fungu la Kamati ya Maafa kutoka Halmashauri lililotengwa na Serikali
Kwa kawaida halmashauri huwa hazipati pesa zote zinazosemwa watapewa
 
Ukitaka maelezo zaidi kuhusu jeshi la uokozi na majanga nakuomba ukaribie kwenye sherehe za uhuru 9 December tutakuelekeza namna tunaweza kuokoa
 
Kwa hio hizo pesa km maafa hayajatokea zinakwenda wapi? Ni pesa mingi au km kawaida wahuni wanazikung'uta bila uoga na hawaulizwi chochote?
 
Ukitaka maelezo zaidi kuhusu jeshi la uokozi na majanga nakuomba ukaribie kwenye sherehe za uhuru 9 December tutakuelekeza namna tunaweza kuokoa
Kwenye show off ya uwanja wa Mkapa pale Lupaso au sio mkuu?
 
Habari

Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.

1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura kwaajili ya kufanya uokoaji na dharura.

2. Kuajiri kwa uchache Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na kuwapa vitendea kazi vichache . Jeshi la zimamoto na uokoaji lina watumishi wachache sana na vitendea kazi pia vichache. Hakuna KITUO CHA jeshi la zimamoto na uokoaji kando ya ziwa ili kudeal na dharura za ziwani.

3. Viongozi haraka wamekimbilia kutoa majibu ya sababu ya ajali ile ndani ya masaa machache ili kulinda ugali wao. Ni wazi Mwafrika kakosa utu na ni mbinafsi asiyekubali kuachia nafasi.

Maelfu wanavushwa na vivuko hapa Tanzania kila siku huku pembeni kuna kiboti kidogo cha uokoaji kinachoweza kuokoa watu 10-20 huku kivuko kina maelfu ya abiria. Hili nalo muende mkalitizame. Na ajabu zaidi kiboti hicho kidogo cha uokoaji kimepark pembeni hakina hata habari.
Uwezo wangu mdogo wa kuelewa nafikiri sababu ya uafrika wangu, sijakuelewa
 
Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali ya kukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End

Ile ajali ya ukerewe alikuwepo na watz walikufa kwa mamia.

Itoshe kusema ccm inacheza na maisha ya Watz. Full [emoji1630]
 
Kuna watu wanataka kutuaminisha Magu alikuwa Mungu mdogo. Yani wanatuambia hata hii hali ya ukame angekuwepo Magu mvua zingenyesha....
 
Tafadhali msichanganye kitengo cha Jeshi cha Navy na kitengo cha Jeshi la Zimamoto na Uokozi...Ni vitengo viwili tofauti na vipo wizara mbili tofauti...

Mara nyingi Jeshi la JWTZ hushirikishwa kwenye uokozi wa mambo ya kiraia, kwa sababu wao hupitia mafunzo ya uokozi katika aina tofauti tofauti za majanga na wana divers pia lakini hilo sio jukumu lao la msingi...
Acha kutetea ujinga wewe,
Kwa hiyo wale wavuvi walioacha shuguli zao za kujiingizia kipato wakaenda na vyombo vyao kuokoa uhai wa raia wenzao lilikuwa jukumu lao ?
Ivi unajau thamani ya uhai wa raia mmoja ?
Jeshi lolote makini linaguswa zaidi (very sensitive) na maslahi au majanga ya raia sio maslahi ya watawala
 
Habari

Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.

1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura kwaajili ya kufanya uokoaji na dharura.

2. Kuajiri kwa uchache Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na kuwapa vitendea kazi vichache . Jeshi la zimamoto na uokoaji lina watumishi wachache sana na vitendea kazi pia vichache. Hakuna KITUO CHA jeshi la zimamoto na uokoaji kando ya ziwa ili kudeal na dharura za ziwani.

3. Viongozi haraka wamekimbilia kutoa majibu ya sababu ya ajali ile ndani ya masaa machache ili kulinda ugali wao. Ni wazi Mwafrika kakosa utu na ni mbinafsi asiyekubali kuachia nafasi.

Maelfu wanavushwa na vivuko hapa Tanzania kila siku huku pembeni kuna kiboti kidogo cha uokoaji kinachoweza kuokoa watu 10-20 huku kivuko kina maelfu ya abiria. Hili nalo muende mkalitizame. Na ajabu zaidi kiboti hicho kidogo cha uokoaji kimepark pembeni hakina hata habari.
Ni huzuni
 
Sijui kwa nini miaka a karibuni JF imejawa na watu wanaopenda kuquote, huku wakikosoa kwa mbwembwe bila kufuatilia kwanza unayemquote alikuwa anatolea ufafanuzi jambo gani...
 
Habari

Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.

1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura kwaajili ya kufanya uokoaji na dharura.

2. Kuajiri kwa uchache Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na kuwapa vitendea kazi vichache . Jeshi la zimamoto na uokoaji lina watumishi wachache sana na vitendea kazi pia vichache. Hakuna KITUO CHA jeshi la zimamoto na uokoaji kando ya ziwa ili kudeal na dharura za ziwani.

3. Viongozi haraka wamekimbilia kutoa majibu ya sababu ya ajali ile ndani ya masaa machache ili kulinda ugali wao. Ni wazi Mwafrika kakosa utu na ni mbinafsi asiyekubali kuachia nafasi.

Maelfu wanavushwa na vivuko hapa Tanzania kila siku huku pembeni kuna kiboti kidogo cha uokoaji kinachoweza kuokoa watu 10-20 huku kivuko kina maelfu ya abiria. Hili nalo muende mkalitizame. Na ajabu zaidi kiboti hicho kidogo cha uokoaji kimepark pembeni hakina hata habari.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Naomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
What are you talking bout??The only Navy I know we have in Tz is this one.
 
Attachments

  • images-26.jpeg
    images-26.jpeg
    29.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom