Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

Habari za asubuhi wadau.

Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.

Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Mkuu, mbona hiyo milioni 40 ya juu ni riba ya asilimia 80 ya huo mkopo unaotaka kuuchukua? Kama riba ni asilimia 16 ilitakiwa jumla ya pesa unayohitaji kuirudisha iwe ni shilingi milioni 58 kwani asilimia 16 ya shilingi milioni 58 ni shilingi milioni 8. Au mimi ndo sijaelewa hapo? Hiyo milioni 32 ya juu imeongezeka kutoka wapi hapo mkuu? Au kuna jambo umelificha nyuma ya pazia?
 
Swali zuri.atueleweshe vzr.
 
Habari za asubuhi wadau.

Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.

Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Mbona mahesabu hayajakaa sawa ?? 16% ya Milion 50 ni 8,000,000✓
 
Mkuu, mbona hiyo milioni 40 ya juu ni riba ya asilimia 80 ya huo mkopo unaotaka kuuchukua? Kama riba ni asilimia 16 ilitakiwa jumla ya pesa unayohitaji kuirudisha iwe ni shilingi milioni 58 kwani asilimia 16 ya shilingi milioni 58 ni shilingi milioni 8. Au mimi ndo sijaelewa hapo? Hiyo milioni 32 ya juu imeongezeka kutoka wapi hapo mkuu? Au kuna jambo umelificha nyuma ya pazia?
Mkopo ni WA miaka 9 Mkuu effective interest yake (interest halisi nayolipa)ni 9.9% Kila mwaka....pia Riba imekua kubwa kidogo sababu mkopo nakaa naomuda mrefu M50 ya sasaiv sio sawa na M50 baada ya miaka 9 sababu ya pesa kushuka thamani...
 
Habari za asubuhi wadau.

Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.

Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?

Kama ni mkopo wa biashara kwann uchukue kwa muda mrefu hivyo!?
 
Ukichukua 40M ukigawa Kwa 9 unapata 4M ambayo ni ya mwaka mzima ukigawa 4M Kwa 12 unapata ya Kila mwezi
Mkuu, yaani hapa hakuna kupindisha maneno. Huo mkopo ndani yake una riba ya asilimia 80 na sio salama kwa uhai wako. Achana nao, usijaribu kuthibitisha kama sumu inaua kwa kuinywa kabisa!...
 
Ukituliza akili, Tent za kukodisha, viti vya kwenye sherehe, vya plastic vile na meza za round, kwa mwaka unakunja 20M. Na biashara haina mahesabu mengi, kikubwa ni kujitangaza tu.
Hii biashara huwa naitamani sana, samahani mkuu, hii biashara kuanza minimum mtaji ni kiasi gani?
 
Unalipa almost a half

Ah kumbe ni miaka 9

Ngoja waje kwanza ila dah miaka 9 ni mingi aisee una uhakika na steady income?
Bro, unajua maana na matumizi ya neno "almost a half".

Yaani umesema atalipa karibia nusu ya pesa atayokopa. Unajua nusu ya milioni 50 ni kiasi gani? [emoji848]

Nusu ya milioni 50 ni milioni 25,yeye atalipa riba ya milioni 40 nje ya hiyo million 50 anayokopa.

So amelipa nusu na ziada ya milioni 15 juu ya ile 25.
 
Mkuu, yaani hapa hakuna kupindisha maneno. Huo mkopo ndani yake una riba ya asilimia 80 na sio salama kwa uhai wako. Achana nao, usijaribu kuthibitisha kama sumu inaua kwa kuinywa kabisa!...
Ushawahi kopa?
 
Riba ndogo sana hiyo.
Chukua chap, miaka 9 ni umri wa mtu.
Usiiache pesa kwa kuogopa riba, simsma kwenye malengo yako usitazame riba
 
Bro, unajua maana na matumizi ya neno "almost a half".

Yaani umesema atalipa karibia nusu ya pesa atayokopa. Unajua nusu ya milioni 50 ni kiasi gani? [emoji848]

Nusu ya milioni 50 ni milioni 25,yeye atalipa riba ya milioni 40 nje ya hiyo million 50 anayokopa.

So amelipa nusu na ziada ya milioni 15 juu ya ile 25.
Ah ni kweli nilikosea
Nilikua naongelea more than a half
 
Back
Top Bottom