Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

Utakuwa unapenda mitindi mikubwa buji
Sifa za wanaume wa Kisukuma:-
1. Waoaji
2. Wana ujazo wa kutosha wa manii.
3. Ndani ya miili yao kuna crane, special for lifting Manish genital. Kwa msio elewa, wanaume wa Kisukuma Wana viritubisho mahsusi ambavyo ili Mzaramo avipate kwa dakika 5 ni lazima abwie vumbi la Kasumbalesa debe zima.
 
Wengi wanaofanya surgery hawafanyi sababu ya wanaume bali hufanya kwa mapenzi yao mwenyewe mtu akijitazama kwenye kioo anajikuta hapendezwi na vitu kadhaa katika mwili wake hivyo huamua kurekebisha,

Binafsi sioni tatizo, mapendekezo ya watu wanaotumia pesa zao na muda yaheshimiwe, mie na wewe tubaki watazamaji tu.
 
Sifa za wanaume wa Kisukuma:-
1. Waoaji
2. Wana ujazo wa kutosha wa manii.
3. Ndani ya miili yao kuna crane, special for lifting Manish genital. Kwa msio elewa, wanaume wa Kisukuma Wana viritubisho mahsusi ambavyo ili Mzaramo avipate kwa dakika 5 ni lazima abwie vumbi la Kasumbalesa debe zima.
Buji sikuwahi kujua kama wewe ni ngosha😁😁

Wasukuma mnapendaga mizigo jamani🙆‍♀️Mitindi sasa
 
Back
Top Bottom