Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #121
Mbona nchi nyingine wameanza hii plastic surgery miaka mingi nyuma? Tangu kwenye 1960s huko.
Kutokea kwa madhara inategemea unafanya surgery mara ngapi na kwa sehemu gani ya mwili. Pia wale experts wa uhakika wanakuwa ghali sana hata huko Marekani na Ulaya. Nchi za dunia ya tatu kama Latin America zina matapeli ambao wanaweza kukufanyia at your own expense.
HUko kwao teknolojia imekuwa Chief na huwezi kulinganisha na huku..mawazo lukuki yanakuja kwa hawa wa huku