Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

Ata wigi kipindi zinaingia wanaume walipinga ila saivi wao ndo wanatoa Hela Za wigi....so hata hii itafika stage mtu akiona dem wake ana 'upungufu' Fulani anatoa Hela anamlipia sajari

Na mwanaume akiwa na upungufu tunafanyeje?
 
Wananichoshaga wale ambao Doctors wanawaambia kabisa kwamba surgery unayoitaka, kwa wewe haiwezekani, itaoeta madhara makubwa. Lakini mtu anakwambia ataenda kutafuta hata Dr mwingine ili mradi tu fantasy yake itimie. Kazi kwelikweli
Haohao huyo mwingine nilikuwa nimemsahau. bora yako wewe umejifunza kujikubali wengine hutamani kufanya hizo surgery baada ya kuona matokeo mazuri.
 
Kuna kitu cha ziada wanakitaka zaidi ya kupendwa na wanaume, sababu kikawaida kila mwanamke anapendwa na mwanaume/wanaume fulani. Je kuna mwanamke alishawahi kukosa mwanaume? na je hao wanaojibadilisha wanampata kila mwanaume wanayemtaka?

Sidhani kama its about mwanaume nadhani its more of trauma, labda huko zamani alishaambiwa ni mbaya!?? Low self esteem ?? Wao ndio wanafahamu zaidi.
 
Most likely ni low self- esteem, na kwa wachache ni kwa sababu ya trauma na fantasy

Back
Top Bottom