KAMA HIYO UNAKOTAKA KU-INVEST BIASHARA INALIPA KWA UHAKKA, CHUKUA. KAMA NI MAMBO YA KILIMO KISICHOTABIRIKA NA MVUA, USITHUBUTU!Habar za asubuh wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Eneo nililopo hio biashara itakua ngumuUkituliza akili, Tent za kukodisha, viti vya kwenye sherehe, vya plastic vile na meza za round, kwa mwaka unakunja 20M. Na biashara haina mahesabu mengi, kikubwa ni kujitangaza tu.
TENT KILA MMJA ANZO, NYINGI MITAANI...Ahsante Mkuu...
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwe Stori yako imenikumbusha mbali, Yan ulipe more than 60% ya pesa uliyoweka no no no
Naongelea kuchukua mkopo, huwezi kubahatisha kwa hela ya mkopo lazima uwe na calculated risks. Kuna jamaa aliingia all in kuchimba madini ikakwangua millions tena za watu sio zake!! karudi kuanza upya na madeni juu.Mpaka unasema hivo basi wewe hujawahi kufanya biashara, kwahyo sina cha kukushauri mkuu. Endelea tu kuukumbatia umaskini. Mtakuja kujifunzia biashara ukubwani, mkishastahafu, mzizike hela zenu mlizozisotea miaka 60, haha.
Hapo investment moja pekee haitoshi, inabidi hio hela aigawe kwa biashara hata 3.Angeweka aina ya Investment anayotaka kufanya tungeweza kumshauri zaidi.
Asije ndani ya miaka 3 investment imekufa na bado ana miaka 6 ya kukatwa ataona kazi chungu.
All in all uamuzi ni wake, ila kwa uzoefu wangu watumishi wengi Mikopo wanayochukua huwa inafeli.
😆😆😆 Kwambaa!Shida siyo mkopo. Shida ni unaenda kufanyia nini? Usijekuta unaenda kujenga fremu za maduka kantalamba.
Take your time to think of the investment that is not that much risky and of which has low competition..... sijui kama ipo lkn fikiria kwanza kwa undani...kwahesabu za karibu ni kuwa kila mwezi rejesho ni 833,333.00 Tsh hii siyo hela ndogo.......think twice una invest biashara gani itakuzalishia 833,333.00 kwa mwezi rejesho na faida yako juu ya hiyo rejeshoHabar za asubuh wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Chukua kagombee ubunge CCM, UKIPATA UKAWA WAZIRI ZINARUDI NDANI YA MWAKA, UKIKOSA UKAKUWA MGANGA WA KIENYEJI AU KUFUNGUA KANISA, ZITARUDI FASTAHabar za asubuh wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Siku hizi mikopo ya watumishi ni miaka 9,? Nakumbuka ilikuwa 7Nataka niifanyie uwekezaji
Ela=Hela. Usichukue huo mkopo!Yes Mkuu...naona nitalipa ela nyingi sana
Afanye kitu anaqchokipendaAngeweka aina ya Investment anayotaka kufanya tungeweza kumshauri zaidi.
Asije ndani ya miaka 3 investment imekufa na bado ana miaka 6 ya kukatwa ataona kazi chungu.
All in all uamuzi ni wake, ila kwa uzoefu wangu watumishi wengi Mikopo wanayochukua huwa inafeli.
Unadhani ni wajinga kihivyo wakukopeshe pesa bila ya kuifanyia tathmini nyumba yako? Ukiona unakopeshwa 500m jua kuwa nyumba yako ina thamani ya zaidi ya 500m endapo itauzwaUsichukuwe ni pesa ndogo sana hiyo.
Kopa pesa hata wakiuza nyumba yako utaposhindwa kulipa inakuwa fair.
Kopa million 500.
Kinachotazamwa kwenye mkopo siyo nyumba tu.Unadhani ni wajinga kihivyo wakukopeshe pesa bila ya kuifanyia tathmini nyumba yako? Ukiona unakopeshwa 500m jua kuwa nyumba yako ina thamani ya zaidi ya 500m endapo itauzwa
hapo hamna kitu, unaleta ujinga wa dini kwenye science!!!!!....hakuna cha kuomba, hapa ni science tu! Ukipanda juu ya mti ukajiachia ,utaanguka utakufa, hakuna sala wala swala ala Mungu atakunusuru...you will face the wrath of gravity....utakufa instantly...biashara itakufa instantly...,usisahau kuiombea sana kwa Mungu kazi yako (kanisani/Msikitini).