Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Embu iweke hapa tuitathmini kwanza kabla hatujalipia surgery.Honestly ningekuwa na 'ela' ningeenda kuifanyia mafekeche hii pua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu iweke hapa tuitathmini kwanza kabla hatujalipia surgery.Honestly ningekuwa na 'ela' ningeenda kuifanyia mafekeche hii pua
😂😂 Usijali mdogo wanguSisy hakika hapa unabaraka zangu zote.ukifanikiwa na mimi unijuze.
Itazoeleka tu, Kila kitu fakeMambo yanazidi kubadilika dear na hili jua la nchini..haya🥺🥺
Iko kawaida tu ila nataka iwe nzuri kama ya naniliuImefanyaje mkuu
Nataka iwe kama ya yule dadaJ kwani pua iko kama ginger ama ni maswahibu gani imepata
CC Munalove 😂Tena umenikumbusha niendelee kuweka pesa nikajiongezee zangu urefu mie..😂
😂😂Embu iweke hapa tuitathmini kwanza kabla hatujalipia surgery.
😂😂😂😂CC Munalove 😂
Na wewe uko na zile aina za pua zinazotapakaa uso mzima?Honestly ningekuwa na 'ela' ningeenda kuifanyia mafekeche hii pua
Huo mjina duuu..Nitalimisi nyonyo la Masha Love
Sifa za wanaume wa Kisukuma:-Utakuwa unapenda mitindi mikubwa buji
kila mtu anajitengeneza anavyopenda mwenyewe kulingana na fedha alizonazo. Wanataka perfection (ukamilifu).Kifanyike kitu cha kuwa msaada
Kama ilivyo kwa wanawake weusiYani huko tunakoelekea mwanamke OG atakuwa bidhaa adimu sana
Buji sikuwahi kujua kama wewe ni ngosha😁😁Sifa za wanaume wa Kisukuma:-
1. Waoaji
2. Wana ujazo wa kutosha wa manii.
3. Ndani ya miili yao kuna crane, special for lifting Manish genital. Kwa msio elewa, wanaume wa Kisukuma Wana viritubisho mahsusi ambavyo ili Mzaramo avipate kwa dakika 5 ni lazima abwie vumbi la Kasumbalesa debe zima.