Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Wewe kweli gubegube kubwa.

Unajuaje kama mume alimtesa dada wa watu akaamua kuondoka akaishi peke yake? Unafikiri kuna mwanamke anayependa kuachana na mume wake?

Halafu kwanini iwe yeye ndio kaachwa/kukimbiwa?
Hata sisi wanawake tunaacha pia.
Heshimu mawazo ya mtu,mbona unam-attack,heshimu mwanaume hiyo ndio hulka njema ya mwanamke,ukimwona mwanamke anamtukana mwanaume hivi ujue ni bomu,kwa akili zako Hauna Cha kumshauri huyu,we ni feminist mkubwa
 
Nenda makanisani...kwenye maombi...huku sisi wengi ni wahuni..zingatia.
 
Mkuu @nasmiletz, huo no Moto wa kuotea mbali.
Naona viashiria vya feminism, equality etc.
Boss unaogopa kitu kisichokuwepo ?? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Najua kwa nini umewaza Hivyo.
Ila kumbuka only a strong man will date a strong woman. Strong women aren't for weak men. Na Mimi Leo nipo natafuta mwanaume wa ukweli boss.
Kama umenielewa ni vyema.
 

Hamjambo wa MMU,

Mimi ni kibebi, jinsia yangu ni mwanamke, nina umri wa miaka 29 ninaishi abroad (Ulaya). Rangi ya ngozi yangu ni maji ya kunde, mrefu wastani, sijawahi kuolewa kabla, na elimu yangu ni ya phd. Sipendi uongo na hila.
.

-Umri bila shaka hujatupiga kamba, kama 2013 ulikuwa 29, basi sasa hivi ni 38+

-Elimu, mwaka 2013 ulikuwa na PhD, mwaka 2023 una Masters. Si haba huenda hii Master ni mpya na umeipata currently na kuignore Elimu yako ya zamani.


Yote kenda kumi, ile stori yako na Mudy mbona hukuimalizia
 
Michezo ya utotoni hii. Ujinga ulikuwa mwingi.
Me PhD niitoe wapi?
Age yangu ni 38. Hutaki basi boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…