Hongera hapo kwenye ushauri chukua yote lakini wazo lako ni muhim usije kusema wana wameniingiza chakaKwa moyo wa dhati kabisa napenda kuwashukuru nyote mlionisapot kimawazo kupitia Uzi huu....nimeamua kuchukua huo mkopo Kwa moyo mkunjufu mengine Mungu atanisaidia
Mkuu, mbona hiyo milioni 40 ya juu ni riba ya asilimia 80 ya huo mkopo unaotaka kuuchukua? Kama riba ni asilimia 16 ilitakiwa jumla ya pesa unayohitaji kuirudisha iwe ni shilingi milioni 58 kwani asilimia 16 ya shilingi milioni 58 ni shilingi milioni 8. Au mimi ndo sijaelewa hapo? Hiyo milioni 32 ya juu imeongezeka kutoka wapi hapo mkuu? Au kuna jambo umelificha nyuma ya pazia?Habari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Swali zuri.atueleweshe vzr.Mkuu, mbona hiyo milioni 40 ya juu ni riba ya asilimia 80 ya huo mkopo unaotaka kuuchukua? Kama riba ni asilimia 16 ilitakiwa jumla ya pesa unayohitaji kuirudisha iwe ni shilingi milioni 58 kwani asilimia 16 ya shilingi milioni 58 ni shilingi milioni 8. Au mimi ndo sijaelewa hapo? Hiyo milioni 32 ya juu imeongezeka kutoka wapi hapo mkuu? Au kuna jambo umelificha nyuma ya pazia?
Mbona mahesabu hayajakaa sawa ?? 16% ya Milion 50 ni 8,000,000✓Habari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Naam mkuu!Swali zuri.atueleweshe vzr.
Mme calculate muda? Miaka 9 vipi kuhusu thamani ya M 5o baada ya 9 yrs?Mbona mahesabu hayajakaa sawa ?? 16% ya Milion 50 ni 8,000,000✓
Mkopo ni WA miaka 9 Mkuu effective interest yake (interest halisi nayolipa)ni 9.9% Kila mwaka....pia Riba imekua kubwa kidogo sababu mkopo nakaa naomuda mrefu M50 ya sasaiv sio sawa na M50 baada ya miaka 9 sababu ya pesa kushuka thamani...Mkuu, mbona hiyo milioni 40 ya juu ni riba ya asilimia 80 ya huo mkopo unaotaka kuuchukua? Kama riba ni asilimia 16 ilitakiwa jumla ya pesa unayohitaji kuirudisha iwe ni shilingi milioni 58 kwani asilimia 16 ya shilingi milioni 58 ni shilingi milioni 8. Au mimi ndo sijaelewa hapo? Hiyo milioni 32 ya juu imeongezeka kutoka wapi hapo mkuu? Au kuna jambo umelificha nyuma ya pazia?
Kwa mwaka riba ni 4M nalipa sawa na 400k per monthMbona mahesabu hayajakaa sawa ?? 16% ya Milion 50 ni 8,000,000✓
Ukichukua 40M ukigawa Kwa 9 unapata 4M ambayo ni ya mwaka mzima ukigawa 4M Kwa 12 unapata ya Kila mweziMbona mahesabu hayajakaa sawa ?? 16% ya Milion 50 ni 8,000,000✓
Habari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Riba hiyo inatisha. Angalia sana aina ya biashara unayotaka kufanya usije ukafa kwa presha.Shida siyo mkopo. Shida ni unaenda kufanyia nini? Usijekuta unaenda kujenga fremu za maduka Kantalamba.
Mkuu, yaani hapa hakuna kupindisha maneno. Huo mkopo ndani yake una riba ya asilimia 80 na sio salama kwa uhai wako. Achana nao, usijaribu kuthibitisha kama sumu inaua kwa kuinywa kabisa!...Ukichukua 40M ukigawa Kwa 9 unapata 4M ambayo ni ya mwaka mzima ukigawa 4M Kwa 12 unapata ya Kila mwezi
Hii biashara huwa naitamani sana, samahani mkuu, hii biashara kuanza minimum mtaji ni kiasi gani?Ukituliza akili, Tent za kukodisha, viti vya kwenye sherehe, vya plastic vile na meza za round, kwa mwaka unakunja 20M. Na biashara haina mahesabu mengi, kikubwa ni kujitangaza tu.
Naunga mkono😆Usichukuwe ni pesa ndogo sana hiyo.
Kopa pesa hata wakiuza nyumba yako utaposhindwa kulipa inakuwa fair.
Kopa million 500.
Bro, unajua maana na matumizi ya neno "almost a half".Unalipa almost a half
Ah kumbe ni miaka 9
Ngoja waje kwanza ila dah miaka 9 ni mingi aisee una uhakika na steady income?
Ushawahi kopa?Mkuu, yaani hapa hakuna kupindisha maneno. Huo mkopo ndani yake una riba ya asilimia 80 na sio salama kwa uhai wako. Achana nao, usijaribu kuthibitisha kama sumu inaua kwa kuinywa kabisa!...
Ah ni kweli nilikoseaBro, unajua maana na matumizi ya neno "almost a half".
Yaani umesema atalipa karibia nusu ya pesa atayokopa. Unajua nusu ya milioni 50 ni kiasi gani? [emoji848]
Nusu ya milioni 50 ni milioni 25,yeye atalipa riba ya milioni 40 nje ya hiyo million 50 anayokopa.
So amelipa nusu na ziada ya milioni 15 juu ya ile 25.