Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
am sorry Eddo, i know your house is not Dream house, haina Swimming Pool, haina Veranda na underground parking kwahiyo naombea iuzwe na dalali wa mahakama ili ujenge dream house utoke kwenye comfort zone ulipo sasa.Mkuu nikushukuru kwa elimu uliyoitoa sababu umenipa mwanga kwenye haya mambo ya mikopo.
Ila hapo mwisho umemaliza vibaya, sababu hakuna pahala popote niliposema nahitaji mkopo, kwa hiyo siyo busara kunichuria nyumba yangu kuuzwa,
basi acha kuharibu matumizi ya hela.Situmii kilevi cha aina yoyote Mkuu
Hahaha unatka jamaa akakope hallmashurisawa ila its too much, halmashauri na mid size microfinance wana riba nzuri tu.
Akiba siwezi kukushauri cha maana, hio hata ikipotea haina hasara, fanya unachojiskia mkuu. Sisi tunashauri wanaochukua mikopo tu ili wasije wakaumbuka, nyie wengine mnajiweza, fanya unachokiona ni sahihi na unakipenda, Amin, utatoboa.Nahitaji ufafanuzi hapa mkuu nina akiba yangu nataka kuifanyia biashara nyingine tofauti na ninayo fanya. Hebu fafanua kuhusu Tent
Huyo hatakiwi kufanya biashara inayotaka proper management, maana kashakwambia security yake ni kazi, so lazima aende kazini. Hardware inataka usimame mwanzo mwisho, itamshinda tu wala halina ubishi.Hyu akifungua hdw anapata hyo pesa na analipa kbsa huo mkopo tatizo Ni mkopo wa Muda mrefu
Tuombeane mazuri ili Baraka za Mungu zizidi kutufunika.am sorry Eddo, i know your house is not Dream house, haina Swimming Pool, haina Veranda na underground parking kwahiyo naombea iuzwe na dalali wa mahakama ili ujenge dream house utoke kwenye comfort zone ulipo sasa.
UTT kwa hiyo amount kwa mwezi miaka 9 kama hesabu zako za riba zikk sahihi utakua na faida ya M 14 … narudia kama hesabu zako za riba ziko sahihi.Lengo langu haswa Mkuu ni kupeleka UTT
Yes hii coumpunding inakwenda na muda. Kwa mwezi inawezakuwa ni 1% - 1.5% Kwa UTT au hizo bond za serikali inazosemea. Kwa mwaka ndio inakuja 12% - 18%.Peleka UTT au nunua bond za serikali wanacompound monthly
Inabidi awekeze sehemu yenye tijaunastaafu hufi unaanzaje bila penshen lumpsum ? think twice....
Namaanisha ile 'principal loan' marejeshokipengele hiki sijakuelewa
kula uliwe ( anonymous)Analipa 40 mil mhh
Duh kwahyo kama akiba yangu ndo sifai kupata ushauri!! Sawa afisa mikopoAkiba siwezi kukushauri cha maana, hio hata ikipotea haina hasara, fanya unachojiskia mkuu. Sisi tunashauri wanaochukua mikopo tu ili wasije wakaumbuka, nyie wengine mnajiweza, fanya unachokiona ni sahihi na unakipenda, Amin, utatoboa.
Sijawahi kuchukuwa mkopo wala baba yangu hajawahi kuchukua na alikuwa na biashara zake Tatu akianza akiwa na miaka 20 tuRiba haramu kivip HV uanjuwa wazungu na wachina wanaendesha biashara kwamikopo ila wee maskini hujui Hili
Mikop ndio source namba moja ya uwekezaji
Mimi sio Kapuku mkuu na sijawahi kuchukua mkopo na niko vizuri kimaishaMnadanganywa makapuku, kina MO, Azam wote hukopa kwa riba
Mkuu sio Kila anaechukua mkopo ni kapukuMimi sio Kapuku mkuu na sijawahi kuchukua mkopo na niko vizuri kimaisha
Naomba kila leo nichukue mkopo ila nimekataa na ninaendelea na maisha mazuri kuliko hao makapuku waliochukua mkopo bila akili na mwisho kwa aibu gari linapita na maspika kutangaza uuzwaji wa nyumba zao na kurudi umasikini au kuwa jambazi kabisa na kwenda kutafuta SMG
Ila hao matajiri kila mmoja ana nafsi yake
Mkuu mimi nafuatilia comment za wadau maana nami ni mdau mkubwa wa haya mambo. Namna ulivyoandika weqe ni rahisi sana ila kiuhalisia unadhani ni issue gani ya kukupa faida hiyo per dayUkifanya mishe yeyote yenye kukupa 50k per day hio Hela ndogo sana kwa miaka 9
Oohh Basi hyu huyu Hana la kufanya acha akope huko halmashuri tu kama alivyo ambiwa HappHuyo hatakiwi kufanya biashara inayotaka proper management, maana kashakwambia security yake ni kazi, so lazima aende kazini. Hardware inataka usimame mwanzo mwisho, itamshinda tu wala halina ubishi.