Ninatafuta furaha naipata kwa hila

Ninatafuta furaha naipata kwa hila

Hujui lolote kuhusu watoto mby zaidi hata wakiume laxima uwe makini.mwehu wewe
Una chuki na shemeji yako, wafunze wanao kusema lolote baya.
Wachunguze kila uwaogeshapo au kuwasafisha.
Kua rafiki yao ili wasiogope kukwambia lolote.

Wewe endelea kumlia target shemeji yako hapo ndani huko nje watinduliwe uje kuleta uzi wa kulialia hapa.
 
Comments mbna haziendani na mada, mbna sielewiiii. Lol
 
Ni kwamba tu humpendi huyo kijana akae hapo basi unamtafutia sababu.

Kijana wa miaka 30 ahangaike kweli kubaka binti wa miaka 3 ?
Usiongee hivi aseee, jana kuna kijana nlikua naongea nae, amebaka mtoto wa miaka minne....yani hadi nlikua naogopa.

Na anakiri kwa kinywa kweli kabaka, nilidhani anasingiziwa.
 
Usiongee hivi aseee, jana kuna kijana nlikua naongea nae, amebaka mtoto wa miaka minne....yani hadi nlikua naogopa.

Na anakiri kwa kinywa kweli kabaka, nilidhani anasingiziwa.
Inasikitisha sana. Binafsi wanaokejeli hii ishu nawashangaa sana. Sina ubaya na dogo.

Baada ya kugraduate chuo nilimshauri afanye biashara akafanya...shida unamuuliza goals hana....

Siku hizi mtu hapewi pesa unampa mawazo na kumfuatilia....mwenendo wake ni kula wadada tu...ndio maana nikawa mkali juu ya hili jambo analofanya nje litahamia ndani
 
Watoto wa kike 6 wenye range ya miaka mi3 ndo umri gani huo Mkuu?
Mkubwa ana umri gani na mdogo ana umri gani..?

Unajua kwanini una insecurity...?
Hapo ndani unafuga Malaya 7. Lazima kichwa kiume🤕 POLE SANA.
 
Back
Top Bottom