- Thread starter
- #81
Namba moja hujaelewa... Nilimaanisha kwamba kwa umri wa utu uzima huo asiwe mtu ambaye hajawahi kuoa. Kwamba awe alishaoa either akafiwa au akatoa talaka. Umesoma kwa panic dear ndio maana umekosa point.1.Yaani wewe ulishaolewa lkn mwanaume unataka ASIWE AMEOA. Wee ni Selfish
2. Unataka Mkristo( tena Msabato au mlokole ambaye ni mzinzi. HUPATI.
3. Ratio iko 1:8 Male: Female halafu nichukue used. Aseee mi mwaisa bora niende tukuyu
Duniani kila mtu ana wake. Mama yake diamond alikuwa na mume sembuse Mimi ndugu yangu?
Nitapata kwa awamu ya pili. Amini usiamini.