Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Una chuki na shemeji yako, wafunze wanao kusema lolote baya.Hujui lolote kuhusu watoto mby zaidi hata wakiume laxima uwe makini.mwehu wewe
Nikajua n mm tu ndio sielewi😀Comments mbna haziendani na mada, mbna sielewiiii. Lol
Usiongee hivi aseee, jana kuna kijana nlikua naongea nae, amebaka mtoto wa miaka minne....yani hadi nlikua naogopa.Ni kwamba tu humpendi huyo kijana akae hapo basi unamtafutia sababu.
Kijana wa miaka 30 ahangaike kweli kubaka binti wa miaka 3 ?
Inasikitisha sana. Binafsi wanaokejeli hii ishu nawashangaa sana. Sina ubaya na dogo.Usiongee hivi aseee, jana kuna kijana nlikua naongea nae, amebaka mtoto wa miaka minne....yani hadi nlikua naogopa.
Na anakiri kwa kinywa kweli kabaka, nilidhani anasingiziwa.