Ninataka kuanzisha kampuni

Ninataka kuanzisha kampuni

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Wakuu nimeliangalia vizur suala la ubunifu kama sehemu ya kufanikiwa kimaisha na kuziona fursa. Kwa kuzingatia changamoto mbalimbali mitaani nina wazo la kufungua kampuni itakayokuwa inajihusisha na mambo yafuatayo

1. Kumtongoza mkeo mara ya pili kuona kama atakubali watu wengine au lah ( @1 mission ni tsh 25000)

2. Kumchunguza mkeo na kuandika report ya muenendo wake kwa vijana mbalimbali mtaani (@1 mission ni tsh 30000)

3. Kufanikisha dili la kufumania ( tshs 50000)

4. Kusaidia usababishaji wa mimba (bei maelewano)

5. Kusababisha kusamehewa baada ya kufumania, kwa kumfumania aliyekufumania ( hapa natuma mseseji moja tu ya kumsifia kwa shoo aliyonipa ili uifumanie na wewe msameheane) bei maelewano

6. Kufatilia mienendo ya eksi wako kabla hamjarudiana tena

Naomba kujua kama viwango vya bei ninavyoviweka ni rafiki kwa mtanzania. Na napolkea mawazo na wawekezaji

Kalaga baho
 
Huo ni msemo tuu
Hili wazo lako unaweza kuona ni la kijinga au mzaha kumbe watu wanahitaji huduma
Wenzetu huko wana kitu inaitwa Cheaters
Mtu analipa huduma ya kuoneshwa usaliti anao fanyiwa na mpenzi wake
Anhaaa kumbe? NinWeza kuadopt hiyo kama itamake sense zaidi naomba nifahamishe inafanyaje kaz
 
Back
Top Bottom