Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

Huwezi amini hakuna kitu nakijua hapo, siku hizi najitahidi na mimi kupaka poda hata wanja sijui unapakwaje, na tupo dunia hii hii ya mafekero, so watabaki wachache wenye kutunza na kuuishi uhalisia wao
Noelia usiniambie
 
Hapoa wanawake mnafeli sana kwenye suala zima la kujikubali.

Sasa hivi hao wote wanaojiita sijui pisi kali lazima ukute ubandia wa kutosha.
Lakini na nyie wanaume mnatuvuruga pia..msitulaumu sana
Mtu akiwa na tumbo lake linaning’inia huko bonge moja la kifurushi hata kumsogelea hutaki kabisa🥺🥺
 
Wewe pua tena imekuwaje? Kama ingekuwa inawezekana ningekupungizia ukawa na kapua karefu uepukane na hayo nadhara ya kuchonga pua.
Mungu ni mwema ukibahatika kuingia kwenye ndoa angalia mkaka mwenye pua ndefu watoto watatoka vizuri.kumbuka 80% watoto wanafananaga na baba. Kwetu wote tunafanana na baba na babu mzaa baba.
Kesho namtumia baba yangu vocha maana nimefanana nae sana😁
 
Lakini na nyie wanaume mnatuvuruga pia..msitulaumu sana
Mtu akiwa na tumbo lake linaning’inia huko bonge moja la kifurushi hata kumsogelea hutaki kabisa[emoji3064][emoji3064]
[emoji1787][emoji1787] Umenifurahisha sana, sidhani kama kuna mtu huzaliwa na tumbo la namna hiyo.

Wengine hutokana na uzazi n.k lakini pamoja na yote ukiamua kujikubali wewe jikubali si kila mwanaume anachukia tumbo.
 
Back
Top Bottom