Namba moja hujaelewa... Nilimaanisha kwamba kwa umri wa utu uzima huo asiwe mtu ambaye hajawahi kuoa. Kwamba awe alishaoa either akafiwa au akatoa talaka. Umesoma kwa panic dear ndio maana umekosa point.1.Yaani wewe ulishaolewa lkn mwanaume unataka ASIWE AMEOA. Wee ni Selfish
2. Unataka Mkristo( tena Msabato au mlokole ambaye ni mzinzi. HUPATI.
3. Ratio iko 1:8 Male: Female halafu nichukue used. Aseee mi mwaisa bora niende tukuyu
Kwamba kuna mtu timamu kwenye hii platform alitegemea ungesema uliachwa wewe na kwamba huyo bwana hataki hata kukusikia sembuse kukuona?Unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi pia...
Naomba nikujulishe kwamba nimemuacha Mimi. Na kwa taarifa fupi ni kwamba tulioana. Tena anatamani sana turudiane Mimi nimechukua high way...
Dear sio kila mtu anaweza kuvumilia mateso kwa kuwa eti ana watoto wawili.
Me siko hivyo. Siku zote Amani na furaha yangu kwanza.
Alafu siku hizi masters ni kama degree tu.
Tupia ka picha kwa pm yangu. NitashukuruNamba moja hujaelewa... Nilimaanisha kwamba kwa umri wa utu uzima huo asiwe mtu ambaye hajawahi kuoa. Kwamba awe alishaoa either akafiwa au akatoa talaka. Umesoma kwa panic dear ndio maana umekosa point.
Duniani kila mtu ana wake. Mama yake diamond alikuwa na mume sembuse Mimi ndugu yangu?
Nitapata kwa awamu ya pili. Amini usiamini.
Hahah ngoja ajipendekeze mzembe mmoja mvivu wa kufikiria akapigwe umeme hadi ashangae.Kwa hili jibu unaonekana una gubu sana. Yaan unasifia umeacha sio kuachwa?
Kila la heri mkuuu[emoji120]Kila mtu ana msimamo wake ndugu yangu.
Haijalishi ukoje bei unahojiwekea ndio utakayouzwa nayo. Kwa hiyo vigezo ni muhimu hata kama Nina miaka 50. Pia Mimi ninahitaji watu wazima... Yani walishaoa wakafiwa au waka toa talaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah ngoja ajipendekeze mzembe mmoja mvivu wa kufikiria akapigwe umeme hadi ashangae.
AsanteKwamba kuna mtu timamu kwenye hii platform alitegemea ungesema uliachwa wewe na kwamba huyo bwana hataki hata kukusikia sembuse kukuona?
As for me,kwa experience yangu ya kuishi na mwanamke sikuoni ukiwa mwema kama unavyo-pretend hapa kuwa so take your time usijitetee sana akitokea atakayekuvaa nendeni mkaanzishe libeneke maisha yasonge.
Asante dearAll the best
Amen [emoji120]Utapata na utasahau kila heri mpendwa.
πππππMpisheni shetani wakuu.
Labda mmepishana tu vitu vidogo.
Kwa mtu anaelima debe mbili sio issue Kwa dingi yangu kipind hiko tulikua tunalima magunia ni ya kutosha ndaniVitoto vilishaongezeka, vinakula chakula kama mchwa; mlo mmoja wa mchana debe mbili za mahindi zinakata; hapa nipo njiani nawaza kesho nitawalisha nini.
Kwa hiyo wewe show zako ni zile za βhit n runβ ain't you?Asante
Ila kumbuka na Mimi sijaja kutafuta 'perfect' husband [emoji67]'.
Always mtego huwanasa wazembe!Namuonea huruma atakae kushobokea.
Tunahitaji majibu Kwanza usitupangieStick to the topic on board! Spare that story for another day....
However, There is no where I said it was me or any other person related to me.
Otherwise thanks for contributing!
Wewe sio women acha kutuletaWomen attacking women
Thanks for your opinions.