Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Habari watu wangu wa nguvu..mnaendeleaje!(nimewahamu)😊 Aiseh mbona hamtoi mialiko ya hii public holiday jamani😉fresh lakini😁

Sawa turudi kwenye mada husika.

Ni kwa muda kidogo nime kuwa nikitafakari tunakoelekea miaka kadhaa mbele watoto wetu watakutana na changamoto zipi Hapo baadae ukizingatia hapa tulipo sasa tu naona mambo yameshaanza kuharibika.

Leo ninaangalia huu upasuaji wa miili yetu(wanawake)kukata baadhi ya mbavu ili kuwa na kiuno nyigu,kuongeza makalio,nyonyo na mengineyo hivi tulishawahi kujiuliza ni madhara gani tutakuja kuyapata baada ya upasuaji huo?🥺


Tunayafanya yote hayo ili kuwavutia wanaume?je siku tukipata madhara watasimama pamoja nasi?au ni kufurahisha mioyo yetu?ni kwa kiwango gani tumejiandaa na matokeo baada ya miaka kadhaa?

Nini kifanyike basi?njia gani itumike angalau kwa kiwango fulani kuweza kupunguza Haya yote?🥺

Nawasilisha🧚‍♀️🧚‍♀️

7A0A6FFF-6237-4C4E-A9FD-E3CB1855BCA0.jpeg
14DA6A96-1B7D-4302-882C-D961FF02A476.jpeg
6108A44B-8D43-48CC-976A-EFDABADBD99B.jpeg
1FCA5E40-D7AA-4F00-B4D8-AC2E66BAAD47.jpeg
 
Back
Top Bottom